Course Coordinator
JF-Expert Member
- Jul 27, 2019
- 1,742
- 3,224
- Thread starter
-
- #81
Ma D.Mfumo dume kivipi?
Uwiano kati ya wanawake na wanaume walioomba ukoje? Je wanawake walioomba walioomba wakakosa wanakidhi vigezo au wapewe tuu kwa sababu ni wanawake?
Huo ni udhaifu mkubwa. Mwandishi wa makala hii naomba nisaidie orodha ya wanawake wote waliogombea na kushindwaCCM ya Meko sio rafiki kwa akina mama .
1. Ummy
2. Gekul
3. Ndalichako
4. Stella Manyanya
5. Doroth Kilave
6. Jesca Msamvatavangu
7. Hamida
8. Salma Kikwete
9. Jenister
10. Leah Komanya
11.Tulia
12. Anne Kilango
13.Bonna Kamoli
Hakika inasikitisha CCM badilikeni. Wapeni akina mama nafasi.
Anashinda Ummy na mama salma na ndalichako tuCCM ya Meko sio rafiki kwa akina mama .
1. Ummy
2. Gekul
3. Ndalichako
4. Stella Manyanya
5. Doroth Kilave
6. Jesca Msamvatavangu
7. Hamida
8. Salma Kikwete
9. Jenister
10. Leah Komanya
11.Tulia
12. Anne Kilango
13.Bonna Kamoli
Hakika inasikitisha CCM badilikeni. Wapeni akina mama nafasi.
Bonnah yupo mbonaMbona Segerea hujamuweka?
Ma D.
CCM walitakiwa wawape promo wanawake kuanzia mchakato hadi kugombea
..mfumo dume upo ndani ya CHAMA ndo maana wanawake wamejitokeza wachache hata hao wachache wameshindwa kuaminika..ikiwa CCM ndani ya chama wangewaamini wanawake hata huku majimboni wangeaminiwa...
CCM ilitakiwa iweke mazingira ila kwa vile Magu anatoka Kanda ya ziwa tena mzinza sitegemei kama wanawake watapewa fursa sana..
Huo ni udhaifu mkubwa. Mwandishi wa makala hii naomba nisaidie orodha ya wanawake wote waliogombea na kushindwa
Kwa kweli mimi binafsi sijaona sehemu ambayo mfumo umesababisha wagombea wanawake kujitokeza kwa uchache.
Siwezi kusema sababu Magu anatoka kanda ya ziwa na mzinza hawapi wanawake fursa huku nikijua wazi hata makamu wake ni mwanamke pia.
Wanawake kila siku tunahatunamasishwa kugombea nafasi mbalimbali ila pia hatuwezi kupewa hizo nafasi bila kuomba na kuwa na sifa zinazokubalika
Kwa kweli mimi binafsi sijaona sehemu ambayo mfumo umesababisha wagombea wanawake kujitokeza kwa uchache.
Siwezi kusema sababu Magu anatoka kanda ya ziwa na mzinza hawapi wanawake fursa huku nikijua wazi hata makamu wake ni mwanamke pia.
Wanawake kila siku tunahatunamasishwa kugombea nafasi mbalimbali ila pia hatuwezi kupewa hizo nafasi bila kuomba na kuwa na sifa zinazokubalika
Huu ni mwaka wa wanaume
Sasa nikuulize mfano sifa gani unazani zinahitajika kwa mtu kuwa mbunge?
Wewe unazani sifa hizo ni zipi?
Kwa mujibu wa Katiba iliyopo ni kujua kusoma na kuandika.
Sasa hao wanawake hizo sifa hawana?
Kuna wanawake nawajua wanasifa za kutosha, wana masters degree , wanauzoefu wa utumishi wa umma kwa miaka mingi, wana CV kubwa wameshika namba 2-3 kwenye kura za maoni na hawakutoa rushwa lakini wameachwa,
Unataka kusema nini sasa?
Kama nia ingekuwepo ya kuleta awareness na gender sensitivity Hawa wanawake wasomi waliopata nafasi 2-3 wote walipaswa kupitishwa kuwa wagombea wateule majimboni.
...alitoa rushwa?Nimesikitika mbunge wa korogwe ambae ndio alikuwa atete jimbo tena na kuongoza kura za maoni ila still amekatwa Mama Mary Chatanda
Wanawake pambaneni achaneni na hizi point za mezani
Hivi Angelina Mabula ni "ME" au "KE"?CCM ya Meko sio rafiki kwa akina mama .
1. Ummy
2. Gekul
3. Ndalichako
4. Stella Manyanya
5. Doroth Kilave
6. Jesca Msamvatavangu
7. Hamida
8. Salma Kikwete
9. Jenister
10. Leah Komanya
11.Tulia
12. Anne Kilango
13.Bonna Kamoli
Hakika inasikitisha CCM badilikeni. Wapeni akina mama nafasi.
Hii ndio pointWanawake pambaneni achaneni na hizi point za mezani
Hii ndio point
Hatuwezi kuita mfumodume ili hali hatujaomba au hatujakidhi vigezo
Nilimsahau Mkuu...ila tyr nishamwekambona sijamwona tulia ackson kwenye hiyo list,vipi maalum kuna wanaume? Fikiria kabla ya kupost