Uchaguzi 2020 CCM bado imekumbatia mfumo dume? Kati ya majimbo 200+ ni wanawake 14 tu ndo wamepenya kugombea Ubunge

Mfumo dume kivipi?

Uwiano kati ya wanawake na wanaume walioomba ukoje? Je wanawake walioomba walioomba wakakosa wanakidhi vigezo au wapewe tuu kwa sababu ni wanawake?
Ma D.
CCM walitakiwa wawape promo wanawake kuanzia mchakato hadi kugombea
..mfumo dume upo ndani ya CHAMA ndo maana wanawake wamejitokeza wachache hata hao wachache wameshindwa kuaminika..ikiwa CCM ndani ya chama wangewaamini wanawake hata huku majimboni wangeaminiwa...
CCM ilitakiwa iweke mazingira ila kwa vile Magu anatoka Kanda ya ziwa tena mzinza sitegemei kama wanawake watapewa fursa sana..
 
CCM ya Meko sio rafiki kwa akina mama .
1. Ummy
2. Gekul
3. Ndalichako
4. Stella Manyanya
5. Doroth Kilave
6. Jesca Msamvatavangu
7. Hamida
8. Salma Kikwete
9. Jenister
10. Leah Komanya
11.Tulia
12. Anne Kilango
13.Bonna Kamoli

Hakika inasikitisha CCM badilikeni. Wapeni akina mama nafasi.
Huo ni udhaifu mkubwa. Mwandishi wa makala hii naomba nisaidie orodha ya wanawake wote waliogombea na kushindwa
 
Anashinda Ummy na mama salma na ndalichako tu
 
Ma D.
CCM walitakiwa wawape promo wanawake kuanzia mchakato hadi kugombea
..mfumo dume upo ndani ya CHAMA ndo maana wanawake wamejitokeza wachache hata hao wachache wameshindwa kuaminika..ikiwa CCM ndani ya chama wangewaamini wanawake hata huku majimboni wangeaminiwa...
CCM ilitakiwa iweke mazingira ila kwa vile Magu anatoka Kanda ya ziwa tena mzinza sitegemei kama wanawake watapewa fursa sana..

Kwa kweli mimi binafsi sijaona sehemu ambayo mfumo umesababisha wagombea wanawake kujitokeza kwa uchache.
Siwezi kusema sababu Magu anatoka kanda ya ziwa na mzinza hawapi wanawake fursa huku nikijua wazi hata makamu wake ni mwanamke pia.
Wanawake kila siku tunahatunamasishwa kugombea nafasi mbalimbali ila pia hatuwezi kupewa hizo nafasi bila kuomba na kuwa na sifa zinazokubalika
 
Huo ni udhaifu mkubwa. Mwandishi wa makala hii naomba nisaidie orodha ya wanawake wote waliogombea na kushindwa

Wapo mimi tena baadhi nawafahamu wameshika namba 2-3 kwenye kura za maoni lakini wameachwa sasa mnataka wafanye uthubutu wa namna gani?

Tafuta taarifa ya watangaza nia kwa kila jimbo uone utaelewa kinachojadiliwa hapa.

Pamoja na kwamba waliothubutu kutangaza nia kwa wanawake ni wachache sana na hao wachache sana wameachwa kuteuliwa! Hebu fikiria kama siyo mfumo dume kweli ni kitu gani?
 
Kwa kweli mimi binafsi sijaona sehemu ambayo mfumo umesababisha wagombea wanawake kujitokeza kwa uchache.
Siwezi kusema sababu Magu anatoka kanda ya ziwa na mzinza hawapi wanawake fursa huku nikijua wazi hata makamu wake ni mwanamke pia.
Wanawake kila siku tunahatunamasishwa kugombea nafasi mbalimbali ila pia hatuwezi kupewa hizo nafasi bila kuomba na kuwa na sifa zinazokubalika

Fanya kwanza upembuzi yakinifu halafu uje na Haya maandishi yako kama utakuwa umejiridhisha baada ya upembuzi.

Pamoja na ukweli kuwa idadi ya wanawake walojitokeza kutangaza nia majimboni za ubunge ni wachache sana ukilinganisha na population yao ,
Na Pamoja kwamba wengi wao wanasifa za kutosha,

Pamoja na changamoto za kutokuwa na pesa za kutoa rushwa lakini wengi waliweza kupenya na kukubalika kwa kushika namba 2-3 ya kura za maoni,

Lakini haikutiliwa maanani wameachwa [emoji87][emoji87]

Bila kumumunya maneno ni wazi kuwa mfumo dume bado umetamalaki nchini!
 
Kwa kweli mimi binafsi sijaona sehemu ambayo mfumo umesababisha wagombea wanawake kujitokeza kwa uchache.
Siwezi kusema sababu Magu anatoka kanda ya ziwa na mzinza hawapi wanawake fursa huku nikijua wazi hata makamu wake ni mwanamke pia.
Wanawake kila siku tunahatunamasishwa kugombea nafasi mbalimbali ila pia hatuwezi kupewa hizo nafasi bila kuomba na kuwa na sifa zinazokubalika

Sasa nikuulize mfano sifa gani unazani zinahitajika kwa mtu kuwa mbunge?

Wewe unazani sifa hizo ni zipi?

Kwa mujibu wa Katiba iliyopo ni kujua kusoma na kuandika.

Sasa hao wanawake hizo sifa hawana?

Kuna wanawake nawajua wanasifa za kutosha, wana masters degree , wanauzoefu wa utumishi wa umma kwa miaka mingi, wana CV kubwa wameshika namba 2-3 kwenye kura za maoni na hawakutoa rushwa lakini wameachwa,

Unataka kusema nini sasa?

Kama nia ingekuwepo ya kuleta awareness na gender sensitivity Hawa wanawake wasomi waliopata nafasi 2-3 wote walipaswa kupitishwa kuwa wagombea wateule majimboni.
 
Basi iwe sawa kwako kadri uonavyo wewe
 
Wanawake pambaneni achaneni na hizi point za mezani

Hata Haya tunayojadili ni mojawapo na mbinu ya mapambano !

We are trying to bring awareness kwa wenye mamlaka kwamba kuna mambo hayakufanyika sawa!

Hapa haturushi jiwe hewani naamnini salamu zitawafikia wahusika popote walipo!

Ni kweli tunatakiwa kupambana badala ya kukaa na kusubiri hisani hiyo hatukatai.

Lakini ukweli ni kwamba wapo wanawake wapambanaji lakini akifika mwishoni pa kutoboa anapigwa pini Sasa hapo afenyeje kwa mfano?
 
CCM ya Meko sio rafiki kwa akina mama .
1. Ummy
2. Gekul
3. Ndalichako
4. Stella Manyanya
5. Doroth Kilave
6. Jesca Msamvatavangu
7. Hamida
8. Salma Kikwete
9. Jenister
10. Leah Komanya
11.Tulia
12. Anne Kilango
13.Bonna Kamoli

Hakika inasikitisha CCM badilikeni. Wapeni akina mama nafasi.
Hivi Angelina Mabula ni "ME" au "KE"?
 
Hii ndio point
Hatuwezi kuita mfumodume ili hali hatujaomba au hatujakidhi vigezo

Kuna walioomba na vigezo wamekidhi lakini wameachwa!

Fahamu hicho ndicho kilichotokea kama ulikuwa hujui!
 
Back
Top Bottom