Course Coordinator
JF-Expert Member
- Jul 27, 2019
- 1,742
- 3,224
- Thread starter
- #81
Ma D.Mfumo dume kivipi?
Uwiano kati ya wanawake na wanaume walioomba ukoje? Je wanawake walioomba walioomba wakakosa wanakidhi vigezo au wapewe tuu kwa sababu ni wanawake?
CCM walitakiwa wawape promo wanawake kuanzia mchakato hadi kugombea
..mfumo dume upo ndani ya CHAMA ndo maana wanawake wamejitokeza wachache hata hao wachache wameshindwa kuaminika..ikiwa CCM ndani ya chama wangewaamini wanawake hata huku majimboni wangeaminiwa...
CCM ilitakiwa iweke mazingira ila kwa vile Magu anatoka Kanda ya ziwa tena mzinza sitegemei kama wanawake watapewa fursa sana..