Ng'wale
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 4,690
- 3,399
Katiba iliyopo inawalindaWako madarakani? Kwani wakishindwa kutekeleza si wanaondolewa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katiba iliyopo inawalindaWako madarakani? Kwani wakishindwa kutekeleza si wanaondolewa?
Katiba ya sasa bado inafaa ila kuna mambo machache yaangaliwe. Kwa mfano mshindi urais sharti apate zaidi ya asilimia 50 ya kura. Kama hakuna mshindi wawili wenye kura nyingi waende round ya pili ya kupigiwa kura. Bila hivyo kuna siku mshindi anaweza kua na hata asilimia chini ya 10 kulingana na wingi wa wagombea na mtawanyiko wa kura kwa wagombea.
Hao walioko madarakani wenye hekima wamesema nini? Watoke wapingane na hao wapuuzi ili twende nao pamoja.Siyo kila mwanasiasa aliyepo madarakani, bali mwanasiasa aliyepo madarakani,asiye na akili wala hekima.
NANI ALITEGEMEA JIBU TOFAUTI NA HILO?
Daudi, hii katiba ni tamu mnoooo kwa aliyeko madarakani, si dhani anaweza hata kufikiria kuibadilisha. Wewe jiunge na mama ili uifaidi.Mataga yanataga tu
Polisccm ndio wanalinda kura na kuongezea kura za wizi zilizo jaa kwenye mabegi Sasa utawaondoaje madarakani?Huu sio wakati wa kuhamasisha vita, kama Ccm haifai itaondolewa kwa kura na wananchi.
Bora ulivyowaambia hizi kelele zao, haziwasaidii kituWanaotaka katiba mpya waitafute kwa nguvu. Ccm haiwezi badili katiba ili wawasaidie upinzani kuingia madarakani au wawarahisishie kumtikisa raisi. Piganeni.
Wao hawana haja ya mabadiliko,ila watanzania tunayahitaji Sana,kusibitisha hilo utaratibu wa kuipata Katiba mpya ulianza miaka kadhaa iliyopita,ila ulikwamishwa na wachache wanaopata maslahi kwa Katiba iliyopo sasa.HALMASHAURI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, imesema hakuna haja ya kuwa na Katiba Mpya kwa sasa kwa kuwa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 bado inafaa.
Futa kauli kuwa katiba inaliliwa na wachache,ama naweunayapata maslahi yako kupitia hii inayonganganiwa na wachache.Katiba mpya tena ya Jaji Warioba ndio mahitaji ya umma wa Watanzania.katiba sio ndo solution ya mambo.inshu ni nchi na wananchi kuwa kitu kimoja.utaifa na uzalendo.Taifa likiwa na spirit ya utaifa kwanza na uzalendo ,watu watawaza kulijenga taifa na kulilinda kwa udi na uvumba,just like China.Naamini hiyo katiba inayoliliwa na wachache sio kwa muktadha wa kulilinda taifa ,Bali kwa muktadha wa namna ya kupenyeza maslahi ya wazungu.