CCM inahitaji pongezi nchi hii, tulipotoka tunapajua wenyewe. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni

CCM inahitaji pongezi nchi hii, tulipotoka tunapajua wenyewe. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni

Sauti iliokuwa inaongea kipindi hiko ni moja kupitia redio Tanzania, na vibwagizo vingi 'zidumu fikra sahihi za mwenyekiti'
Yaelekea ulikuwa hujazaliwa. Mie nilikuwapo.
Unazungumzia sauti ya mheshimiwa raisi wa kwanza wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mwalimu Nyerere???
 
Sauti iliokuwa inaongea kipindi hiko ni moja kupitia redio Tanzania, na vibwagizo vingi 'zidumu fikra sahihi za mwenyekiti'

Yaelekea ulikuwa hujazaliwa. Mie nilikuwapo.
Mwenyekiti ni kiongozi na kiongozi ni baba. Na baba fikra zake ni elimu na elimu ina manufaa ikitumiwa ipasavyo. Jambo gani la msingi alikua anazungumza siku hiyo mwaka 1970???
 
Hakuna mtu atalalamika kama wote tutakuwa tunaishi kama mawaziri. Siku zote malalamiko hutokana na kutoridhishwa na hali na jambo hilo hutokana na kukosekana usawa.

Kuna matabaka makubwa sana ya watu kwenye jamii hii hii ambayo hao wana CCM wana mchango mkubwa sana kuitengeneza. Hakuna usawa ila inapokuja swala la haki. Hiki ndio kiini cha malalamiko ya vijana.

Haiwezekani mtu anaelipwa laki 4 anyimwe allowance na benefits za utumishi ila anaelipwa million 20 ajaziwe allowances na benefits kibao pamoja na seminar na masafari. Yani mwenye uwezo wa kukabili ugumu wa maisha kwa basic salary anaongezewa mihela kibao. Ambaye hawezi anapambana na matozo.
Changamoto hazikosekani kwa serikali yoyote duniani ikiwemo serikali ya chama cha mapinduzi.
 
CCM ikubali KIFO Ili Nchi ipone.

Kinyonga ni mfano mzuri sana, huyameza mayai yaliyofika muda wake kuanguliwa,

Hupanda juu ya mti mrefu na kujirusha chini akielekeza tumbo chini.

Tumbo likipasuka na Yeye kufa, ndo maisha ya watoto wa Kinyonga huanza.

CCM ilipogundua mfumo wa chama kimoja umefail, ilitakiwa kuandika KATIBA mpya na kuiua CCM.

Muda Bado upo.

CCM ijimalize Kwa maslah mapana ya nchi.
 
Tufafanulie zaidi mdau
 
Kwa wale waliozaliwa miaka ya 60 na 70 na 80 wanaelewa tunaposema japokua mapungufu yapo ila serikali ya Tanzania chini ya CCM inahitaji pongezi kwa tulipofika mpaka sasa.

Vijana wa nchi hii wanahitaji kuelimishwa zaidi katika hili maana wamekua mabingwa wa kulalamika tu. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.
Wazee mmechoka vibaya, mnaotaka kuwashauri ambao ni Vijana, wana maono mazuri juu ya nchi yao kulikoni nyinyi ambapo kwa sasa mnaona kifo na uhai ni kama vimeegemeana!

Akili yenu kwa sasa inalenga kuiba na kula tu kwa sababu hamna cha kupoteza, maana uzee si unajua tena Israel kazi yake! Hamfikilii kabisa kuhusu Taifa la leo na kesho
 
Unazungumzia sauti ya mheshimiwa raisi wa kwanza wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mwalimu Nyerere???
Yes na ccm na mfumo wake kwa ujumla. Ni ile ile. Atakaloongea mwenyekiti basi kwao ni fikra sahihi, chawa wataangaika kuzidumisha, ziwe mbovu au la. Hii kitu ni utamaduni wa siku nyingi.

Zamani Chawa na hata ss ni wateule kwenye idara mbalimbali za serikari, vyombo vya usalama ambapo enzi hizo uwezi kuwa mwanajeshi bila kadi ya ccm/Tanu.
 
Wazee mmechoka vibaya, mnaotaka kuwashauri ambao ni Vijana, wana maono mazuri juu ya nchi yao kulikoni nyinyi ambapo kwa sasa mnaona kifo na uhai ni kama vimeegemeana!

Akili yenu kwa sasa inalenga kuiba na kula tu kwa sababu hamna cha kupoteza, maana uzee si unajua tena Israel kazi yake! Hamfikilii kabisa kuhusu Taifa la leo na kesho
Sijakuelewa unachomaanisha mwanangu.Ina maana sisi baba zako hatuna uchungu na nyie??
 
Yes na ccm na mfumo wake kwa ujumla. Ni ile ile. Atakaloongea mwenyekiti basi kwao ni fikra sahihi, chawa wataangaika kuzidumisha, ziwe mbovu au la. Hii kitu ni utamaduni wa siku nyingi. Zamani Chawa na hata ss ni wateule kwenye idara mbalimbali za serikari, vyombo vya usalama ambapo enzi hizo uwezi kuwa mwanajeshi bila kadi ya ccm/Tanu.
Ebu nisaidie kidogo mdogo wangu.Unaposema chawa unamaanisha nn???
 
Sijakuelewa unachomaanisha mwanangu.Ina maana sisi baba zako hatuna uchungu na nyie??
Sema inamaana nyinyi wazee hamna uchungu na nchi!

Uchungu huo muupate wapi wakati miaka 10 ijayo kwenu ni ni kama mbingu na aridhi!

Na ndiyo maana mnaishi kwa ufisadi?
 
Tufafanulie zaidi mdau
CCM ilipotufikisha panatosha.

Haiwezekani tena kutatua changamoto za wananchi ikiwa madarakani.

KATIBA mpya lazima ije na CHAMA kipya madarakani.

Tunaishukuru CCM Kwa kutufikisha tulipo Kwa Amani,

Yatosha sasa.
 
Back
Top Bottom