Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Mfano ulitaka akushawishi vipi? Mana waliokuwepo eneo husika memuelewa sanaSasa hivi nasikikiliza hotuba ya Magufuli akiwa Kawe. Naona kama vile analazimisha achaguliwe Gwajima na diwani wa CCM ndo achaguliwe.
Ni kama anatishia vile CCM mshaurini mgombea wenu angalau awe na lugha ya ushawishi.
Kama Tundu wa CHADEMA aliwahi kuweka maovu ya Lowasa hadharani na akarudi kumsafisha ili wachukue dola nani anaweza kuwaamini CHADEMA??Nguvu kubwa inatumika kutisha na kuifananisha nchi na Libya lakini wapi.
Kauli za zamani za Gwajima ndio zinamuhukumu, alitoa kauli za kashfa kwa waislamu na wakristu walio kinyume na imani yake.
Mkutano wa CCM Kawe leo wananchi wapo kimya sana na umepoa sana.
Nguvu kubwa inatumika kumsafisha Gwajima kuwa anafanyiwa kampeni chafu za ukabila na udini.
Lakini uchafu huu wa kashfa za udini na ukabila aliyetaka yeye mwenyewe.
Bado hujakuwa ukikuwa utaacha .Nguvu kubwa inatumika kutisha na kuifananisha nchi na Libya lakini wapi.
Kauli za zamani za Gwajima ndio zinamuhukumu, alitoa kauli za kashfa kwa waislamu na wakristu walio kinyume na imani yake.
Mkutano wa CCM Kawe leo wananchi wapo kimya sana na umepoa sana.
Nguvu kubwa inatumika kumsafisha Gwajima kuwa anafanyiwa kampeni chafu za ukabila na udini.
Lakini uchafu huu wa kashfa za udini na ukabila aliyetaka yeye mwenyewe.
Nakushauri tu Ni pitia vizuri historia ya Libya mwanzoni na sasa ufapata concept ya Rais MagufuliNguvu kubwa inatumika kutisha na kuifananisha nchi na Libya lakini wapi.
Kauli za zamani za Gwajima ndio zinamuhukumu, alitoa kauli za kashfa kwa waislamu na wakristu walio kinyume na imani yake.
Mkutano wa CCM Kawe leo wananchi wapo kimya sana na umepoa sana.
Nguvu kubwa inatumika kumsafisha Gwajima kuwa anafanyiwa kampeni chafu za ukabila na udini.
Lakini uchafu huu wa kashfa za udini na ukabila aliyetaka yeye mwenyewe.
Hebu naomba tuanze na clip aliyosema hiyo kauli.mana nimekuwa nikifatilia kampeni zake na hakuba sehemu aliyosema wala kufanya hivyo Mara zote anaanza kwa kujiombea kura yeye mwenyewe kisha wabunge na madiwani wake na huwa anaomba kwa unyenyekevu mkubwa.Ubabe Ubabe tu.. Mgombea wa CCM tunasikia yeye hajiombei kula bali Wagembea wake wa Ubunge na udiwani ndio uwaombea...Kama ni Kweli hii imekaaje??
Hapa Kwenye suala la ubunge kawe Mdee akatafute shughuli ya kufanyaNguvu kubwa inatumika kutisha na kuifananisha nchi na Libya lakini wapi.
Kauli za zamani za Gwajima ndio zinamuhukumu, alitoa kauli za kashfa kwa waislamu na wakristu walio kinyume na imani yake.
Mkutano wa CCM Kawe leo wananchi wapo kimya sana na umepoa sana.
Nguvu kubwa inatumika kumsafisha Gwajima kuwa anafanyiwa kampeni chafu za ukabila na udini.
Lakini uchafu huu wa kashfa za udini na ukabila aliyetaka yeye mwenyewe.
Na asipoapishwa utakuwa tayari kunywa rojo la chooni? Unajua madhara ya Ile kauli ya magu juu ya kumkata mpwa wake na kumuweka pornstar wenu kwa wanaccm wa kawe? Kama hujui Basi utakuwa juha na bwege mtozeni! Wajumbe Wana lao oktoba 28!Punguani, katafute malimao.Siku Bishop. Gwajima, akiapishwa ndio utajua wananchi tumeamua.
Rudia kufanya utafiti wako tena!!asilimia karibia 60 ya watu vijijini wana tumia simu!! Ushaidi ni mikutano ya Lissu haipati airtime ya chombo chochote cha habari lakini watu wanajaa kumsikiliza!!dunia ya leo watanzania wengi ni waelewa ugumu wa maisha,kikokotoo,kukosa ajira kumewafumbua macho wengi, imagine mzazi amesomesha mtoto kwa shida,inauma sana kwa mzazi ambae mtoto wake hana ajira,kikokotoo,leo wastaafu wanapewa fedha za kijungu jiko tena zinatoka kwa mafungu, wastaafu wengi wanarudi vijijini watu wanaona ndugu zao wanavyoteseka,nani atakubali kulea huu ujinga?? Yaani Magufuli and company,wakistaafu wanalipwa chao mapema tena na matibabu wanapewa na nyumba na huduma zote mpaka siku watakapoingia kaburini!!sasa kwann watese wastaafu wengine kwa sheria zao mbovu!!Ngoja tuone wananchi watakavyoamua kupitia sanduku la kura kama watakuwa wako well infomed .
Off course Campaign ya safari hii inaonekana kuwa Na awareness kubwa ukilinganisha ma awamu zilizopita.
Wapigakura wengi wako mitaani na mikoani!
Wapigakura wengi hawana simu kabisa na wakiwa nazo siyo simu janja!
Wapigakura wengi kutokana na umaskini hawana hata redio za kuwapa taarifa mbali mbali!
Sijui ngoja tuone mwitikio wa wapigakura kupitia sanduku la kura hatimae matokeo yatavyokuwa!
Wewe wa wapi kwa akili yako ndogo unaona ivyo, Gwajima tunamkubali kawe hiyo iko waziwaziNguvu kubwa inatumika kutisha na kuifananisha nchi na Libya lakini wapi.
Kauli za zamani za Gwajima ndio zinamuhukumu, alitoa kauli za kashfa kwa waislamu na wakristu walio kinyume na imani yake.
Mkutano wa CCM Kawe leo wananchi wapo kimya sana na umepoa sana.
Nguvu kubwa inatumika kumsafisha Gwajima kuwa anafanyiwa kampeni chafu za ukabila na udini.
Lakini uchafu huu wa kashfa za udini na ukabila aliyetaka yeye mwenyewe.
Ndio mbunge wa kawe huyo, kubali kataa! Mdee akatatute mume tu..
Kwanza gwajima ni mtu ambaye anatumia akili saana kuliko huwezi hata kumfananisha na wengine
Gwajima kawe anatoshaa
Madaktari wake wanalo jibu,siye ni wageni humu ndaniUbabe Ubabe tu.. Mgombea wa CCM tunasikia yeye hajiombei kula bali Wagembea wake wa Ubunge na udiwani ndio uwaombea...Kama ni Kweli hii imekaaje??
Bishop. Gwajima atamtoa knockout yule Bi. Kidude. Kawe itapaa kwa maendeleo, ni mtu mkweli, mwenye uthubutu, mwenye expose ya hali ya juu.
Labda bunge la Brazzers kule nchi ya xvideoz!Gwajima bungeni anaingia