CCM kwa hiki mlichoufanyia Uwanja wa Benjamin William Mkapa, Mungu anawaona

Dah,

CCM Mlijua kabisa Leo tarehe 11 October 2020 tutakua na Mechi Muhimu ya Kimataifa ya Kirafiki kati ya Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars v/s Burundi lakin bado mkapitisha Fiesta lenu palepale. Uwanja wote umejaa vipara, na zile ni nyasi halisi, kutota tena ni majaaliwa.

Uwanja sasa umeharibika, Mipira haitambai kama inavyotakiwa, huu ndio uzalendo kweli? Hivi hata tukifungwa si mtakua mnahusika nyiyni watu? Kweli kabisa mnathubutu kuharibu uwanja namna hii mkijua wazi utatumika tu soon? Kweli kabisa nyie ndio mnataka tuwape mitano mingine tena huku tukijua wazi hamna uchungu na rasilimali zetu?

Imenigusa sana hii,

View attachment 1596951
Mkuu, sasa CCM yawahusu vipi hii ilhali yupo meneja wa uwanja?

Ni ujinga wa meneja wa uwanja kushindwa kuutunza uwanja.

Ndo maana aliteuliwa kuwa meneja wa huo uwanja.
 
Meneja angeweza kumkatalia Magufuli?
Au unamaanisha kuutunza kwamba siku ile awaambie CCM wasikunyage kwa nguvu?
 
Matunzo ya hizi facilities ni jukumu la meneja wa uwanja.

Iwe CCM au Chadema wanataka kutumia uwanja wanapaswa kufanya malipo fupani kwa ajili ya matunzo na usafi baada ya shughuli.

Matengenezo na utunzaji kwa ujumla ni jukumu la meneja wa uwanja iwe una nyasi za kijani au za njano au ubovu wa hapa na pale.

Hii huitwa facilities management.

Sasa hapo tusiwalaumu CCM kwa watu kushindwa kufanya uangalizi wa uwanja kama huu.
 
Sawa,
Uwanja umetumika Juzi mpaka nyasi zikanyonyoka na kua vipara vile. Unadhani ni kiasi cha Tzs ngapi zikitolewa zinaweza kuotesha nyasi mpya zikashika ndani ya siku 2?
 
Ground maintenance ni kazi endelevu na ni ujinga na upumbavu wa meneja kushindwa kuwa na groundsmen na vifaa vya kutunza uwanja.

Siku zote nyasi zatakiwa kutunzwa kwa umwagiliaji na ukataji katika standards zinazotakiwa.

Hivo kama ni mechi zaweza kuchezwa baada ya hizo siku mbili na baadae uwanja kufungwa kwa ajili ya kukuza nyasi.

Hiyo ni kwasabau uwanja umeishaharibika kwa sasa.

Nyasi za kutoka kwenye vitalu hukua baada ya 4 weeks, the latest.
 
Uwanja wa soka ghafla umekuwa kama uwanja wa mbio za farasi .
Nilipokuwa naishi nje niliona hata viwanja vya wenzetu huko ughaibuni huchafua viwanja na hata mabarabara yao kwa makopo na maboksi.

Lakini hutumia muda wa saa kadhaa tu kusafisha sehemu hizo na baadae kunakuwa kusafi kama mwanzo.

Hayo yote ni kazi ya meneja wa shughuli na "organisations skill"s kuhakikisha kampuni za usafi zilizokula tenda zinafanya kazi hizo kwa asilimia 100.
 
Ccm ni waharibifu sana na waongo wakajaribu kuficha hali ya uwanja lakn imeshndikana....hawaaminik kabsa hawa watu
IMG_20201011_175021.jpeg
IMG_20201011_174803.jpeg
 
Matunzo ya hizi facilities ni jukumu la meneja wa uwanja.

Iwe CCM au Chadema wanataka kutumia uwanja wanapaswa kufanya malipo fupani kwa ajili ya matunzo na usafi baada ya shughuli.

Matengenezo na utunzaji kwa ujumla ni jukumu la meneja wa uwanja iwe una nyasi za kijani au za njano au ubovu wa hapa na pale.

Hii huitwa facilities management.

Sasa hapo tusiwalaumu CCM kwa watu kushindwa kufanya uangalizi wa uwanja kama huu.
We jamaa ni ng'ombe, tena ng'ombe haswaaa.
 
Hili ndo zao la shule za kata uelewa ni 0%

Mjadala uliopo mezani na unachochangia ni inverse proportion

Siyo kosa lako anyway .
 
Azam TV leo wameweka mambo Mubashara
 
Attachments

  • 121259540_631001184244414_6868327353793461285_n(1).jpg
    121259540_631001184244414_6868327353793461285_n(1).jpg
    153.8 KB · Views: 1
  • 121307192_205129604498777_2800259232355893977_n.jpg
    121307192_205129604498777_2800259232355893977_n.jpg
    114 KB · Views: 1
  • EkD3pROWsAYvdaM.jpg
    EkD3pROWsAYvdaM.jpg
    15.3 KB · Views: 1
  • EkDiSEIXcAAFZ9-.jpg
    EkDiSEIXcAAFZ9-.jpg
    38.3 KB · Views: 1
Chadema mtacha lini kulalamika lakini eeh?
Watu wanatoa hoja za msingi we unafanya masihara?Km ni mzalendo halisi lazima uchukue, kile kilichofanywa na CCM Ni ubabe si wa kijinga tu bali wakipumbavu.
 
Back
Top Bottom