Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 15,692
- 23,038
Mkuu, sasa CCM yawahusu vipi hii ilhali yupo meneja wa uwanja?Dah,
CCM Mlijua kabisa Leo tarehe 11 October 2020 tutakua na Mechi Muhimu ya Kimataifa ya Kirafiki kati ya Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars v/s Burundi lakin bado mkapitisha Fiesta lenu palepale. Uwanja wote umejaa vipara, na zile ni nyasi halisi, kutota tena ni majaaliwa.
Uwanja sasa umeharibika, Mipira haitambai kama inavyotakiwa, huu ndio uzalendo kweli? Hivi hata tukifungwa si mtakua mnahusika nyiyni watu? Kweli kabisa mnathubutu kuharibu uwanja namna hii mkijua wazi utatumika tu soon? Kweli kabisa nyie ndio mnataka tuwape mitano mingine tena huku tukijua wazi hamna uchungu na rasilimali zetu?
Imenigusa sana hii,
View attachment 1596951
Ni ujinga wa meneja wa uwanja kushindwa kuutunza uwanja.
Ndo maana aliteuliwa kuwa meneja wa huo uwanja.