Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio kukosa kazi tu we acha wangefunguliwa kesi ya Uhujumi uchumi arafu Mgombea wao angefungiwa kufanya kampeni siku saba kwa kuharibu uwanja iliyopelekea timu ya wanyongwe kufungwa na BurundiChama pinzani kingeharibu huo uwanja kwanzia manager uwanja wote wangekosa kazi mpaka waziri husika
Hivi alidhani kuwa watu hawataona?View attachment 1597130View attachment 1597131
Pamoja na siasa zinazoendelea wakati huu wa uchaguzi lakini hatupaswi kumuweka Mungu pembeni.
Huu uongo ulitungwa kwa faida ya nani. Hizi ni dharau kwa watanzania. Ajabu jingine ni kwamba mnaona raha kuogopwa kwa kiwango hiki kama Mungu? Pamoja na uharibifu wote huu lakini hakuna chombo chochote cha habari kilichohoji. Jisikie aibu
Kwa nchi za wenye akili, Dr.Abbas ndo ilikuwa basi tena.View attachment 1597130View attachment 1597131
Pamoja na siasa zinazoendelea wakati huu wa uchaguzi lakini hatupaswi kumuweka Mungu pembeni.
Huu uongo ulitungwa kwa faida ya nani. Hizi ni dharau kwa watanzania. Ajabu lingine ni kwamba mnaona RAHA kuogopwa kwa kiwango hiki kama Mungu? Pamoja na uharibifu wote huu lakini hakuna chombo chochote cha habari kilichohoji. Jisikie aibu
Kumbe Abbas anawanyima usingizi mtakonda mwaka huu.Kwa nchi za wenye akili, Dr Abbas ndo ilikuwa basi tena.
Yaani kama mkutano wa chadema ndio ungekuwa umefanya hayo, kesho yake tu watu wangefukuzwa kazi, na yangeratibiwa maandamano eti ya wafia soka!! Eti kulaani kwa kuharibiwa uwanja huo!! Lakini kwakuwa ni wao hutasikia chochote!!Tunalalamika nini wewe?
Huoni Picth ilivyo sasa na Picha tumeweka?
Mbona mnatetea uozo wa wazi kabisa?
CHADEMA waliomba 2015 wakajibiwa ule Uwanja sio wa mambo hayo, so wakanyimwaYaani kama mkutano wa chadema ndio ungekuwa umefanya hayo, kesho yake tu watu wangefukuzwa kazi, na yangeratibiwa maandamano eti ya wafia soka!! Eti kulaani kwa kuharibiwa uwanja huo!! Lakini kwakuwa ni wao hutasikia chochote!!
Dr. Abbas lafa sana yanView attachment 1597130View attachment 1597131
Pamoja na siasa zinazoendelea wakati huu wa uchaguzi lakini hatupaswi kumuweka Mungu pembeni.
Huu uongo ulitungwa kwa faida ya nani. Hizi ni dharau kwa watanzania. Ajabu lingine ni kwamba mnaona RAHA kuogopwa kwa kiwango hiki kama Mungu? Pamoja na uharibifu wote huu lakini hakuna chombo chochote cha habari kilichohoji. Jisikie aibu
Mambo yanatia hasira sana!!! Utasikia ohoo, tuwe wamoja, wazalendo!! Ila hata sielewi wajinga wataisha lini nchi hii!! Ili kuondokana na madhira haya!!CHADEMA waliomba 2015 wakajibiwa ule Uwanja sio wa mambo hayo, so wakanyimwa