CCM kwa hiki mlichoufanyia Uwanja wa Benjamin William Mkapa, Mungu anawaona

Chama pinzani kingeharibu huo uwanja kwanzia manager uwanja wote wangekosa kazi mpaka waziri husika
 
Duh wali shindwa kwenda ule wa pembeni ni awamu ii tu ndo ujinga mwingi una fanyika
 
EkDiTSsXgAAPxWr.jpeg
EkDiTn9XgAUqTtp.jpeg

Pamoja na siasa zinazoendelea wakati huu wa uchaguzi lakini hatupaswi kumuweka Mungu pembeni.
Huu uongo ulitungwa kwa faida ya nani. Hizi ni dharau kwa watanzania. Ajabu lingine ni kwamba mnaona RAHA kuogopwa kwa kiwango hiki kama Mungu? Pamoja na uharibifu wote huu lakini hakuna chombo chochote cha habari kilichohoji. Jisikie aibu
 
Chama pinzani kingeharibu huo uwanja kwanzia manager uwanja wote wangekosa kazi mpaka waziri husika
sio kukosa kazi tu we acha wangefunguliwa kesi ya Uhujumi uchumi arafu Mgombea wao angefungiwa kufanya kampeni siku saba kwa kuharibu uwanja iliyopelekea timu ya wanyongwe kufungwa na Burundi
 
View attachment 1597130View attachment 1597131

Pamoja na siasa zinazoendelea wakati huu wa uchaguzi lakini hatupaswi kumuweka Mungu pembeni.
Huu uongo ulitungwa kwa faida ya nani. Hizi ni dharau kwa watanzania. Ajabu jingine ni kwamba mnaona raha kuogopwa kwa kiwango hiki kama Mungu? Pamoja na uharibifu wote huu lakini hakuna chombo chochote cha habari kilichohoji. Jisikie aibu
Hivi alidhani kuwa watu hawataona?

Haya maiziii yaendee tu
 
Waliurashia rashia maji wakapiga picha usiku, kutuhadaa mwisho wameumbuka!
Wakaurashia tena maji dakikia 10 kabla ya mechi ili kificha aibu lakini waapi!
Mwisho wa siku gundu waliloutia likazaa kadi nyekundu, hitimisho ikawa ni kupigwa ka Nguruwe!
 
View attachment 1597130View attachment 1597131

Pamoja na siasa zinazoendelea wakati huu wa uchaguzi lakini hatupaswi kumuweka Mungu pembeni.
Huu uongo ulitungwa kwa faida ya nani. Hizi ni dharau kwa watanzania. Ajabu lingine ni kwamba mnaona RAHA kuogopwa kwa kiwango hiki kama Mungu? Pamoja na uharibifu wote huu lakini hakuna chombo chochote cha habari kilichohoji. Jisikie aibu
Kwa nchi za wenye akili, Dr.Abbas ndo ilikuwa basi tena.
 
Tunalalamika nini wewe?
Huoni Picth ilivyo sasa na Picha tumeweka?
Mbona mnatetea uozo wa wazi kabisa?
Yaani kama mkutano wa chadema ndio ungekuwa umefanya hayo, kesho yake tu watu wangefukuzwa kazi, na yangeratibiwa maandamano eti ya wafia soka!! Eti kulaani kwa kuharibiwa uwanja huo!! Lakini kwakuwa ni wao hutasikia chochote!!
 
CHADEMA waliomba 2015 wakajibiwa ule Uwanja sio wa mambo hayo, so wakanyimwa
 
View attachment 1597130View attachment 1597131

Pamoja na siasa zinazoendelea wakati huu wa uchaguzi lakini hatupaswi kumuweka Mungu pembeni.
Huu uongo ulitungwa kwa faida ya nani. Hizi ni dharau kwa watanzania. Ajabu lingine ni kwamba mnaona RAHA kuogopwa kwa kiwango hiki kama Mungu? Pamoja na uharibifu wote huu lakini hakuna chombo chochote cha habari kilichohoji. Jisikie aibu
Dr. Abbas lafa sana yan
 
Nikiringanisha zile picha zilizokua zimepostiwa jana na Msemaji wa Serikali pamoja nilichokiona Leo kwenye TV ni Vitu viwili tofauti!

Hapo ndo huwa najiuliza unadanganya kwa faida gani? Ili iweje kwa Mfano?
 
CHADEMA waliomba 2015 wakajibiwa ule Uwanja sio wa mambo hayo, so wakanyimwa
Mambo yanatia hasira sana!!! Utasikia ohoo, tuwe wamoja, wazalendo!! Ila hata sielewi wajinga wataisha lini nchi hii!! Ili kuondokana na madhira haya!!
 
Back
Top Bottom