GE2025 CCM wasogeza mbele Vikao vya Chama vilivyopangwa kufanyika kuanzia leo mpaka itakapotangazwa tena

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Uchaguzi batili UTAYEYUKA Hadi pale reforms zitapofanyika kupata Tume huru ya uchaguzi.
Ukisikia kupatwa Kwa chakandumuz nsio huku

Sasa mnaomba miiiinimal reforms Happ mshiriki uchaguzi na kupata ruzuku

Inaitwa paka kala mbwa
 
Hakuna code ngumu hapo
 
Shenziiii!!!!!
Zile tetesi zina ukweli juu mama kukosa usingizi kutokana na mpasuko Huko ndani.
Huyu mama atapata shida Sana kwenye uongozi wake
Usilolijua ni kama usiku wa Giza
CCM imefanya sahihi kabisa kuahirisha
CCM imecheza chenga kali ya uhakika
 
Ukisikia kupatwa Kwa chakandumuz nsio huku

Sasa mnaomba miiiinimal reforms Happ mshiriki uchaguzi na kupata ruzuku

Inaitwa paka kala mbwa
Tunadi Reforms kwenye katiba ya ccm Ili kurudia mchakato wa kupata mgombea Urais.

Shida yako huelewi!
 
Kwenye huu MTATIZIKO wa kisiasa nchini , vyama vikutane minimum reforms ifanyike twende kwenye uchaguzi mwakani mapema, February 2026 kwa Maslahi mapana ya MAMA TANZANIA
N.B
Mfalme Selemani aliomba HEKIMA
 
Mkiambiwa bila reforms hakutakuwa na uchaguzi muwe mnaelewa.

Lisu mmoja tu ameparaganyabkabisa serikali na chama cha mapinduzi. Na bado, soon utasikia mwenyekiti wa ccm taifa kasusa vikao.
 
Hakuna code ngumu hapo
kama si ngumu mbona CDM imeshindwa siku zote??, na sasa ime commit suicide, nani ataweza crack hiyo code, ukitaka kujua waulize wenye akili, KITILA MKUMBO, MTATIRO, NASARI, KAFURILA, CECIL MWAMBE.....etc, etc, we IQ yako ya kwenye social media utalinganisha na hao walio surrender CCM?? na maisha yao yamekuwa ya kistaarabu
 
mmh huu moto ea mwaka huuu sallaleiiii
 
kuna mtu jana aliandika kuanzia Leo moto utawaka mmmh sasa namwelewaa kidogooo
 
Code si ngumu tatizo vichwangumu wengi sana hapo chakandumuz
 
Taarifa ni sahihi hii? Nilidhani inatolewa na Mwenezi ama Katibu Mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…