CCM wenye akili na vyama vya upinzani wote wamegoma kucheza ngoma ya Makonda

Makonda ni presidential figure, labda awe fixed naye.
 
Ngoma mnaicheza sana,hata wewe kwa huu uzi umedhihirisha ya kwamba unaicheza ngoma yake, MAKONDA NI HABARI YA SAYARI NYINGINE KWA SASA
 
CCM must wake up before it's too late to realize that he is the very way to their destination of woe...
Kwa jinsi ilivyo, Makonda ni Clean up man, The Sweeper Upper!

Kwa aliyesoma ORMETA, kitabu cha Mario Puzo, atanielewa kwa ufasaha zaidi.
 
Makonda ni chambo, na chambo shurti kiliwe na akishapatikana anayetafutwa huwa ndo mwisho wa chambo
 
Hata alipokawa RC Dsm alikuwa habari namba mbili nyuma ya habari ya Boss wake mwendazake,kwani jipya ni lipi katika hayo anayoyafanya..??

Bado uko kwenye zama za kutazama nyomi ya watu kwenye mikutano ya wanasiasa na kuacha kutafakari uhalisia wa Hali halisi ambazo hao wanasiasa wanawafanyia hao watu wao??

Amka gizani huko....
 
Makonda ni chambo, na chambo shurti kiliwe na akishapatikana anayetafutwa huwa ndo mwisho wa chambo
Kama ni hivyo,mrushaji wa ndoana ni nani sasa,CCM au Mwenyekiti wa chama?
 
Kijiba Cha roho πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Ccm ndio maana huwa nawambia ni nguruwe hata akili hamna subirin uchaguzi ndio mtajua na huyo mfoji vyeti wenu.
 
Kumbe unamfuatilia na kumsikiliza vizuri ee?? Tena sio mara moja.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…