CCM wenye akili na vyama vya upinzani wote wamegoma kucheza ngoma ya Makonda

Hao CCM wenye akili ni kina nani? Na ulitegemea hao the so called wenye akili wafanye nini? Wazuie asisikilize kero za wananchi? Au hasa kosa la Makonda ni lipi?

Moja ya kanuni ya asili ni kutokupenda ombwe. Linapotokea ombwe, tegemea tu kuna namna litazibwa, na litazibwa hata na wasiofaa.

Ya Makmda ni matokeo ya kufail kwa mfumo wa utoaji haki nchini. Ukisikiliza malalamiko ya watu mikutanoni, wote ni dhidi ya Polisi, Mahakama, Ardhi au malipo ya stahiki mbalimbali. Sasa tusaidie, hao unaowaita wenye akili CCM wamefanya nini kutibu dhulma hizi kwa wananchi?
 
Makonda alikuwa kinara wa kundi la wasiojulikana waliohusika na visa vya utekaji nyara watu na kuwauwa wakati wa utawala wa dikteta Magufuli John Pombe.

Aliyemteua kwenye hicho cheo sijui naye kama ana akili timamu maanake kwa wanaojitambua hakuna chochote cha maana anachokiongezea hicho chama ambacho kilishapoteza mvuto miongo mingi iliyopita na kimebaki kuhujumu chaguzi ili kiendelee kung'ang'ania madarakani.

Na hata nchi kubwa kama Marekani kwa kufahamu Makonda ni mtu wa namna gani kikampiga ban asiweze kukanyaga nchi hiyo.
 
Elewa kiichoandikwa,hakuna sehemu tumebebeza kero za wananchi huko ambako Makonda anapita.

Kipindi Cha mwendazake alikuwa anakwenda hadi magerezani kusikiliza kero za wananchi,na hata alipokawa kwenye ziara zake za kukagua maendeleo alikuwa anakutana na situation kama hizi na mabango mengi yalikuwa wananyanyuliwa wananchi wakilia na kero Zao na mara nyingi viongozi walikuwa wanatumbuliwa hapo hapo kwenye mikutano hiyo,kwani umesahau??

Kwamba hiki anachokifanya Makonda ni kipya?sema tuh labda useme ni mwenezi mpya Kuja na style kama hii,lakini kero zipo na zitaendelea kuwepo.

Kitendo Cha Makonda kujiona yeye ni hero eti Kwa kuwa anasimama kusikiliza kero ambazo amekuwa anasikiliza hata kipindi akiwa RC Cha dsm siyo Cha kumfanya yeye kuwa hero to the extent ya kusema kwamba anafanya kazi Kwa MAAGIZO ya Mwenyekiti wa chama na wengine wajiandae kupokea taarifa za mabadiliko ya nafasi Zao,huo ni uzuzu.
 
Hao wenye akili CCM ni kina nani?kama wapo, matatizo haya ya kimfumo wangeyatatua unadhani Ya Makonda yangekuwepo?
 
kwani akina Nani bwana acha wafee tu utazani Wao ndio wa kwanz kufa waliuliwa unataka nini sasa
 
yanayodhulumu watu hay yanatakiw kuuuawa hadharani kwa kutwangwa risasi
 
Mbona nawe unaicheza hiyo ngoma hapa?

Makonda mnampaisha kwa either kuunga mkono kile anachofanya, au kumpinga, mwisho wa siku wote mnajikuta mnalitaja jina lake!.

Ndio maana ya ku trend hiyo..

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Mbona nawe unaicheza hiyo ngoma hapa?

Makonda mnampaisha kwa either kuunga mkono kile anachofanya, au kumpinga, mwisho wa siku wote mnajikuta mnalitaja jina lake!.

Ndio maana ya ku trend hiyo..

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Hata Mashoga pia wanatrend, PAPA anapotoa kauli za kutetea ndoa Zao anawapa kick ya kutrend pia,inategemea MTU anatrend Kwa muktadha upi uelewe.
 
You are missing the point,kila teuzi Zina expectations zake...

Even mwendazake alimteua kuwa ni RC kipindi kile,Nini kilitokea katika kutekeleza majukum yake ya ukuu wa mkoa?na why had anaenda kaburini hakumrudisha kwenye circle yake?
So Samia ameona kuwa kuna kitu kikubwa sana kilikuwa kinakosekana imebidi amrudishe kwenye system. Itakuwa amegundua jamaa ni very smart. Sababu Samia alikuwepo kipindi cha marehemu na aliona utendaji wa Bashite na ameona amrudishe tena atende alivyokuwa akitenda.
 
Kwani kila anayeteuliwa na Rais huwa ni mtu anayefaa? Rais ni mtu kama wewe, kuna maeneo anaweza kuwa sahihi, kuna maeneo anaweza kuboronga sana. Hili la Makonda, ameboronga sana.
Kumbe Rais anaweza chagua mtu asiyefaa na bado akamwacha aendelee kufanya kazi? Na mtu ambaye tayari ashawahi fanya naye kazi before? Wewe unaona ameboronga yeye anaona ndo amepata mtu sahihi.
 
πŸ†’πŸ“πŸ‘πŸ‘ŒπŸ‘πŸ€πŸ”ŠπŸ’
 
Naweza nisiwe clean kwa kiwango chako na vya wengine, lakini kwa 100%, sijawahi na wala sitawahi kumpoteza mtu, kumwua mtu, kupora mali ya mtu, kumtesa mtu au kumwibia yeyote.
Haya Bwana Malaika wewe ni wa Peponi moja kwa moja
 
Hata Mashoga pia wanatrend, PAPA anapotoa kauli za kutetea ndoa Zao anawapa kick ya kutrend pia,inategemea MTU anatrend Kwa muktadha upi uelewe.
Kama unakubali Makonda ana trend, basi maana yake amefanikiwa kuifanya vyema kazi aliyopewa ya kukitangaza chama chake, bila kujali ana trend kwa namna ipi.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Wapiga kura Watanzania wangekuwa hata na robo ya akili ni muda wa kuikataa CCM. Makonda anachofanya ni kuonyesha umma ni kiasi gani mfumo wa CCM umekufa. Anachojadili ni kama vile kuna chama kingine kinatawala tofauti na CCM. Uozo uozo kila anapopita dhuluma ni kansa katika utawala wa CCM. Wakurugenzi ni miungu watu huko mikoani. Hongera Makonda kwa kuivua nguo serikali ya Samia.
 
I see,Kuna kitu Cha msingi umeongea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…