Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Mpango naona Hana mpango!Mpango hajataka kuwa sehemu ya mpango.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpango naona Hana mpango!Mpango hajataka kuwa sehemu ya mpango.
Kaomba kupumzikakwa nini siyo P.Mpango? haijawahi kutokea tanzagiza raisi akabadilisha mgombea mwenza ngwe ya pili, nafikiri kuna kitu kinaendelea na sii kidogo kwenye nchi yetu, mficha ugonjwa kifo kitamuumbua …
Kikwete alibadili kwenye muhula wake wa pili baada ya Dk Shein kwenda kugombea Uraisi wa Zanzibarkwa nini siyo P.Mpango? haijawahi kutokea tanzagiza raisi akabadilisha mgombea mwenza ngwe ya pili, nafikiri kuna kitu kinaendelea na sii kidogo kwenye nchi yetu, mficha ugonjwa kifo kitamuumbua …
Wanaweza kumkaribisha akawe mgombea mwenzaKwa hiyo kuanzia 2030 uwezekano ni mkubwa kuwa CHADEMA wakawa wanapambana na Nchimbi. Huu utakuwa wakati mzuri kwa CHADEMA kuweza kufurukuta, kuna uwezekano mkubwa. Kwa ujumla Nchimbi ni mwanademokrasia lakini pia ni mtu dhaifu. CHADEMA jipangeni vizuri.
Mapichapicha tu....Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni mgombea urais, Samia Suluhu Hassan amempendekeza Katibu Mkuu wa chama hicho, Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa mgombea mwenza katika uchaguzi utakaofanyika Oktoba 2025.
View attachment 3206628
Dkt. Nchimbi ambaye aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM Januari 15, 2024 katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya chama hicho kilichofanyikia Unguja, visiwani Zanzibar.
Pia, Soma: Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025
View attachment 3206644
Dkt. Nchimbi alichukua nafasi iliyoachwa wazi na Daniel Chongolo aliyejiuzulu Novemba 29, 2023. Rais Samia amempendekeza Dkt. Nchimbi leo Jumapili, Januari 19, 2025 katika mkutano mkuu maalumu jijini Dodoma.
😳😳😳 how mbona mnatuchanganya leoNa huyo ndio mgombea urais wa 2025!
View attachment 3206619
Hiyo ndio habari mpya toka mkutano Mkuu wa CCM Taifa kuwa Dkt Emmanuel Nchimbi ndio Mgombea mwezi wa CCM katika Uchaguzi Mkuu Ujao.
Mabadiliko haya yatakuwa na effect kuanzia mwezi July baada ya Bunge kuvunjwa hivyo Dkt Mpango na Dkt Emmanuel Nchimbi wataendelea katika nafasi zao hizo hizo.
===
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni mgombea urais, Samia Suluhu Hassan amempendekeza Katibu Mkuu wa chama hicho, Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa mgombea mwenza katika uchaguzi utakaofanyika Oktoba 2025.
Dkt. Nchimbi aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM Januari 15, 2024 katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya chama hicho kilichofanyikia Unguja, visiwani Zanzibar.
Dkt. Nchimbi alichukua nafasi iliyoachwa wazi na Daniel Chongolo aliyejiuzulu Novemba 29, 2023.
Rais Samia amempendekeza Dk Nchimbi leo Jumapili, Januari 19, 2025 katika mkutano mkuu maalumu jijini Dodoma.
Unai-endorse ccm. Siku zote najuaga ww Ni kamanda wa chademaApewe kura za Ndiyooo ,Jogoo limeshawika Dodoma.
Kabisa yaaniKuna kitu Angepumzika madame kugombea na sio Mpango