CCM Zanzibar yataka urais wa Muungano ugombewe kwa zamu kati ya Tanganyika na Zanzibar

CCM Zanzibar yataka urais wa Muungano ugombewe kwa zamu kati ya Tanganyika na Zanzibar

Nonda,

..kuna kitu Maalim Seif anaficha.

..kama ZNZ wangekuwa wanachangia, nakuhakikishia Maalim asingesita kutoa takwimu hizo.

..zaidi, kama Maalim anadai kuna mapato yanayotokana na vyanzo vya muungano, kwanini asibainishe kwa upande wa ZNZ vyanzo hivyo ni vipi na vinachangia kiasi gani??

..katika bunge la bajeti lililopita Dr.Bilal amepewa sh bil 32 kwa ajili ya maendeleo ya ZNZ. sasa mapesa hayo yangeweza kujenga shule 15 za kisasa kwa wananchi wa Lindi na Mtwara ambao wanadai wametengwa na wa-Tanzania wenzao.

..Tunataka Tanganyika huru, na Zanzibar huru, zenye mashirikiano kupitia Jumuiya ya Afrika Mashariki.

cc: Nguruvi3
Jokakuu, ameficha mambo mengi sana. Kuna swali huwa nauliza, pengo la bajeti la sh bilioni 510 linatoka wapi? Hili Wazanzibar hawajanibu hata siku moja.

Pili, kwanini wanaangalia fedha kama kitu pekee cha muungano na wasipanue wigo wao wa kufikiri hadi kwenye huduma za jamii.

Tatu, Tanganyika inawnyonya kupitia kitu gani wasichoeleza? na kwa kiasi gani.

Hilo la Tanganyika huru na Zanzibar huru wanalitaka sana lakini iwe nje ya EAC kwanza!
wanataka tukienda EAC wawe wamejibanza kwanza Tanganyika.

Kwa jeuri ya wazanzibar na ufahari endapo huu muungano usingekuwa na manufaa kwao wangeshaondoka siku nyingi sana. Kinachowazuia ni ukweli kuwa kivuli cha Tanganyika ni kikubwa kukikimbia! Natural justice inasema hivyo, sio mimi.

Tukutane EAC, safari hii mumetibua hakuna msamaha wala hisani. Kila watakachosema tutakiweka katika mizani.

Nonda na Takshi hebu tuambieni ni jambo gani mnadhani tutashirikiana kila upande unufaike! moja tu nitajieni.
 
Nguruvi3,

..Maalim anaogopa mashirikiano kupitia EAC.

..nadhani anajua ndani ya EAC hakuna atakayewadekeza.
 
Last edited by a moderator:
Nguruvi3

Sasa mshawishi na dugu yako, MMJ aandae makala moja safi ya kuipigia debe, Tanganyika huru na Zanzibar huru.

Kama hili umelikubali basi safari imeanza.

Uache masimulizi ya Seif, Jussa wakati Tanganyika haina mtetezi.

Weka fikra pevu moja juu ya Tanganyika huru na Zanzibar huru.

Unajua Mkuu Nguruvi3, wewe na ndugu yako (yetu), MMJ mna kundi kubwa(wapenzi/wafuasi wengi) hapa JF lakini baada ya kutumia ushawishi huo wa kukubalika vizuri, mnaleta maneno mengi, mnawazingua watu hapa kama CCM inavyotuzingua wadanganyika.

Sasa tutumie ushawishi huo kuitetea Tanganyika...Tanganyika huru inawezekana ikiwa tu wadanganyika tutakubali kuiondoa "d" na kuweka "t" kutoka moyoni.

Ni lazima tuwe watanganyika ndio tutaweza kutetea haki/ masilahi ya Tanganyika. Vyenginevyo, tutakuwa tunakimbiza kivuli tu na kuwatupia lawama Seif na Jussa.

Jiangalie kwenye kioo leo, halafu anza kujiambia,tamka "mimi ni mtanganyika na nitatetea masilahi ya Tanganyika"

Najua itakuwa ngumu kujibadili kutoka mtanzania bara/ mbara uliyoizoea lakini safari ya maili elfu huanza kwa kupiga hatua ya mwanzo.

1,2,3 "Mimi si mdanganyika bali ni mtanganyika"

Jaribu tena...1,2,3 "Mimi Nguruvi3 ni mtanganyika" "Nitatetea masilahi ya Tanganyika"

Hata mimi ni Mtanganyika
 
Nguruvi3,

..Maalim anaogopa mashirikiano kupitia EAC.

..nadhani anajua ndani ya EAC hakuna atakayewadekeza.
Katika mambo wanayojichanganya ni haya:
Wanataka ZNZ huru yenye kiti UN, hawataki passport ya ZNZ hata siku moja.
Wanafahamu kuwa uwepo wa passport ya ZNZ ndio mwisho wa free ride. Hilo hawadai hata siku moja.

Ndani ya EAC ni mkono kwa mkono, jino kwa jino! Huwezi kuweka sheria za ajira halafu Mkenya au Mganda wakakuacha tu kwasababu wewe ni Zanzibar kama tulivyo sasa.

ZNZ haiwezi kupeleka wanafunzi wakasome Nairobi, Makerere au Kigali University bure kama wanavyofanyiwa hapa.
ZNZ haiwezi kuvuta umeme (kama inawezekana) kutoka mombasa halafu wakatumia buree kama wanavyofanya sasa

Ndani ya EAC utalipa bili zako kama nchi si kuunda chombo kama Zanzibar Maritime halafu bili upeleke Sumatra.
Ndani ya EAC ZNZ itapakana na nchi 5 moja kwa moja na si kutumia uchochoro wa mipaka ya Tanganyika.

Walipo hawana nguvu tena bali maneno kama kawaida yao. Nawauliza tena, tutajieni jambo moja tu Tanganyika na Zanzibar zinaweza kushirikiana kwa faida ya pande zote mbili. Moja tu! jibu kama ni hakuna basi ZNZ huru hakuna, la sivyo jaribuni EAC
 
Katika mambo wanayojichanganya ni haya: Wanataka ZNZ huru yenye kiti UN, hawataki passport ya ZNZ hata siku moja. Wanafahamu kuwa uwepo wa passport ya ZNZ ndio mwisho wa free ride. Hilo hawadai hata siku moja. Ndani ya EAC ni mkono kwa mkono, jino kwa jino! Huwezi kuweka sheria za ajira halafu Mkenya au Mganda wakakuacha tu kwasababu wewe ni Zanzibar kama tulivyo sasa. ZNZ haiwezi kupeleka wanafunzi wakasome Nairobi, Makerere au Kigali University bure kama wanavyofanyiwa hapa. ZNZ haiwezi kuvuta umeme (kama inawezekana) kutoka mombasa halafu wakatumia buree kama wanavyofanya sasa Ndani ya EAC utalipa bili zako kama nchi si kuunda chombo kama Zanzibar Maritime halafu bili upeleke Sumatra. Ndani ya EAC ZNZ itapakana na nchi 5 moja kwa moja na si kutumia uchochoro wa mipaka ya Tanganyika. Walipo hawana nguvu tena bali maneno kama kawaida yao. Nawauliza tena, tutajieni jambo moja tu Tanganyika na Zanzibar zinaweza kushirikiana kwa faida ya pande zote mbili. Moja tu! jibu kama ni hakuna basi ZNZ huru hakuna, la sivyo jaribuni EAC
Nguruvi3, Punguza kunung'unika brother kwani hicho hakisaidii kabisa. Inawezekana vipi wananchi wako hawapati umeme na hao wachache wanaopata wanapata kwa mgao wewe unapeleke umeme wote wa uhakika kwa jirani yako unayedai HAKULIPI. Je hiyo ni akili. Unawezaje kupeleka chakula chako chote kwa jirani yako wakti raia wako wanakosa chakula na kufa kwa njaa. Kwli hiyo ni akili? Kumbuka kuwa unawezaje kumbeba mtu asiyependa kubebeka na wakti wote analalamika. Mimi naona ni vizuri kuzingatia matakwa ya Znz na jitihada zao za kujikomboa kutoka katika Muungano wenu. waacheni Znz wapumue LET TANGANYIKA COME, na mvungano ufe.
 
Well said Baru baru, tatizo ni kuwa wenzetu hamtaki kuvunja muungano! mnataka mkataba, serikali 3, uswiss, brazili na honduras n.k. Sisi tulishasema Let ZNZ GO!

Unaposema nalalamika unakosea, mbona wazanzibar hamjibu hoja? Kipi nilichosema cha uongo hapo!
Nikiweka data mnakimbilia ''pumua'' hamjibu. Ni wepesi wa kusema mnaonewa siku hizi kauli hiyo kwisha.

Tunachofanya hapa ni kuwasaidia mjitambue kuwa anachosema Seif ni kuwafanya mazombie, wakati unakuja mtasaga meno ninyi akina yakhe.

Siku hizi hakuna tena uongo, uzushi na uzandiki wa kuaminisha watu kuwa ZNZ ni muhimu sana! Inaonewa, inanyonywa n.k. kwetu ZNZ ni kasehemu kasehemu tu kama ilivyo Mafia na Ukerewe!
 
Wakuu Nguruvi3 JokaKuu hii elimu mnayotoa hapa ni kubwa sana najua wanawaelewa sana tu,msichoke wakuu wangu
Mkuu pamoja sana. Unajua siku hizi wameshapata school husikii tena upuuzi wa kunyonywa! hakuna anayelalamika kuhusu kunyonywa maana tunakwenda kwa data! kimya!
ukimsikia anayezungumzia ZNZ kunyonywa na Tanganyika, muonee huruma maana ni mgonjwa sana!

Ule ujinga wa kutishia tunavunja muungano ili wapewe keki siku hizi kwisha.
Tumewafunilia vitabu vyote vya kuondoka hakuna hata mmoja anayejaribu achilia mbali kuongelea. Kimya!

Sasa wanataka tupokezane urais, yaani waishi kwetu halafu tupate rais kwa jina la Uzanzibar! lakini 500 wanaishi huku halafu wale laki 120,000 waliopiga kura ya GNU ndio watupe rais kwasababu tu tunahitaji Rais Mzanzibar.
Hoja hii nayo kwisha! Tutauliza kwanini tusiweke zamu na akina mama wa UWT,BAWACHA, BAWACU,BAWATLP,BAWANCCR

Tunashukuru wanaelewa somo. Bado moja tu, la kuelekea EAC. Hili wamegoma kabisa! ni wajanja wanajua itakula kwao.

Mambo mawili tu mbele yao
1. Kubaki katika kivuli maridhawa cha Tanganyika
2. Tukutane EAC wakiwa na mamlaka na uhuru kamili na maumivu makali.
 
ccm-kampeni-uzini-3-564x376.jpg

NAIBU KATIBU MKUU WA CCM ZANZIBAR VUAI ALI VUAI

Written by Harith - 12/01/2013

CHAMA CHA MAPINDUZI ZANZIBAR KIMEPENDEKEZA SUALA LA MGOMBEA WA NAFASI YA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KWA TIKETI YA CHAMA HICHO KUWA YA KUPOKEZANA KATI YA TANZANIA BARA NA ZANZIBAR.

HAYO YAMEELEZWA NA NAIBU KATIBU MKUU WA CCM ZANZIBAR VUAI ALI VUAI KWA MNASABA WA MAADHIMISHO YA MIAKA 49 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR AMBAYP KILELE CHAKE KIMEFIKIA LEO KATIKA UWANJA WA AMANI MJINI ZANZIBAR.

AIDHA KIONGOZI HUYO AMEONGEZA KUWA SUALA LA KUCHAGULIWA MWANASIASA KUTOKA ZANZIBAR KUPITIA MKUTANO MKUU WA CCM DODOMA ATAKAYEPEPERUSHA BENDERA YA CCM KATIKA UCHAGUZI WA RAIS WA ZANZIBAR LINAPASWA KUANGALIWA UPYA ILI WAZANZIBARI WAPENDEKEZE JINA LA MGOMBEA WAO WA URAIS WA ZANZIBAR WENYEWE.

MATAMSHI HAYO YA NAIBU KATIBU MKUU WA CCM (ZANZIBAR) YANAWEZA KUZUSHA MPASUKO NDANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI KUTOKANA NA KUANZA KAMPENI NA HARAKATI ZA CHINI KWA CHINI ZA BAADHI YA VIGOGO WA CHAMA HICHO UPANDE WA TANZANIA BARA ZAKUTAKA KUWANIA URAIS KATIKA UCHAGUZI MKUU UJAO WA MWAKA 2015.

Huu uzanzibari ni mwiba mchungu kwa watanganyika, machungu haya tumeyabeba kwa muda mrefu, tunataka uraisi wa zanzibar uwe wa kupokezana kati ya wakristo na waislam, kwani zanzibar haina wakristo??? hey! mimi binafsi nimechoshwa sana na hawa watu wasioridhika, malalamiko tuuuuu kila leo hayaishi
 
........
Tunachofanya hapa ni kuwasaidia mjitambue kuwa anachosema Seif ni kuwafanya mazombie, wakati unakuja mtasaga meno ninyi akina yakhe.

Siku hizi hakuna tena uongo, uzushi na uzandiki wa kuaminisha watu kuwa ZNZ ni muhimu sana! Inaonewa, inanyonywa n.k. kwetu ZNZ ni kasehemu kasehemu tu kama ilivyo Mafia na Ukerewe!

Nguruvi3

Unaanza kuonesha hekima sasa. Huku ndio kupevuka au fikra pevu?

Angalia kauli zako vizuri. Mafia na Ukerewe pia wanataka Muungano wa mkataba na Tanganyika?

Shuguli za Muungano zinalipiwa na nani?

Je mambo ya muungano yanaingiza mapato yoyote?

Punguza joto, mkuu. Muungano unafikia ukomo wa uhai wake. Naiona Tanganyika yangu ile inachomoza!

Kuna kitu kimenishangaza sana kwa upande wetu wadanganyika. Sijasikia mdanganyika yeyote akidai iandikwe katiba ya Tanganyika, mimi nimepeleka maoni yangu kwa tume ya Warioba.
Katika niliyoyadai ni kuwa iwepo katiba ya Tanganyika itakayoendesha mambo ya Tanganyika kwa mambo ambayo si ya muungano, kama Muungano wenyewe utakuwa na muda kidogo wa uhai. Tunajua kuwa Muungano uko ICU na hakuna majenereta ya akiba na tunaelewa pia kazi ya Tanesco ya mgao na kukata kata ovyo umeme. sijui kama utatoka ICU ukiwa na uhai.

Mkuu Nguvuri3, MMJ na JokaKuu vipi hii rai ya kudai Katiba ya Tanganyika?

Nguruvi3, juzi ulilalama kuwa hakuna mtetezi wa Tanganyika..leo unaendeleza kupiga kelele tu badala ya kushajihisha kila mtanzania bara aanze rasmi kulitumia mtanganyika na Tanganyika.

Si umesikia rafiki yako, Seif anasema Serikali ya muungano ni ya ushirika(pamoja kama ilivyo BoT)?

Mantiki ni kuwa Tanzania ni ushirika, sasa sisi tulijifanya wajanja, tulisema Tanganyika haipo.

Mkuu tuamke na tujifahamu.... Unataka wazanzibari wajitambue wakati sisi wenyewe ndio hivyo tena, hatujijui wala hatujitambui.

Charity begins at home!
 
Huu uzanzibari ni mwiba mchungu kwa watanganyika, machungu haya tumeyabeba kwa muda mrefu, tunataka uraisi wa zanzibar uwe wa kupokezana kati ya wakristo na waislam, kwani zanzibar haina wakristo??? hey! mimi binafsi nimechoshwa sana na hawa watu wasioridhika, malalamiko tuuuuu kila leo hayaishi

Unapochomwa na mwiba na kuingia mwilini huwa unafanya nini?

Sasa sisi mbona tunazidi kuukumbatia/ kuudidimiza mwiba ndani zaidi?

Sisi kama watanzania bara (watanganyika) hatuwezi kutaka waislamu na wakristo wa Zanzibar wapokezane urais, hiyo ni juu ya wazanzibari wenyewe. Wakristo wa huko ndio wadai hayo. Au kama wewe ni mzanzibari basi uwashajihishe huko kwenu.

Itakapokuja serikali ya Tanganyika kama wewe ni mdanganyika mwenzangu basi utakuwa umetayarisha utaratibu ambao utatupa kazi kuutekeleza.
 
Hawa vipi? Yaani nchi watu milioni 45 waongozwe na mtu kutoka nchi ya watu milioni moja? Haiwezekani hata kidogo!!!
 
ni wazo zuri, ni wakati muafaka wa mtanganyika kuwa rais zanzibar......... la sivyo mbinu za akina jusa na maalim tumezistukia hakuna watakacho ila uroho wa madaraka tu......
 
Nonda,

..kuna kitu Maalim Seif anaficha.

..kama ZNZ wangekuwa wanachangia, nakuhakikishia Maalim asingesita kutoa takwimu hizo.

..zaidi, kama Maalim anadai kuna mapato yanayotokana na vyanzo vya muungano, kwanini asibainishe kwa upande wa ZNZ vyanzo hivyo ni vipi na vinachangia kiasi gani??

..katika bunge la bajeti lililopita Dr.Bilal amepewa sh bil 32 kwa ajili ya maendeleo ya ZNZ. sasa mapesa hayo yangeweza kujenga shule 15 za kisasa kwa wananchi wa Lindi na Mtwara ambao wanadai wametengwa na wa-Tanzania wenzao.

..Tunataka Tanganyika huru, na Zanzibar huru, zenye mashirikiano kupitia Jumuiya ya Afrika Mashariki.

cc: Nguruvi3

joka kuu,

maalim seif anajua exactly akifanyacho...... Na data hutokuja kusikia akizitoa......

Huyu ana lengo moja tu, kuendelea kuwa mtawala.....

Ashapata umakamu znz anaona haumtoshi anataka vikubwa zaidi.........

Na anatumia sijui niite umbumbumbu(silipendi neno hilo) au chuki walizonazo wenzetu kutaka kufikia malengo yake........

Ndo maaana unamwona akienda kuke anawaambia kile wazanzibar wanapenda na wanataka kusikia.....akirudi huku anajisahaulisha na hazungumziii yale.....

Kiufupi hafai
hafai hafai.......... Na imefika wakati sasa watanzanyika kuidai tanganyika yetu, tutapandwa vichwani hadi lini???????
 
Last edited by a moderator:
Hii ni sawa na kumuambia mumueo kama unanipenda mali zote niandikishe jina langu, kwa nini wasiseme urais wote uwe wa kupokezana yaani znz agombee wa bara na bara agombee wa muungano? Hawa watu ni too much sasa huku bara wanakuja wanamiliki mashamba, ardhi lkn kwao wabaguzi, kama vp tuwapotezee tu naona wanataka warudi utumwani
 
Mkuu pamoja sana. Unajua siku hizi wameshapata school husikii tena upuuzi wa kunyonywa! hakuna anayelalamika kuhusu kunyonywa maana tunakwenda kwa data! kimya!
ukimsikia anayezungumzia ZNZ kunyonywa na Tanganyika, muonee huruma maana ni mgonjwa sana!

Ule ujinga wa kutishia tunavunja muungano ili wapewe keki siku hizi kwisha.
Tumewafunilia vitabu vyote vya kuondoka hakuna hata mmoja anayejaribu achilia mbali kuongelea. Kimya!

Sasa wanataka tupokezane urais, yaani waishi kwetu halafu tupate rais kwa jina la Uzanzibar! lakini 500 wanaishi huku halafu wale laki 120,000 waliopiga kura ya GNU ndio watupe rais kwasababu tu tunahitaji Rais Mzanzibar.
Hoja hii nayo kwisha! Tutauliza kwanini tusiweke zamu na akina mama wa UWT,BAWACHA, BAWACU,BAWATLP,BAWANCCR

Tunashukuru wanaelewa somo. Bado moja tu, la kuelekea EAC. Hili wamegoma kabisa! ni wajanja wanajua itakula kwao.

Mambo mawili tu mbele yao
1. Kubaki katika kivuli maridhawa cha Tanganyika
2. Tukutane EAC wakiwa na mamlaka na uhuru kamili na maumivu makali.

Mkuu nimejifunza mengi kutoka kwako na naendelea kujifunza,nilikuwa sina ufahamu wa mambo mengi yanayohusu muungano ila toka nimeanza kukusoma wewe na wenzako kwenye mijadala ya aina hii nimepata elimu kubwa sana,asante sana mkuu naendelea kujifunza hapa
 
Huu uzanzibari ni mwiba mchungu kwa watanganyika, machungu haya tumeyabeba kwa muda mrefu, tunataka uraisi wa zanzibar uwe wa kupokezana kati ya wakristo na waislam, kwani zanzibar haina wakristo??? hey! mimi binafsi nimechoshwa sana na hawa watu wasioridhika, malalamiko tuuuuu kila leo hayaishi
Jokakuu, mwanakijiji na wadau wote, kuna point hapa naiona. Endapo wazanzibar wanataka kupokezana urais (kama itatokea maana uwezekano ni karibu na hakuna) basi kwanza tuwatake watuonyeshe mfano wa kugawa madaraka kati yao na asilimia 1 ya wazanzibar wakristo.

Kama wanasema wingi wa waislam ndio kigezo, basi kwanini wingi wa Watangayika usiwe kigezo.
They must walk the talk.

mambo mawili tu mbele yao
1. Uhuru kamili na mamlaka ndani ya EAC
2. Mkataba, serikali 3 ndani ya kivuli mwanana na maridhawa cha Jamhuri ya watu wa Tanganyika.
 
Maalim Seif mwenyewe hana nyumba Zenj badala yake ni mkazi wa Dar city centre, Upanga! Kaazi kweli kweli
 
Back
Top Bottom