Wewe ni mpumbavu kabisa, mleta hoja anazungumzia ukatili wa polisi kuua kwa makusudi watu wasiohusika na maandamano wala uhalifu wowote wewe unazungumza habari za wahalifu waliopora mali za watu, hivi una akili timamu kweli wewe chawa?Kwa hyo ilitakiwa wavamizi waachwe waibe na kuchoma mali?
Je wale walioandamana kutoka igoma mwanza kwenda eneo la machinjion mwanza kwenye kiwanda kuiba na kulipukiwa na gesi wakafa, nani alaumiwe?
Nyie majambazi mnaotembea kwa mwamvuli wa maandamano kaeni mkijua kuwa JW siyo redbrigade ya chadomo
Nafikiri umekosea kuandika kichwa cha mada. Ilipaswa iwe hivi Hongera General Jacob Mkunda kwa kuituliza nchi".Tangu tupate Uhuru haijawahi kutokea Mkuu wa Majeshi (CDF) kulihutubia Taifa kwa njia yo yote ile. Jambo lililo wastaajabisha wengi ni pale CDF General Mkunda alipojitokeza mbele ya vyombo vya habari na kumuunga mkono IGP katika harakati za kuua wananchi kwa kisingizio cha kuzima maandamano ya wananchi kupinga uchaguzi mkuu haramu.
Tunafahamu kuwa JWTZ ndiyo chombo pekee chenye mamlaka ya kulinda nchi dhidi ya uvamizi kutoka nje na pia kuwalinda wananchi pamoja na rasilimali za nchi. Alipojitokeza mbele ya vyombo vya habari wananchi walitegemea angewakemea polisi kuacha mara moja operation yao ya kuua raia na kuwaamuru warudi katika vituo vyao. Kitendo cha General Mkunda kuungana na IGP Wambura kiliwahamasisha mapolisi waovu kuendelea kuua raia wasio na hatia hadi majumbani mwao.
Mauaji ya raia yangeweza kuzuilika kwa polisi kutumia mabomu ya machozi, risasi za mpira na maji ya kuwasha pale ambapo uvunjifu wa amani ungejitokeza na JWTZ kuwaongoza waandamanaji sehemu salama.
Kufuatia kadhia hii General Mkunda hastahili kuendelea kuwa CDF na anatakiwa ajiuzuru mara moja.
ICC The Hague wanaendelea kuchukua ushahidi ikifika mda wa kutoa report zao ikabainika alihusika lazima sheria za haki za binadamu zichukue nafasi yakeTangu tupate Uhuru haijawahi kutokea Mkuu wa Majeshi (CDF) kulihutubia Taifa kwa njia yo yote ile. Jambo lililo wastaajabisha wengi ni pale CDF General Mkunda alipojitokeza mbele ya vyombo vya habari na kumuunga mkono IGP katika harakati za kuua wananchi kwa kisingizio cha kuzima maandamano ya wananchi kupinga uchaguzi mkuu haramu.
Tunafahamu kuwa JWTZ ndiyo chombo pekee chenye mamlaka ya kulinda nchi dhidi ya uvamizi kutoka nje na pia kuwalinda wananchi pamoja na rasilimali za nchi. Alipojitokeza mbele ya vyombo vya habari wananchi walitegemea angewakemea polisi kuacha mara moja operation yao ya kuua raia na kuwaamuru warudi katika vituo vyao. Kitendo cha General Mkunda kuungana na IGP Wambura kiliwahamasisha mapolisi waovu kuendelea kuua raia wasio na hatia hadi majumbani mwao.
Mauaji ya raia yangeweza kuzuilika kwa polisi kutumia mabomu ya machozi, risasi za mpira na maji ya kuwasha pale ambapo uvunjifu wa amani ungejitokeza na JWTZ kuwaongoza waandamanaji sehemu salama.
Kufuatia kadhia hii General Mkunda hastahili kuendelea kuwa CDF na anatakiwa ajiuzuru mara moja.
Hasira zilizidi pale Polisiccm walipowapiga Risasi za moto badala ya kutumia mabomu ya machozi na maji ya washa washa, kwa kifupi chanzo cha vurugu kubwa ni mbinu mbovu za Polisiccm kukabiliana na vuruguNafikiri umekosea kuandika kuchwa cha mada. Ilipaswa iwe hivi Hongera General Jacob Nkunda kwa kuituliza nchi".
Kama isingekuwa kwa uwezo wa JWTZ wale mahayawani waliokuwa wanaharibu miundombinu na kuiba mali za watu na za serikali wangetufikisha pabaya sana
Wale hawakuwa waandamanaji bali waharibifu na wezi, risasi za moto ndiyo zilistahili. Acheni huruma kwa magenge ya ujambaziHasira zilizidi pale Polisiccm walipowapiga Risasi za moto badala ya kutumia mabomu ya machozi na maji ya washa washa, kwa kifupi chanzo cha vurugu kubwa ni mbinu mbovu za Polisiccm kukabiliana na vurugu
Sasa watumie hizo busara kuwakataza Polisiccm kuwaonea watu waache kuwabambikia kesi viongozi wa chadema, jwtz wapo makini na umakini wao utumike kupumguza chuki toka kwa wapenda haki chuki ambayo inazidi kusambazwa na Polisiccm kwa kamata kamata ya uonevu inayoendelea sasaJWTZ wali act professionally sana kwenye lile jambo wamefanya kazi yao ya ku protect wananchi na ndiyo maana kuna baadhi ya clip wanashangiliwa na wananchi tuache Unafiki
Wewe ni mshenzi, haya yote yasingetokea kama huyo CHURA BINTI KIZIWI kuiba kura, kuteka, kubaka,kulawiti na kuua wapinzani, Kwani alikuwa lazima awe rais wetu kama hatumtaki? Suala la kuvunja na kuiba lisingekuwepo kama kungekuwa na mgawanyo halali wa keki ya taifa. Watu wamechoshwa na wamekata tamaa, Common people wana njaa na wamekata tamaa kutokana na ufedhuli wa CCM.Kwa hyo ilitakiwa wavamizi waachwe waibe na kuchoma mali?
Je wale walioandamana kutoka igoma mwanza kwenda eneo la machinjion mwanza kwenye kiwanda kuiba na kulipukiwa na gesi wakafa, nani alaumiwe?
Nyie majambazi mnaotembea kwa mwamvuli wa maandamano kaeni mkijua kuwa JW siyo redbrigade ya chadomo
Kwa Tanzania Polisiccm hawana mazoezi wana vitambi na hasa wale idara ya upelekezi na wana midevu hususani wazanzibar, kigezo cha kutokuwa na kitambi kipo hapa America Ulaya china japan, huko Vitambi ni kawaida sanaWauaji wengi walikuwa wanavitambi, they don’t fit army personnel description (infantry soldiers).
Kwa Tanzania wale ni sehemu ya polisi au PSU unit.
Ni sehemu ya genge la wahuni
Risasi za moto zenu ndizo ziliibua vitendo vya uhalibifu kwani walioona mnawaua watu ndipo wakafanya huo uhalibifu, wewe utakufa kwa kutokemea mauaji utekaji na kumrejesha mdude polepole na wengine wote uliowafanyia unyamaWale hawakuwa waandamanaji bali waharibifu na wezi, risasi za moto ndiyo zilistahili. Acheni huruma kwa magenge ya ujambazi
Ni kweli bila uonevu manyanyaso utekaji wa maccm hayo yasingetokea, ushetani wa maccm ndiyo chanzo cha yaliyotokeaWewe ni mshenzi, haya yote yasingetokea kama huyo CHURA BINTI KIZIWI kuiba kura, kuteka, kubaka,kulawiti na kuua wapinzani, Kwani alikuwa lazima awe rais wetu kama hatumtaki? Suala la kuvunja na kuiba lisingekuwepo kama kungekuwa na mgawanyo halali wa keki ya taifa. Watu wamechoshwa na wamekata tamaa, Common people wana njaa na wamekata tamaa kutokana na ufedhuli wa CCM.
Wale hawakuwa wanajeshi. Hata ukisikiliza stories, kwa baadhi ya maofisa wa polisi waliouliwa.Kwa Tanzania Polisiccm hawana mazoezi wana vitambi na hasa wale idara ya upelekezi na wana midevu hususani wazanzibar, kigezo cha kutokuwa na kitambi kipo hapa America Ulaya china japan, huko Vitambi ni kawaida sana
Kukiwa na haki na kukawa na mahakama huru siyo mahakamaccm, kukawa na Tume huru siyo Tumeccm na kukawa na polisi huru siyo Polisiccm, Nchi itaponyeka majeraha haraka kwani Nchi imeharibika baada ya maccm kuingilia uhuru wa vyombo vyote vya haki na kujiendesha kimyume cha haki na sheria, sasa hawafanyi kazi kwa mjibu wa katiba na sheria wanafanya kazi kwa mjibu wa Amri haramu za kishetani toka kwa maccm yasiyo na utu wala hurumaKwa hyo ilitakiwa wavamizi waachwe waibe na kuchoma mali?
Je wale walioandamana kutoka igoma mwanza kwenda eneo la machinjion mwanza kwenye kiwanda kuiba na kulipukiwa na gesi wakafa, nani alaumiwe?
Nyie majambazi mnaotembea kwa mwamvuli wa maandamano kaeni mkijua kuwa JW siyo redbrigade ya chadomo
Maccm waache vyombo vya Dola viwe huru vijiendeshe kwa mjibu wa sheria katiba, waache kuwaingilia kuwatuma kuwabambikia kesi za uongo viongozi wa chadema na wengineoWale hawa kuwa wanajeshi, hata ukisikiliza stories, kwa baadhi ya maofisa wa polisi waliouliwa.
Kwa maumbile yao ni genge la polisi au sehemu ya PSU.
Ni kwamba wakerekerwa wa civil services wamepata somo la madhara ya madaraka ya raisi the hard way.