CDF Mkunda amechangia kwa kiwango kikubwa kutokea mauaji ya maangamizi ya wananchi

Tangu tupate Uhuru haijawahi kutokea Mkuu wa Majeshi (CDF) kulihutubia Taifa kwa njia yo yote ile. Jambo lililo wastaajabisha wengi ni pale CDF General Mkunda alipojitokeza mbele ya vyombo vya habari na kumuunga mkono IGP katika harakati za kuua wananchi kwa kisingizio cha kuzima maandamano ya wananchi kupinga uchaguzi mkuu haramu.

Tunafahamu kuwa JWTZ ndiyo chombo pekee chenye mamlaka ya kulinda nchi dhidi ya uvamizi kutoka nje na pia kuwalinda wananchi pamoja na rasilimali za nchi. Alipojitokeza mbele ya vyombo vya habari wananchi walitegemea angewakemea polisi kuacha mara moja operation yao ya kuua raia na kuwaamuru warudi katika vituo vyao. Kitendo cha General Mkunda kuungana na IGP Wambura kiliwahamasisha mapolisi waovu kuendelea kuua raia wasio na hatia hadi majumbani mwao.

Mauaji ya raia yangeweza kuzuilika kwa polisi kutumia mabomu ya machozi, risasi za mpira na maji ya kuwasha pale ambapo uvunjifu wa amani ungejitokeza na JWTZ kuwaongoza waandamanaji sehemu salama.

Kufuatia kadhia hii General Mkunda hastahili kuendelea kuwa CDF na anatakiwa ajiuzuru mara moja.
Baada yakuona hao jamaa wameingia mtaani nikaanza ku smell usaliti...
 
Nilichojifunza kwenye yale Maandamano ni kama wale wanajeshi walio kua rield walikua dployed kutisha watu wasiandamane Tangu ahsubuhi ila walifanya kinyume chake kwa kudelay polisi kufukuza waandamanaji kabla hawajawa wengi
 
Kwa hyo ilitakiwa wavamizi waachwe waibe na kuchoma mali?

Je wale walioandamana kutoka igoma mwanza kwenda eneo la machinjion mwanza kwenye kiwanda kuiba na kulipukiwa na gesi wakafa, nani alaumiwe?

Nyie majambazi mnaotembea kwa mwamvuli wa maandamano kaeni mkijua kuwa JW siyo redbrigade ya chadomo
Mali mali mali, hii naona ni script mliyopewa muimbe. Tangu lini mali ikawa sawa na uhai?
 
Kwa hyo ilitakiwa wavamizi waachwe waibe na kuchoma mali?

Je wale walioandamana kutoka igoma mwanza kwenda eneo la machinjion mwanza kwenye kiwanda kuiba na kulipukiwa na gesi wakafa, nani alaumiwe?

Nyie majambazi mnaotembea kwa mwamvuli wa maandamano kaeni mkijua kuwa JW siyo redbrigade ya chadomo
Naona ccm mumekuja na Id mpya kujisafisha
 
Kwa hyo ilitakiwa wavamizi waachwe waibe na kuchoma mali?

Je wale walioandamana kutoka igoma mwanza kwenda eneo la machinjion mwanza kwenye kiwanda kuiba na kulipukiwa na gesi wakafa, nani alaumiwe?

Nyie majambazi mnaotembea kwa mwamvuli wa maandamano kaeni mkijua kuwa JW siyo redbrigade ya chadomo
Majambazi yakamatwe na wauwaji pia wakamatwe na kuwajibika; Hakuna mtu mwenye mamlaka ya kuwa a Judge, Jury and Executioner - Kwahio tukisema urudishiwe mali yao (wengine wana insuarance na watalipwa) na wewe utarudisha maisha ya watu ? (A Pound of Flesh) - Two wrongs don't make it Right
 
Na sasa huyo CDF alipaswa awashauri IGP na Polisiccm wake na maccm wote, waache kuwakamata kamata chadema kuwandama viongozi wa chadema ni kuzidisha chuki toka kwa wananchi wapenda haki, siyo mbinu bora ya kuficha madhaifu ya maccm na Polisiccm ni mbinu ya uonevu na manyanyaso kwa watu wasio na hatia na haiwezi kusaidia kutibu majeraha ya majanga yaliyotokea kuanzia tarehe 29-10-25
Jeshi la polisi si chombo cha kutegemewa kuleta amani hata siku moja, ni chombo hovyo kuwahi kutokea
 
Kwa hyo ilitakiwa wavamizi waachwe waibe na kuchoma mali?

Je wale walioandamana kutoka igoma mwanza kwenda eneo la machinjion mwanza kwenye kiwanda kuiba na kulipukiwa na gesi wakafa, nani alaumiwe?

Nyie majambazi mnaotembea kwa mwamvuli wa maandamano kaeni mkijua kuwa JW siyo redbrigade ya chadomo
Bi chura anakutafuta akupige shaba ya kichwa kwa kosa la kumzunguka na kuingia JF kwa kutumia VPN wakati ameipiga marufuku JF
 
Tangu tupate Uhuru haijawahi kutokea Mkuu wa Majeshi (CDF) kulihutubia Taifa kwa njia yo yote ile. Jambo lililo wastaajabisha wengi ni pale CDF General Mkunda alipojitokeza mbele ya vyombo vya habari na kumuunga mkono IGP katika harakati za kuua wananchi kwa kisingizio cha kuzima maandamano ya wananchi kupinga uchaguzi mkuu haramu.

Tunafahamu kuwa JWTZ ndiyo chombo pekee chenye mamlaka ya kulinda nchi dhidi ya uvamizi kutoka nje na pia kuwalinda wananchi pamoja na rasilimali za nchi. Alipojitokeza mbele ya vyombo vya habari wananchi walitegemea angewakemea polisi kuacha mara moja operation yao ya kuua raia na kuwaamuru warudi katika vituo vyao. Kitendo cha General Mkunda kuungana na IGP Wambura kiliwahamasisha mapolisi waovu kuendelea kuua raia wasio na hatia hadi majumbani mwao.

Mauaji ya raia yangeweza kuzuilika kwa polisi kutumia mabomu ya machozi, risasi za mpira na maji ya kuwasha pale ambapo uvunjifu wa amani ungejitokeza na JWTZ kuwaongoza waandamanaji sehemu salama.

Kufuatia kadhia hii General Mkunda hastahili kuendelea kuwa CDF na anatakiwa ajiuzuru mara moja.
Mkunda ndio aliyetoa AZIMIO la MAUAJI baada ya kuwaita Waandamanaji Wahalifu.
 
Kwa hyo ilitakiwa wavamizi waachwe waibe na kuchoma mali?

Je wale walioandamana kutoka igoma mwanza kwenda eneo la machinjion mwanza kwenye kiwanda kuiba na kulipukiwa na gesi wakafa, nani alaumiwe?

Nyie majambazi mnaotembea kwa mwamvuli wa maandamano kaeni mkijua kuwa JW siyo redbrigade ya chadomo
Hii comment yako ni kielelezo cha jinsi gani nyie products za ccm mlivyokuwa ni wapumbav na hamna maarifa kama mama yenu.

Tanzania sio nchi ya kwanza duniani kukutwa na maandamano yaliyoambata na ghasia kama zile, maandamano yaliyoambatana na fujo yamewahi kutokea nchi kama kibao tu kama Bangladesh,India,Brazil,Myanmar lakini serikali zao hazikutuma askari watumie risasi za moto kukabiliana na waandamanaji.

Afrika kusini mwaka 2017 yalitokea maandamano makubwa yaliyoambatana na vurugu nyingi kuliko hata haya yetu, na yalisababisha hasara ya zaidi ya $3b lakini Polisi wa Afrika kusini SAPS hawakutumia risasi za moto hata kidogo zaidi ya tear gases na rubber bullets.

Ni serikali mbovu, dhaifu zinazoongozwa na watu wasiokuwa na akilo wala maarifa ndio utumia risasi za moto kuzuia ghasia zinazofanywa na raia wake na kisha kuwapachika jina la wahalifu ili kuhalalisha mauaji ya raia hao.

Mara nyingi huwa mnalisifia jeshi lenu la policcm eti linatimiza wajibu wake kwa waledi, sasa huo waledi mbona hatukuuona kutuliza maandamano na badala yake wakatumia njia ya shortcut yenye gharama kubwa sana?

Imagine maandamano yametokea mikoa yote mikubwa ya kibiashara, halafu bado unawaita wahalifu?

Hivi kuna wahalifu gani wanaoweza kujiorganise kwa malaki na kisha kufanya matukio kwenye miji yote mikubwa kwa mara moja?

Nyie wapumbav pamoja na wakuu wenu wa vyombo vya dola itabidi mfundishwe nini maana ya "violent political demonstration" na matumizi sahihi ya neno "uhalifu" wajinga nyie.

Serikali ya shetani samia ndio ya kwanza duniani kutumia silaha za kivita kupambana na raia wake wasiokuwa na silaha za aina yoyote ile na kisha kuwaita wahalifu.

The first government in the world to wage war on its own defenseless citizens using heavy ammunition, what a shame
 
Wauaji wengi walikuwa wanavitambi, they don’t fit army personnel description (or infantry soldiers).

Kwa Tanzania wale ni sehemu ya polisi au PSU unit.

Ni sehemu ya genge la wahuni. It makes sense kwa sababu hizo ni sehemu mikono ambazo ya wahuni inapoweza fika.

Hakukuwa na mwanajeshi pale, wale ni polisi au PSU,
Kabisa ndugu wale jamaa kwa mionekano yao tu sio wanajeshi kabisa, wanaonekana ni watu wanaojua tu kutumia silaha za moto basi..

Majamaa yana vitambi halafu yanatembea huku yamevaa mitepesho, wale ni wahuni ambao huwa wanakodiwa kwa shughuli kama ile ya kutoa roho za watu.. naskia wanaitwa Mazombi.

Wale sidhani kama wanaweza kusimama kwenye battle field yoyote ile, uwezo wao ni kupambana na raia tu basi.
 
Tangu tupate Uhuru haijawahi kutokea Mkuu wa Majeshi (CDF) kulihutubia Taifa kwa njia yo yote ile. Jambo lililo wastaajabisha wengi ni pale CDF General Mkunda alipojitokeza mbele ya vyombo vya habari na kumuunga mkono IGP katika harakati za kuua wananchi kwa kisingizio cha kuzima maandamano ya wananchi kupinga uchaguzi mkuu haramu.

Tunafahamu kuwa JWTZ ndiyo chombo pekee chenye mamlaka ya kulinda nchi dhidi ya uvamizi kutoka nje na pia kuwalinda wananchi pamoja na rasilimali za nchi. Alipojitokeza mbele ya vyombo vya habari wananchi walitegemea angewakemea polisi kuacha mara moja operation yao ya kuua raia na kuwaamuru warudi katika vituo vyao. Kitendo cha General Mkunda kuungana na IGP Wambura kiliwahamasisha mapolisi waovu kuendelea kuua raia wasio na hatia hadi majumbani mwao.

Mauaji ya raia yangeweza kuzuilika kwa polisi kutumia mabomu ya machozi, risasi za mpira na maji ya kuwasha pale ambapo uvunjifu wa amani ungejitokeza na JWTZ kuwaongoza waandamanaji sehemu salama.

Kufuatia kadhia hii General Mkunda hastahili kuendelea kuwa CDF na anatakiwa ajiuzuru mara moja.
Kabisaa na toka ametoa kauli ndio siku tumeanza kuona watu wanauwawa kama kuku mtaani
 
Wewe ulikuepo wakati Gani utwambie , Ili tujue kilichoanza maana unaonekana una details nyingi sana.
Cha kwanza ni maandamano pale Kibo kwa Gwajima, then kikafuata kuunguza kituo cha Mwendokasi na basi hapo Ubungo. Hakuna kucheza na kima. Piga risasi mpaka washike adabu
 
Huyu CDF alinisikitisha sana kuhalisha Mauaji ya vijana wakitanzani na kuwaita waharifu ni Jambo ambalo kukemea vijana wanaopinga utekaji na vitendo vya kifisadi na rushwa Tunaitaji vijana wahasi dhidi ya Mifumo kandamizi ya kinyonyaji na Ufisadi by JK Nyerere lakini Mgunda yeye kawaita waharifu anataka wananchi wamtafute jeshi la kuwalinda wanapoonewa Mkunda angeweza kusema viongozi wasikilizeni waandamanaji wanataka nini ilitosha? Sasa hivi unafikiria wananchi wanaagaliaje jeshi lao kwa jicho baya kwamba nao walingana na watekaji wananchi hawana mtetezi hii mbaya sana. Serikali imemuweka Lissu ndani Vijana wanaandamana mnawaita waharifu baada ya kuwasikiliza ngoja wanachokitafuta watakipata Mungu akitaka kukushusha anakujaza kiburi na Jeuri
 
Kwa hyo ilitakiwa wavamizi waachwe waibe na kuchoma mali?

Je wale walioandamana kutoka igoma mwanza kwenda eneo la machinjion mwanza kwenye kiwanda kuiba na kulipukiwa na gesi wakafa, nani alaumiwe?

Nyie majambazi mnaotembea kwa mwamvuli wa maandamano kaeni mkijua kuwa JW siyo redbrigade ya chadomo
Kwa hiyo mwizi anapigwa risasi anastahili kufa muharifu sasa waharifu wote wataotajwa kwenye ripoti yoyote ya wizi wa CAG wanatakiwa kupigwa risasi nao ni waharifu Waliotajwa na Polepole wato waharifu maana pesa wanazoiba zinasababisha watu kukosa madawa kutosha hospitalini na kusababisha vifo ambavyo vingeweza kuepukika
 
Wauaji wengi walikuwa wanavitambi, they don’t fit army personnel description (or infantry soldiers).

Kwa Tanzania wale ni sehemu ya polisi au PSU unit.

Ni sehemu ya genge la wahuni. It makes sense kwa sababu hizo ni sehemu mikono ambazo ya wahuni inapoweza fika.

Hakukuwa na mwanajeshi pale, wale ni polisi au PSU,
PSU nafikiri unaweza kua sawa 99%
 
Back
Top Bottom