Cha kwanza ni maandamano pale Kibo kwa Gwajima, then kikafuata kuunguza kituo cha Mwendokasi na basi hapo Ubungo. Hakuna kucheza na kima. Piga risasi mpaka washike adabu
Kwa hiyo unatueleza wewe hapa kuwa mauaji haya yanatekelezwa na waislam dhidi ya waTanzania wasiokuwa waislam?Umewasahau wale mnaowachukia waislamu wote ambao hawakushiriki maandamano yaliyoandaliwa church
Ni mkunda ******?Tangu tupate Uhuru haijawahi kutokea Mkuu wa Majeshi (CDF) kulihutubia Taifa kwa njia yo yote ile. Jambo lililo wastaajabisha wengi ni pale CDF General Mkunda alipojitokeza mbele ya vyombo vya habari na kumuunga mkono IGP katika harakati za kuua wananchi kwa kisingizio cha kuzima maandamano ya wananchi kupinga uchaguzi mkuu haramu.
Tunafahamu kuwa JWTZ ndiyo chombo pekee chenye mamlaka ya kulinda nchi dhidi ya uvamizi kutoka nje na pia kuwalinda wananchi pamoja na rasilimali za nchi. Alipojitokeza mbele ya vyombo vya habari wananchi walitegemea angewakemea polisi kuacha mara moja operation yao ya kuua raia na kuwaamuru warudi katika vituo vyao. Kitendo cha General Mkunda kuungana na IGP Wambura kiliwahamasisha mapolisi waovu kuendelea kuua raia wasio na hatia hadi majumbani mwao.
Mauaji ya raia yangeweza kuzuilika kwa polisi kutumia mabomu ya machozi, risasi za mpira na maji ya kuwasha pale ambapo uvunjifu wa amani ungejitokeza na JWTZ kuwaongoza waandamanaji sehemu salama.
Kufuatia kadhia hii General Mkunda hastahili kuendelea kuwa CDF na anatakiwa ajiuzuru mara moja.
Huyu Mungu mnamchosha sana, ujinga mnaanzisha wenyewe na mkishindwa agenda zenu mnasema mnamuachia MunguHuyu CDF alinisikitisha sana kuhalisha Mauaji ya vijana wakitanzani na kuwaita waharifu ni Jambo ambalo kukemea vijana wanaopinga utekaji na vitendo vya kifisadi na rushwa Tunaitaji vijana wahasi dhidi ya Mifumo kandamizi ya kinyonyaji na Ufisadi by JK Nyerere lakini Mgunda yeye kawaita waharifu anataka wananchi wamtafute jeshi la kuwalinda wanapoonewa Mkunda angeweza kusema viongozi wasikilizeni waandamanaji wanataka nini ilitosha? Sasa hivi unafikiria wananchi wanaagaliaje jeshi lao kwa jicho baya kwamba nao walingana na watekaji wananchi hawana mtetezi hii mbaya sana. Serikali imemuweka Lissu ndani Vijana wanaandamana mnawaita waharifu baada ya kuwasikiliza ngoja wanachokitafuta watakipata Mungu akitaka kukushusha anakujaza kiburi na Jeuri