Wanachoweza ni kuwaonea wananchi ambao wanawaita derogatory term "raia"Huu ndio ukweli mchungu. Nchi zingine tunaona wajeda wakichukua hatua kunusuru raia, ila Bongo imekuwa tofauti na sababu ni waoga na wabinafsi kama wanasiasa wetu.
Kwasababu ni wabingfsi, ni mpaka siku waguswe kwenye masilahi yao.
Bongo na watu wake inaangamia kwasababu ya UBINAFSI ULIOVUKA MIPAKA!
Vipi ICC ya Nanjilinji muda haujafika?ICC The Hague wanaendelea kuchukua ushahidi ikifika mda wa kutoa report zao ikabainika alihusika lazima sheria za haki za binadamu zichukue nafasi yake
The only 'ICC' that matters is on its way; you don't have to worry about that.!Vipi ICC ya Nanjilinji muda haujafika?