CDF Mkunda amechangia kwa kiwango kikubwa kutokea mauaji ya maangamizi ya wananchi

Hawa wote wameingia kwenye historia ya fedheha ambayo pengine haitatokea tena milele katika taifa hili.

Napendekeza kila mmoja wao apewe kiasi chake stahiki cha fedheha ndani ya historia hiyo:
1. Emmanuel Nchimbi
2. Stephen Wasira
3. Jakaya Kikwete
3 Mkunda (sijui jina kamili ni nani)
4. Camillius Wambura
5. Jumanne Mulilo
6. Kundi la watu kama akina Mizengo Pinda, Adam Kimbisa, Kiongozi wa BAKWATA
7. Mchengerwa (kwa kazi yake ya serikali za mitaa)
8. Kailima na Mwenyekiti wake wa Tume ya Uchafuzi
9. Hamza Johari

Hawa wote, mbali ya kutambuliwa kwa historia yao ya mauaji ya waTanzania, wote ni muhimu wafikishwe mbele ya mahakama kujibu mashtaka juu ya maovu yao.

Samia Suluhu Hassan na wazanzibar aliowatumia kuua waTanzania, wao watakuwa na historia yao pekee mbali ya kundi hilo hapo juu
 
"MARIDHIANO". Na nani? Unaridhiana na HARAMU?
Hawa hawafiki popote, siku zao zinahesabika.
 
ICC The Hague inawahusu kwa asilimia zote hususani IGP na Polisiccm wake walioshiriki kupiga Risasi za moto na sasa wapo busy kuwandama viongozi wa chadema kuwabambikia kesi ili kuficha madhaifu yao
 
Na hata baada ya hivyo vifo hajakemea na hajazungumza hadi sasa kuonesha kuumizwa na haya Mauaji ya halaiki.
 
Wale hawakuwa waandamanaji bali waharibifu na wezi, risasi za moto ndiyo zilistahili. Acheni huruma kwa magenge ya ujambazi
Wewe ni mzoga wa nguruwe tu. Kuna wakati ulionekana kuwa binaadam mwenye akili kumbe ni mzoga kiasi cha ajabu namna hii?

Hasa unapambania nini. Ni kipi ambacho ni cha muhimu sana kwako kiasi cha kujidhalilisha namna hii?

Sasa hata kama huyu mfugaji wako atadumu kwa muda kiasi kwenye nafasi aliyoua watu kuipata, maisha yenu kweli yatakuwa sawa tena?

Wewe ni Mzanzibari unaye furahia watu wasiokuwa wa upande wenu kuuliwa kikatili namna hii?

Na muhimu zaidi: unapokuja humu JF kusherehekea mauaji haya, hizi sherehe zinakuongezea kitu gani hasa maishani mwako?

Wewe ni mmoja wa walioshiriki kuondoa uhai watu unaowaita "waharibifu na wezi"?

Kama "risasi za moto ndiyo STAHIKI", hao wote walioshiriki kuteka/kupoteza/kuua; wao stahiki yao ni nini, kuendelea kukaa madarakani kwa nguvu ili waendeleze uovu wao?

Ni sababu zipi zilizo zuia kufanyike marekebisho ya sheria ili uchaguzi uwe wa HAKI, ili pasiwepo hao waandamanaji ambao sasa unawapa haki ya kuuliwa?
Hawa waliokataa kufanyika kwa marekebisho ya sheria, wao STAHIKI yao ni nini?

Wewe umeathirika kiakili kutokana na haya maovu ambayo mmelazimika kuyafanya. Hutakuwa binaadam tena maisha yako yote.

Purely human decency would demand that you do not speak of evil of the departed souls; but you have lost all humanity; you're an evil spirit, same asyour owner, Samia Suluhu Hassan.
 
Mkuu mbona hujaongelea watu ambao hawakuwa kwenye maandamano lakini waliuliwa na polisi wakiwa majumbani kwao? Usiwe na double standards kemea pia ushenzi wa polisi waliokengeuka na kurusha risasi ovyo kwenye makazi ya watu au hili unalibariki?
 
Redbrigade ya mbogamboga sio, maana CCM ni kama mmejipaga uhalali wa kuua
 
Maridhiano ya kitaifa hatuyataki..yani waue watu makusudi kabisa halafu waje na ngonjera za maridhiano?
Simple tu wajiuzulu na washtakiwe kwa makosa ya mauaji ya kimbari.
 
******* tu
 
Risasi za moto zenu ndizo ziliibua vitendo vya uhalibifu kwani walioona mnawaua watu ndipo wakafanya huo uhalibifu, wewe utakufa kwa kutokemea mauaji utekaji na kumrejesha mdude polepole na wengine wote uliowafanyia unyama
Acha upumbavu. Kipi kilitangulia? Kuchoma mabasi au risasi?
 
Umewasahau wale mnaowachukia waislamu wote ambao hawakushiriki maandamano yaliyoandaliwa church
 
Sure..wale bila bunduki ni raia tu wakawaida..hawana fitness yoyote zaidi ya kulenga shabaha
 
Hili si suala la General Mkunda.

Hili ni suala la udhaifu katika jeshi.

Mlilishobokea hili jeshi, tukawaambia hili jeshi lipo compromised, especially the top brass.

Lakini hamkutaka kusikia.

Sasa mmeona. Watu wameuawa kama kuku nchini mwao.

Wananchi wanapiga SOS.

Jeshi lipo AWOL, MIA.
 
Hiyo inaitwa kidali po, ataenda kulala nacho . Ndio kumbukumbu yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…