CDF Mkunda amechangia kwa kiwango kikubwa kutokea mauaji ya maangamizi ya wananchi

Baada yakuona hao jamaa wameingia mtaani nikaanza ku smell usaliti...
 
Nilichojifunza kwenye yale Maandamano ni kama wale wanajeshi walio kua rield walikua dployed kutisha watu wasiandamane Tangu ahsubuhi ila walifanya kinyume chake kwa kudelay polisi kufukuza waandamanaji kabla hawajawa wengi
 
Mali mali mali, hii naona ni script mliyopewa muimbe. Tangu lini mali ikawa sawa na uhai?
 
Naona ccm mumekuja na Id mpya kujisafisha
 
Majambazi yakamatwe na wauwaji pia wakamatwe na kuwajibika; Hakuna mtu mwenye mamlaka ya kuwa a Judge, Jury and Executioner - Kwahio tukisema urudishiwe mali yao (wengine wana insuarance na watalipwa) na wewe utarudisha maisha ya watu ? (A Pound of Flesh) - Two wrongs don't make it Right
 
Jeshi la polisi si chombo cha kutegemewa kuleta amani hata siku moja, ni chombo hovyo kuwahi kutokea
 
Bi chura anakutafuta akupige shaba ya kichwa kwa kosa la kumzunguka na kuingia JF kwa kutumia VPN wakati ameipiga marufuku JF
 
Mkunda ndio aliyetoa AZIMIO la MAUAJI baada ya kuwaita Waandamanaji Wahalifu.
 
Hii comment yako ni kielelezo cha jinsi gani nyie products za ccm mlivyokuwa ni wapumbav na hamna maarifa kama mama yenu.

Tanzania sio nchi ya kwanza duniani kukutwa na maandamano yaliyoambata na ghasia kama zile, maandamano yaliyoambatana na fujo yamewahi kutokea nchi kama kibao tu kama Bangladesh,India,Brazil,Myanmar lakini serikali zao hazikutuma askari watumie risasi za moto kukabiliana na waandamanaji.

Afrika kusini mwaka 2017 yalitokea maandamano makubwa yaliyoambatana na vurugu nyingi kuliko hata haya yetu, na yalisababisha hasara ya zaidi ya $3b lakini Polisi wa Afrika kusini SAPS hawakutumia risasi za moto hata kidogo zaidi ya tear gases na rubber bullets.

Ni serikali mbovu, dhaifu zinazoongozwa na watu wasiokuwa na akilo wala maarifa ndio utumia risasi za moto kuzuia ghasia zinazofanywa na raia wake na kisha kuwapachika jina la wahalifu ili kuhalalisha mauaji ya raia hao.

Mara nyingi huwa mnalisifia jeshi lenu la policcm eti linatimiza wajibu wake kwa waledi, sasa huo waledi mbona hatukuuona kutuliza maandamano na badala yake wakatumia njia ya shortcut yenye gharama kubwa sana?

Imagine maandamano yametokea mikoa yote mikubwa ya kibiashara, halafu bado unawaita wahalifu?

Hivi kuna wahalifu gani wanaoweza kujiorganise kwa malaki na kisha kufanya matukio kwenye miji yote mikubwa kwa mara moja?

Nyie wapumbav pamoja na wakuu wenu wa vyombo vya dola itabidi mfundishwe nini maana ya "violent political demonstration" na matumizi sahihi ya neno "uhalifu" wajinga nyie.

Serikali ya shetani samia ndio ya kwanza duniani kutumia silaha za kivita kupambana na raia wake wasiokuwa na silaha za aina yoyote ile na kisha kuwaita wahalifu.

The first government in the world to wage war on its own defenseless citizens using heavy ammunition, what a shame
 
Kabisa ndugu wale jamaa kwa mionekano yao tu sio wanajeshi kabisa, wanaonekana ni watu wanaojua tu kutumia silaha za moto basi..

Majamaa yana vitambi halafu yanatembea huku yamevaa mitepesho, wale ni wahuni ambao huwa wanakodiwa kwa shughuli kama ile ya kutoa roho za watu.. naskia wanaitwa Mazombi.

Wale sidhani kama wanaweza kusimama kwenye battle field yoyote ile, uwezo wao ni kupambana na raia tu basi.
 
Kabisaa na toka ametoa kauli ndio siku tumeanza kuona watu wanauwawa kama kuku mtaani
 
Wewe ulikuepo wakati Gani utwambie , Ili tujue kilichoanza maana unaonekana una details nyingi sana.
Cha kwanza ni maandamano pale Kibo kwa Gwajima, then kikafuata kuunguza kituo cha Mwendokasi na basi hapo Ubungo. Hakuna kucheza na kima. Piga risasi mpaka washike adabu
 
Huyu CDF alinisikitisha sana kuhalisha Mauaji ya vijana wakitanzani na kuwaita waharifu ni Jambo ambalo kukemea vijana wanaopinga utekaji na vitendo vya kifisadi na rushwa Tunaitaji vijana wahasi dhidi ya Mifumo kandamizi ya kinyonyaji na Ufisadi by JK Nyerere lakini Mgunda yeye kawaita waharifu anataka wananchi wamtafute jeshi la kuwalinda wanapoonewa Mkunda angeweza kusema viongozi wasikilizeni waandamanaji wanataka nini ilitosha? Sasa hivi unafikiria wananchi wanaagaliaje jeshi lao kwa jicho baya kwamba nao walingana na watekaji wananchi hawana mtetezi hii mbaya sana. Serikali imemuweka Lissu ndani Vijana wanaandamana mnawaita waharifu baada ya kuwasikiliza ngoja wanachokitafuta watakipata Mungu akitaka kukushusha anakujaza kiburi na Jeuri
 
Kwa hiyo mwizi anapigwa risasi anastahili kufa muharifu sasa waharifu wote wataotajwa kwenye ripoti yoyote ya wizi wa CAG wanatakiwa kupigwa risasi nao ni waharifu Waliotajwa na Polepole wato waharifu maana pesa wanazoiba zinasababisha watu kukosa madawa kutosha hospitalini na kusababisha vifo ambavyo vingeweza kuepukika
 
PSU nafikiri unaweza kua sawa 99%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…