CDF Mkunda amechangia kwa kiwango kikubwa kutokea mauaji ya maangamizi ya wananchi

Zile mali ulizoziiba zichimbie chini siku siyo nyingi wanakufikia
 
Cha kwanza ni maandamano pale Kibo kwa Gwajima, then kikafuata kuunguza kituo cha Mwendokasi na basi hapo Ubungo. Hakuna kucheza na kima. Piga risasi mpaka washike adabu

Wewe ulikuwa sehemu ya maandamano.?
 
Umewasahau wale mnaowachukia waislamu wote ambao hawakushiriki maandamano yaliyoandaliwa church
Kwa hiyo unatueleza wewe hapa kuwa mauaji haya yanatekelezwa na waislam dhidi ya waTanzania wasiokuwa waislam?
Mimi sikubaliani na dhana potofu kama hiyo uliyo nayo wewe.
 
Ni mkunda ******?
 
Huyo generali feki nilipoona siku ile anasoma taarifa aliyolazimishwa na maccm nikajua hapa hakuna mtu hapa 🤡
 
Huyu Mungu mnamchosha sana, ujinga mnaanzisha wenyewe na mkishindwa agenda zenu mnasema mnamuachia Mungu
 
Huyu Mungu mnamchosha sana, ujinga mnaanzisha wenyewe na mkishindwa agenda zenu mnasema mnamuachia Mungu
 
Cha kwanza ni maandamano pale Kibo kwa Gwajima, then kikafuata kuunguza kituo cha Mwendokasi na basi hapo Ubungo. Hakuna kucheza na kima. Piga risasi mpaka washike adabu
🚮🚮🚮
 
Huu ndio ukweli mchungu. Nchi zingine tunaona wajeda wakichukua hatua kunusuru raia, ila Bongo imekuwa tofauti na sababu ni waoga na wabinafsi kama wanasiasa wetu.

Kwasababu ni wabingfsi, ni mpaka siku waguswe kwenye masilahi yao.

Bongo na watu wake inaangamia kwasababu ya UBINAFSI ULIOVUKA MIPAKA!
 
Huu ndio ukweli mchungu ambao hausemwi na watu,wajeda walikuwa na nafas kubwa ya kunusuru madhara ya mali na uhai wa watu usipotee lakini hawakufanya hivyo,sijui mlungula ulitembea, huenda mkunda "aliwakumbuka"
 
October watu wamepokea mshahara twice. Before tarehe 20 na tarehe 27 tena mzigo ukaingia .
Wakati unasubiri uje ukombolewe wenyewe wanaona serikali ya neema na kwenda kuchoma nyama baa
 
Jwtz ni ajira kama zilivyo ajira nyingine
 
Sahihi..Jeshi mmetuangusha sana kiukweli ila bado mna nafasi ya mwisho, D9
 
Kweli kabisa mwanasiasa ufanye siasa zako huku ukitaka jeshi lipindue nchi!?
... mawali: 1) haupo nchini 2) upo nchini lakini katika nchi ndani ya nchi hivyo unajiona salama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…