Tetesi: Cecil Mwambe kuhamia CCM muda wowote kuanzia sasa

Mh. Mbowe a.k.a mla rushwa nambali wani aligawa mil 2 kwa kila mjumbe wa mkutano, ushahidi wa video upo kabisa, mkichonga sana tunautoa.
Toa huo ushahidi ili wasichonge
 
Kazi aliyokuwa amepewa imemshinda, sasa acha arudi kwao akajibu mashitaka.
 
Mh. Mbowe a.k.a mla rushwa nambali wani aligawa mil 2 kwa kila mjumbe wa mkutano, ushahidi wa video upo kabisa, mkichonga sana tunautoa.
Mkuu toa mkanda kukata mzizi wa fitina maana rushwa ni mbaya sana na haina vyama labda kule ilipopewa hesima ya kubatizwa jina takrima!!!!!
 
Mh. Mbowe a.k.a mla rushwa nambali wani aligawa mil 2 kwa kila mjumbe wa mkutano, ushahidi wa video upo kabisa, mkichonga sana tunautoa.
Uongo kama wa Magu wa dona kantri. Weka na wapelekee takukuru. Nya wee
 
Ahamie mara ngapi mbona tayari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh. Mbowe a.k.a mla rushwa nambali wani aligawa mil 2 kwa kila mjumbe wa mkutano, ushahidi wa video upo kabisa, mkichonga sana tunautoa.
Sio kila unachosikia unaamini we kijana! Ukisikia kijiweni wanasema mie ni rafiki wa mzazi wako wa jinsia ya Hawa utaanza kuniita baba bila kutafakari kwanza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama chaguzi za ubunge bado zinafanyika ataondoka ila kama chaguzi hazipo tena hadi uchaguzi mkuu basi hataondoka sababu mwakani kuna vikao vya bunge likiwemo la bajeti atakosa posho... atakuja kuondokaa bunge likishavunjwa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha kwanini asisubirie bunge liishe au atalipwa na mafao ya ubunge na huyo polepole.
 
Hahaha kwanini asisubirie bunge liishe au atalipwa na mafao ya ubunge na huyo polepole.
Mgogoro uko hapo , inasemekana anataka mil 500 pamoja na posho zote za vikao vilivyobaki , ikiwa ni pamoja na kiinua mgongo .
 
Baada ya kuukosa uwenyekiti? km ni hivyo basi uwenyekiti haukumfaa ''He is going to prove that he is not a strong politician'' cheap politicians are easily bought and controlled
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…