Aende tu. Alizoea laini laini.'' Wananchi wa Ndanda walinipa heshima ya kuwa mbunge wao, leo ninatukanwa na Vibaraka wa Mbowe kuwa mimi ni dogo, nadhani imefika hatua ya wananchi wa Ndanda na Mtwara kwa ujumla kukataa kabisa uhuni na ubaguzi wa Chadema na kutokaa na kadi zao kwenye nyumba zetu'' Cecil Mwambe"
.....Atapokelewa na Humphrey Polepole
Uweke hapa sio maneno maneno tuMh. Mbowe a.k.a mla rushwa nambali wani aligawa mil 2 kwa kila mjumbe wa mkutano, ushahidi wa video upo kabisa, mkichonga sana tunautoa.
Kama ni kweli kaandika basi atoke arudi kwenye chama cha mafisialitumwa kuharibu uchaguzi chadema
ameshindwa, aondoke tu hana impact yoyote chamani
Mh. Mbowe a.k.a mla rushwa nambali wani aligawa mil 2 kwa kila mjumbe wa mkutano, ushahidi wa video upo kabisa, mkichonga sana tunautoa.
Hilo mbona lilijulikana muda mrefu? Alishahamia CCM muda mrefu. kwani anataka kuhamia mara ya ngapi? Huyu si mwana Chadema tangu biashara ya binadamu ilipoanzishwa na Polepole na Jiwe mwaka jana.'' Wananchi wa Ndanda walinipa heshima ya kuwa mbunge wao, leo ninatukanwa na Vibaraka wa Mbowe kuwa mimi ni dogo, nadhani imefika hatua ya wananchi wa Ndanda na Mtwara kwa ujumla kukataa kabisa uhuni na ubaguzi wa Chadema na kutokaa na kadi zao kwenye nyumba zetu'' Cecil Mwambe"
.....Atapokelewa na Humphrey Polepole
Sasa mbona hata kwenye kanda yake hiyo hiyo ya Kusini walimtosa? kwani nako waligombea na Mbowe? Sema tu watu hasa wenye damu ya CCM wanamwogopa Mbowe hadi wanatia aibu.Arudi chama dume kuliko kukaa kwenye saccos ya wahuni. Kila mwanachama ni kambale!
Hauna wewe ushahidii..unaogopa Nini wakati ID yenyewe anonymous..unawatishia nyau CDM wako eeh..ππMh. Mbowe a.k.a mla rushwa nambali wani aligawa mil 2 kwa kila mjumbe wa mkutano, ushahidi wa video upo kabisa, mkichonga sana tunautoa.
To hell!'' Wananchi wa Ndanda walinipa heshima ya kuwa mbunge wao, leo ninatukanwa na Vibaraka wa Mbowe kuwa mimi ni dogo, nadhani imefika hatua ya wananchi wa Ndanda na Mtwara kwa ujumla kukataa kabisa uhuni na ubaguzi wa Chadema na kutokaa na kadi zao kwenye nyumba zetu'' Cecil Mwambe"
.....Atapokelewa na Humphrey Polepole
Kwa kweli ataruka zaidi kwa kubaki chini.View attachment 1301386
Chama dume baada ya kupita bila kupingwa ππππ
Aende tu hakuna namna'' Wananchi wa Ndanda walinipa heshima ya kuwa mbunge wao, leo ninatukanwa na Vibaraka wa Mbowe kuwa mimi ni dogo, nadhani imefika hatua ya wananchi wa Ndanda na Mtwara kwa ujumla kukataa kabisa uhuni na ubaguzi wa Chadema na kutokaa na kadi zao kwenye nyumba zetu'' Cecil Mwambe"
.....Atapokelewa na Humphrey Polepole
Wenu hadukui?Mwenyekiti wenu kuwatishia na kudukua mawasiliano ya wanachama wake ndio demokrasia ya kweli ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Things are not such straight forward.Mimi nimemuelewa sana Cecil Mwambe kwa ujasiri wake. Ataondoka Chadema akiwa ameiachia changamoto za kutosha tu kupitia hoja zake alizozitoa wakati wa kampeni. Na uzuri alisha ahidiwa na Magufuli kutetea kiti chake cha ubunge iwapo atarudi nyumbani (ccm), hivyo hana cha kupoteza.
Wakati huo huo, hao wabunge wengine wa Chadema bahati mbaya hawajui kesho yao itakuwaje! Wanatambua fika mwakani wana wakati mgumu sana wa kupoteza majimbo mengi kwenye uchaguzi mkuu kwa sababu tu ya figisu na fitna za ccm, na pia kwa sababu ya ukosefu wa tume huru ya uchaguzi.