Tetesi: Cecil Mwambe kuhamia CCM muda wowote kuanzia sasa

Akifika kwetu ajuwe kwamba Mwenyekiti wetu hatutaki asumbuliwe 2020 - kama njozi yake ni uenyekiti basi kwetu tulishachagua mpk 2025
 
Kama tetesi hii itakuwa kweli bc kama ANGECHAGULIWA kuwa mwenyekiti bc ANGEANDIKA historia kwa mwenyekiti was chama kikuu cha upinzani KUUNGA mkono JUHUDI!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
alitumwa kuharibu uchaguzi chadema

ameshindwa, aondoke tu hana impact yoyote chamani
Muda mwingine huwa nakaa nafikria akili za Wana chadema nabakia kusikitika tu.

Yani unaanza je kujifariji kuwa Hana impact Mtu aliechaguliwa na maelf ya wanachadema wa ndanda! Je bila impact ndani ya chadema angepata hizo kula za kumufanya awe mbunge.

Pia, Mtu anaeweza kusababisha Chama kukosa Jimbo lake baada ya kuhamia chama kingine unasema Hana impact. Are you brain fit kweli?

Kama hizi ndo akili Hadi za Viongozi wako wakubwa wa CDM Basi Chadema itabaki kuwa chama Cha upinzani Cha ovyo Sana miaka yote.

Wenzio hata wakipoteza mtaa Mmoja wanasikitika na kuangalia namna gani ya kuurejesha wewe unapoteza mbunge na Jimbo lake harafu kwa akili nyeupe tu unasema HAMNA IMPACT? Daaah kweli Chadema imejaa wahuni na don't care wakutosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angepokelewa na Mzee Mangula,Polepole ni mtu mdogo kwa mwambe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hana jipya acha aendelee kujiuza tu,makapi kama haya huwa hayaaminiki na huwezi kupanga nayo mikakati ya maana kwa sababu muda wote huwa yanawaza matumbo
 
Ndio maana tunataka MBOWE aongoze CDM mpaka tumuangushe Mkoloni MWEUSI ,Sasa watu walitaka MAMLUKI CESILIA ndio achukue uwenyekiti?
 
Ahame tu uyo mbunge uchwara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hicho ni kisingizio,kuitwa dogo kumemletea mfadhaiko had I kuamua kurudi nyumbani?Je,angepitia mateso kama ya kina Lissu,Mbowe,Matiko,Lema,Sugu na makamanda wengine si angeomba poo kwa mtesi mchana na kuwaacha wenzake?
Alitaka kupewa Uenyekiti wa Makamanda huyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…