Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mheshimiwa, wewe si umeishachanja? kwanini unataka na sisi sote tuchanjwe? Au siku hizi uzima ni wa kulazimishana, kama wewe umeishajiponya kwanini ulazimishe na sisi tujikinge?Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, iweke utaratibu mzuri wa chanjo kuwa ya lazima kwa Watanzania,” amesema Mbowe.
Na huo ndio ukweli!!
Mzazi gani hua anaulizwa kama mtoto achomwe chanjo ya surua/ pepopunda??!
Huu ugonjwa haujapata kiongozi serious wa kushughulika nao hapa Tanzania. Kama alivokua Mwendasake...huyu nae kaja na maneno kibwena!
Nazo siku hizi unajaza fomu kama vile operation?Kwani hata zile chanjo za kitoto huwa ni hiari eeeh?
Nia nzuri imehamia huku badala ya kudai katiba mpya anashinikiza chanjo?Mbowe huenda ana nia nzuri lakini bahati mbaya sio watu wote wana mtazamo sawa juu ya Covid-19 achia tu hizo chanjo zake...
Mwendazake asingeshupaza bichwa akaagiza chanjo leo angekua hai na angekua kapaisha uchumiUnatia Aibu. Nchi gani chanjo lazima. Nyie watu mkoje.
Zote hizo ni ipi unajaza fomu ya endapo ukipatwa na madhara hutaishtaki serikali?Ngoja nikuulize,hata ile ya polio ni hiari sio,achilia mbali pepopunda,kifaduro,kutajakwa uchache.
Mbowe huenda ana nia nzuri lakini bahati mbaya sio watu wote wana mtazamo sawa juu ya Covid-19 achia tu hizo chanjo zake...
Kwakuwa kwako ni kakorona hakata kutisha,ukizingatia mwili nyumba,nyungu kwa Sana,pamoja na juisi lishe.utishike tena.Zote hizo ni ipi unajaza fomu ya endapo ukipatwa na madhara hutaishtaki serikali?
Hapo siungi mkono hojaChama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeomba huduma ya utoaji chanjo ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19), iwe ya lazima badala ya hiari kama ilivyotangazwa na Serikali...
Na ndo maana tunataka chanjo iwe hiari,mnaotishika mchanjwe.tusiotishika tuendelee na maisha.Kwakuwa kwako ni kakorona hakata kutisha,ukizingatia mwili nyumba,nyungu kwa Sana,pamoja na juisi lishe.utishike tena.
Sema tuendelee na nyungu pamoja na juisi lishe.Na ndo maana tunataka chanjo iwe hiari,mnaotishika mchanjwe.tusiotishika tuendelee na maisha.
LABDA KWA WANA CHADEMA NDIYO IWE LAZIMA.Hapo wanaharibu.
Italy, chanjo ni lazima kwa utaratibu maalumu. Adhabu pia zipo kwa wanaokaidi utaratibu huo.Mbona hata Italy ambpo ugonjwa huu uliua wengi, chanjo mi hiari ya mtu, Mbowe anataka atufunge na kamba?
Sent from my 5033X_EEA using JamiiForums mobile app
Italia, Ufaransa, Australia, Uingereza, Urusi n.k. zina chanjo za lazima. Fanyeni utafiti kwanza kabla ya kulalamika.Unatia Aibu. Nchi gani chanjo lazima. Nyie watu mkoje.
Hii comment imeka kinyonge sana mkuu lakini hakuna namna inabidi ukweli usemwe.Hapo wanaharibu.