CHADEMA hatutaki maandamano yenu Jumatatu kumpokea Lissu, tuko katika msiba mkubwa wa kitaifa wa Marehemu Benjamin W. Mkapa

ingawa hii imetokea kama bahati mbaya,ila kiukweli lissu ana bahati mbaya.

hiyo jtatu tunaiingiza kwenye siku za maombolezo kitaifa,jifanye unawashwa nyanyua kongoro zako nyumbani kwenu[emoji38][emoji38][emoji38].
Lissu ana bahati nzuri sana. Huyu ndo angekuwa kizingiti kikuu katika kuzuia Tundu Antipas Lissu kutangazwa kuwa mshindi wa Uchaguzi Mkuu mwaka huu October 2020.
Huyu ndo alizuia Maalim Seif kutangazwa kuwa mshindi na Jecha 2015.
 
Kama kichwa kinavyojieleza hatutaki kuona maandamano yenu Jumatatu kwa kumpokea mtu wenu huyo tuko katika majonzi makubwa kwa kuondokewa na Rais wetu mstaafu marehemu Me. Benjamin Mkapa. Na Mungu wetu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Amina.
Wewe ni mtu wa kufunga jela! Nani katangaza maandamano? Weka ushahidi kama mamlaka za CDM zimetangaza maandamano of any type? Wewe inabidi ufungwe kwa kusema UONGO, ni kosa la jinai!
 
Shehe Yahaya alituambia kuwa Mkapa alikuwa ni Masonic, tena mwenye cheo flani humo.

JESUS IS LORD
 
Wewe ni mtu wa kufunga jela! Nani katangaza maandamano? Weka ushahidi kama mamlaka za CDM zimetangaza maandamano of any type? Wewe inabidi ufungwe kwa kusema UONGO, ni kosa la jinai!
Kwani hata kukiwa na maandamano ya amani ya mapokezi kama ya Hussein Mwinyi juzi unguja na pemba shida iko wapi???
 
Kama wanatafuta kuumia wambie waandamane.
Yani sisi tunaomboleza wao waandamane?
Haki ya mama ataumia mtu.
 
ingawa hii imetokea kama bahati mbaya,ila kiukweli lissu ana bahati mbaya.

hiyo jtatu tunaiingiza kwenye siku za maombolezo kitaifa,jifanye unawashwa nyanyua kongoro zako nyumbani kwenu[emoji38][emoji38][emoji38].
Kweli ushamba ni mzito kama mzigo wa kuni.
Hivi,kuna uhusiano gani kati ya msiba uliopo na kurudi nyumbani kwa mheshimiwa Lisu?
Kwani watu wakiandamana kumpokea kiongozi wao anawazuiaje ninyi kuhuzunika na kuomboleza kifo cha huyo mpendwa wenu??
 
Lissu ana bahati nzuri sana. Huyu ndo angekuwa kizingiti kikuu katika kuzuia Tundu Antipas Lissu kutangazwa kuwa mshindi wa Uchaguzi Mkuu mwaka huu October 2020.
Huyu ndo alizuia Maalim Seif kutangazwa kuwa mshindi na Jecha 2015.
mhhh dah.
 
Kwani hata kukiwa na maandamano ya amani ya mapokezi kama ya Hussein Mwinyi juzi unguja na pemba shida iko wapi???
Hakuna shida, au inabidi kusiwe na shida by principle. Lakini kwa vile tunaishi kwenye persecution era, shida itakuwepo!
 
Kweli ushamba ni mzito kama mzigo wa kuni.
Hivi,kuna uhusiano gani kati ya msiba uliopo na kurudi nyumbani kwa mheshimiwa Lisu?
Kwani watu wakiandamana kumpokea kiongozi wao anawazuiaje ninyi kuhuzunika na kuomboleza kifo cha huyo mpendwa wenu??
Ama ni ujinga tu umekujaa kichwani hata kuongea na kuandika huu ujinga wako??
mbona povu!!!

aje tu hamna tatuzo.
 
Sio lazima mtu ambaye kwako wewe ni muhimu basi ukataka na wengine wote wawe wana umuhimu kwao....

Mkapa ni binadamu kama wengine,kuna watakosikitika na watakaokua hawana habari nae basi usilazimishe wote waombeleze...
 
Kama wanatafuta kuumia wambie waandamane.
Yani sisi tunaomboleza wao waandamane?
Haki ya mama ataumia mtu.

Then uta- gain chochote?

Kumbuka sisi sote pamoja nawewe niwakufa pia . Hivyo tuheshimu hiari, hisia na utashi wa watu wengine
 
Hakuna shida, au inabidi kusiwe na shida by principle. Lakini kwa vile tunaishi kwenye persecution era, shida itakuwepo!
Jibu ni hakuna shida yeyote na Lissu atapokewa na watanzania wote na pia mkapa ataendelea kuombolezwa na watanzania wote
 
Tutampokea kiongozi wetu na rais mtarajiwa kwa amani bila maandamano, kwanza maandamano mlishayakataza leo hii mna wasiwasi wa nini?

Back
Top Bottom