CHADEMA, kauli ya Lema kuhusu Uislamu ni msimamo wa chama?

Akatoe huo ushuzi kwenye uchaguzi wa chama chake na si kuteletea uyahuni wake kwenye nchi yetu
 
akili kubwa Lema. Wakati wa JPM hawa walikuwa Mwiba ila sasa kwakuwa aliyepo wanaendana kiimani huwaskii hao wachumia tumbo. Kwa mantiki hiyo usemi wa Lema ni sahihi 100%
Wacha ufala wewe! Ishi kwa akili yako, unaabudu maneno ya mpumbavu Lema, endeleeni kumjaza ujinga huyo Mpuuzi wenu mropokwji Lema maokeo mtayaona.
 
Lete Ushahidi na mimi nikupe ushahidi kuwa Mtume Mudy alimbaka Mtoto Aysha mwenye miaka 9
Ishi humo Mzee,huamini kuwa bikra maria alipata ujauzito akiwa na miaka Tisa?
 
Mwajuma Tako bovu ni wewe uliepewa permit ya Sodomy na PAPA....
Mimi sio mfuasi wa Papa ewe Mnafiq, kwanza huyo Fatma ana Uislam gani....mwajuma tako bovu wewe...kutwa kutuvalia Hijab mchana huku ucku kusasambua kiuno
 
Akatoe huo ushuzi kwenye uchaguzi wa chama chake na si kuteletea uyahuni wake kwenye nchi yetu
Udini hauna maana!!

Kauli ya Lema no thabiti!!

Tuchague Kwa uwezo sio uislam Wala ukristo!!

Binafsi Sina Mpango was kuchagua ujinga!

Bora asimame Kasim majaliwa nitamuelewa!!

Au hata shamsi vuai nahodha nitamchagua lakini huyu hapana!amefeli !Hana sauti ya kukemea ujinga ujinga mwingi ninaouona Kila siku!!
 
Ujinga huo huo ambao uliizamisha CUF na ndiyo huo huo unaizamisha Chadema...

Chadema visiwani imekufa,CUF imekufa...CuF bara imekufa likewise chadema inaenda kufa pia...
 
Uislam na ukristo unahusika na nini kamanda?
Nimesema sio kila wanapotajwa waislamu au wakristo basi ni masuala yenye kuhusika moja kwa moja na dini uislamu au ukristo, unaweza kukuta tabia za waislamu au wakristo wa nchi moja ni tofauti na nchi nyengine japo kidini wote ni waislamu/wakristo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…