CHADEMA, kauli ya Lema kuhusu Uislamu ni msimamo wa chama?

Narudia tena, pumzi inakupa kibri, wala hujui ni nani anaekufanya upumue.

إِنَّ الَّذِينَ كَفَرُوا سَوَاءٌ عَلَيْهِمْ أَأَنْذَرْتَهُمْ أَمْ لَمْ تُنْذِرْهُمْ لَا يُؤْمِنُونَ
2:6 Al-Baqarah
Hakika wale walio kufuru ni sawa kwao ukiwaonya au usiwaonye, hawaamini.

خَتَمَ اللَّهُ عَلَىٰ قُلُوبِهِمْ وَعَلَىٰ سَمْعِهِمْ ۖ وَعَلَىٰ أَبْصَارِهِمْ غِشَاوَةٌ ۖ وَلَهُمْ عَذَابٌ عَظِيمٌ
2:7 Al-Baqarah
Mwenyezi Mungu amepiga muhuri juu ya nyoyo zao na juu ya masikio yao, na juu ya macho yao pana kifuniko. Basi watapata adhabu kubwa.

وَإِذَا قِيلَ لَهُمُ اتَّبِعُوا مَا أَنْزَلَ اللَّهُ قَالُوا بَلْ نَتَّبِعُ مَا أَلْفَيْنَا عَلَيْهِ آبَاءَنَا ۗ أَوَلَوْ كَانَ آبَاؤُهُمْ لَا يَعْقِلُونَ شَيْئًا وَلَا يَهْتَدُونَ
Al-Baqarah 2:170
Na wanapo ambiwa: Fuateni aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu; wao husema: Bali tutafuata tuliyo wakuta nayo baba zetu. Je, hata ikiwa baba zao walikuwa hawaelewi kitu, wala hawakuongoka?
 
Sera za mama zimefungua nchi hata leo lissu unamuona amelisifia hilo ndio maana hata hao chadema wanaandamana kila siku, kipindi cha magufuli si walihama nchi? Huwezi kufaninsha sera na uongozi wa samia hata kidogo ni mbingu na ardhi, watu waliporwa mali zao kuwa tajiri ilikuwa kosa la jinai sasa nchi gani inaweza kuendelea namna hiyo
 
Hakuna hata moja la maana hapo ulilozungumza, bali chuki tu mlizonazo na ndio zinaendelea kuwaponza wanachadema 😁
 
Lema haendekezi imani za mavitabu ya kuletwa na wakoloni, ww unayeona ni vya maana ndio Lema anasema acheni ukhanithi.
Aendekeze au asiendekeze atajua kwenye sanduku la kura. Jiandaeni kisaikolojia kwa kipigo mtakachokipata kwenye sanduku la kura
 
Amini unachokiamini,amini unaemuamin, wewe una dini yako na sisi tuna dini yetu,heshimu dini yetu na sisi tuiheshimu dini yako,soon after death tutajua who was right and who was wrong...
Siendekezi dini, nilishazipotezea muda mrefu baada ya kuona ni utapeli wa mchana kweupe. Nakushangaa ww unayekaza fuzu kwa mambo yasiyo na proof. Alichosema Lema kiko wazi, achaguliwe mtu kutokana na uwezo wake, na sio hayo madini ya kubrainwash watu. Labda ungewaambia hao wanaopita huko mitaana wakiitumia hiyo dini yako kupotosha kuhusu kupingwa kwa kiongozi. Hakuna anayemshutumu kiongozi kwa ajili ya hizo dini za kukaririshwa, Bali kutokana na matokeo duni ya kiutendaji full stop.
 
Dini, kabila, rushwa kwa, Afrika ni shida Sana, ukigusa dini tu, kila MTU ana panick! Sasa, hv hatusikii kelele za wazenj kutaka zenj Yao, maana rais, aliyepo ni kabila Lao.
Na mauaji, yote yanayotokea Palestine, huwezi, sikia wa Islam wakiitaka serikali, Samia atoe msimamo, subiri aingie raisi mkristo, CCM wanatumia Sana kadi ya, u dini, kikwete, Mkapa aliitumia, kukibomoa chama cha CUF!
Huo ndio ukweli,
 
Nasema hivi, tunza hiki nilichoandika hapa, kisha hiyo siku tukutane huko ulipoaminishwa hicho kitabu chako kitakuwa Kinga dhidi yetu tusioamini hayo mavitabu yenu. Au unadhani ukiandika kwa kiarabu ndio nitatishika? Kama umeamua kuamini, acha sisi tuliomua kufikiri tuseme hakuna kiongozi anapingwa kwa kuwa ni hayo madini ya kutungwa.
 
Hata kanisa la KKKT majuzi lilishambuliwa sana na CHADEMA kisa hawamtaki Askofu mkuu Malasusa ambaye kagoma kutumika kisiasa kama mtangulizi wake Askofu Shoo. Huyu Askofu Shoo alinunuliwa V8 la kifahari na kina Mbowe.

Malasusa ni kada wa CCM...!!
 
Na wote tuseme ameen!
 
Mnaaswa msiweke udini kwenye kuchagua mnalialia Nini sasa?
Naskia mnasemaga kuna majini 'eti' mazuri😭😭😭 tokalini shetani akawa mzuri jamani???

Anapaswa kuwaambia pia wakatoliki wenzie nao waache udini kwenye maisha ya Kila siku pamoja na ndugu zake wa kaskazini nao waache ukabila.

Udini nchi hii umeanzia kanisani na bahati nzuri mmefanikiwa kweli kiasi cha kuiaminisha jamii mambo mengi sana.

Wote ni watanzania, lakini kanisa ndio taasisi iliyoanza kuanzisha shule zake za kidini, mahospitali yake yakidini, nk. Na hata Rais wa awamu ya nne alipoamua kuzinyima ruzuku na kutaka kuboresha hospitali za mikoa na kuzipa hizo ruzuku aliingia kwenye ugomvi mkubwa sana.
 
Kwa Dharau hizi halafu nchi iwe chini ya Chadema?
Hekma hamna anyway mtavuna mnachokipanda subirini.
Chadema si kijambio cha sa100 nani anakitaka hicho kijambio kichafu
 
Hiyo unasema wewe kafiri,

Uislam unaunganishwa na kalima ya Laa illah Illa Allah, Muhammad Rasuul Allah ..

Hakuna Mungu anapaswa kuabudiwa isipokuwa Mungu Mmoja Muumba wa mbingu na ardhi na vyote vilivyomo na kwamba Muhammad ni Mtume wake...
Kungekuwa kuna waislamu saudi arabia isingekuwa toilet paper ya marekani na UK [emoji636]
 
Waislamu wanapenda deka mashoga wakubwa nyie
 
**** la Mamako Na Uislam wako.
Usipende kukashfu Imani Za Wenzako Kishoga shoga.Msenge wewe Na Wote Wanaokusapot kwenye Udini.
 
Binafsi naamini kwenye utanzania kwanza, na dini zetu zibaki kuwa kwenye Imani zetu.

Shida inaanzia pale watanzania wenzetu wanapoivuruga mifumo Kwa maslahi ya dini zao na sio kusimamia maslahi ya watanzania kwanza, zipo na dini na taasisi zake zinanufaika sana na kodi.
 
Annika Kiarabu we Mkuda.sasa English Ya Nini Tena.Fala Wewe
 
Acheni hizo, msiokoteze makosa na kuyapamba kwa nakshi za kiarabu, Chadema ni chama na kama ndivyo mnataka tukubaliane matusi na kejeli alizotoa Nape dhidi ya Lowasa zilitolewa na CCM ukiwa ndio msimamo wa chama.
Mnamkana mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya kaskazini? CHADEMA huwa haina hata semina ya kuwaelimisha wahuni kama Lema umuhimu wa kutoropoka hovyo? Chama hakina msemaji?
 
Yaani Assad ndo nimekuja kumdharau kabisa.
 
Mtaani Kwangu Wapo 5 na Wote Ni Wajukuu wa Mudy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…