CHADEMA, kauli ya Lema kuhusu Uislamu ni msimamo wa chama?

Eti eeh,and how about hiyo ya kuambiwa muingie KWENYE Sodomy wenyewe Kwa wenyewe??

Sounds good??teh teh teh...
Ni Mstari Gani Katika Biblia Unaoujua Unafundisha Kuoana Wanaume kwa Wanaume.
Tupe Kifungu we Punga
 
shida ya makamanda huwa awakubali kukosolewa kama kuna makosa.

hizi kelele zitaisha baada ya kutiana adabu kwenye sanduku la kura.
 
Reactions: Tui
We utakuwa naelimu ndogo sana unashinda madrasa tuu, kanisa lisitoe ujinga kwakujenga shule bora,lisijenge hospitali zinazosaidia hata waislamu? Kwamba ni ubaguzi? Ninyi mnafanya Nini kwajamii??
 
Alicho kisema Lema yuko sahihi kabisa, dini haipaswi kua kigezo Cha kumchagua kiongozi hata siku moja kwa sababu huyo atakae chaguliwa anaenda kua kiongozi wa watu wa dini zote na wasiokua na dini
 
Hivi unajua sababu ya kuanzishwa kwa shule na hospital za kanisa 🤔🤔 ushahidi wa kuthibitisha kwamba wakristo ni wana udini uko wapi 🤔🤔 unakurupuka tuu huko unakuja kuandika pumba ambazo hazifai kuliwa hata na ngurue 😡 taka taka kabisa
 


ayat 2 from Surah Yusuf
﴿إِنَّا أَنزَلْنَاهُ قُرْآنًا عَرَبِيًّا لَّعَلَّكُمْ تَعْقِلُونَ﴾
[ يوسف: 2]

Hakika Sisi tumeiteremsha Qur'ani kwa Kiarabu ili mpate kuzingatia.​


Swahili Translation - Al-Barwani​

English - Sahih International​

Indeed, We have sent it down as an Arabic Qur'an that you might understand.


Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili​

Hakika Sisi tumeiteremsha Qurani kwa Kiarabu ili mpate kuzingatia.

Hakika Sisi tumemteremshia Mtume wetu haya maneno kwa lugha yenu ya Kiarabu yasomwe na yahifadhiwe, ili muyafahamu, na muwafikishie watu wote.
 
Mimi mtu hanidanganyi kitu, hizi dini ni dili za watu tu hapa duniani na ukweli uko wazi kwamba hakuna kitu kinachoitwa dini kinachoweza kumwingiza mtu mbinguni eti kwa kuwa wewe ni muumini wa dini fulani, hizo ni kamba tupu.

Kuna watu, tena wengi tu, waliokufa hata kabla ya ujio wa hizo dini ambao wataingia mbinguni hivyo kuingia mbinguni hakuhusiani kwa njia yoyote ile na dini. That's what I know in line with my conviction.
 
Huu sasa umeuleta kwenye njia yake maana uchotaka ni ligi ya kidini
 
Kauli ya Lema kwenye mkutano wake wa hadhara alivyosema kwamba eti sisi waislam tusiingie kwenye mtego wa kumchagua MTU au chama eti kisa tuh kiongozi alieopo madarakani ni muislam
Hii kauli ni Mujarab TUSIMCHAGUE MTU KWA DINI,KABILA,JINSIA,na TABAKA.

UMOJA WETU NI TUNU.
 
We utakuwa naelimu ndogo sana unashinda madrasa tuu, kanisa lisitoe ujinga kwakujenga shule bora,lisijenge hospitali zinazosaidia hata waislamu? Kwamba ni ubaguzi? Ninyi mnafanya Nini kwajamii??

Ukitumia robo ya ubongo wako na kuwa free kwenye fikra, na ukiwa Mtanzania zaidi kuliko hiyo dini au dhehebu unaloamini basi UTANIELEWA VIZURI.
 
Kwa nilivyofuatilia msiba wa state man nimegundua kuwa huko serikalini kuna mnyukano wa kidini usio wa kawaida
 
Sisi tunataka
Maji
Umeme
Sukari
Ajira
Nyinyi wapuuzi mnatuingiza kwenye hoja za kipuuzi za udini. Dini ni nini kama siyo ukoloni? Jibuni hoja za watu. Wewe ukiona neno chadema kinyeleo kina kupwita. Mbona husemi kuhusu kupanda kwa gharama za maisha huku mitaani? Yamepanda kwa sababu ya dini??
 
Acha kulia lia hapa JF. Hakuna babako hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…