Uchaguzi 2020 CHADEMA, kazeni buti zenu, you are almost there. Adui yuko hoi, ushindi uko wazi mno!

Kwani wewe ndiye mpanga nani awe waziri mkuu, wa fedha au wa afya?

Pia wewe ndiyo mwenye vipimio kuona kama nchi inaenda sawa?

Mbona vichwa vyenu mnavitumia kwa kazi zisizo?

Ni matumizi mabovu kutumia kichwa kufagia nywele.

hilo hailiitaji maelezo ni wide open
 

hapo ndo mnahribu sana, mm ni mmoja wa watu tuliokerwa na foleni ubungo unakaa kwenye daladala mwezi mzima kuvuka tu upande wa pili, hatimae inabidi ushuke uchukue boda boda, sasa unavosema barabara sio lolote, tuishie tu apo
 
hapo ndo mnahribu sana, mm ni mmoja wa watu tuliokerwa na foleni ubungo unakaa kwenye daladala mwezi mzima kuvuka tu upande wa pili, hatimae inabidi ushuke uchukue boda boda, sasa unavosema barabara sio lolote, tuishie tu apo
Foleni ilikuwa inachosha ndio sasa kama mmejenga fly-over ndo mpige risasi watu na kubambikia makesi??? Ndo muharibu uchumi na kuua biashara??? Mmetengeneza taifa la wachuuzi tu huku mkiharibu walipa kodi genuine???

Kuna umaana gani wa hizo flyover sasa??
 
BAVICHA MLICHOBAKISHA NI KUJIFARIJI MBONA HAMJAINGIA BARARANI KAMA TL AMEONEWA HAHAHHA MLIKUWA MNATAMBA HUMU OOH WAMFUNGIE WAONE YAKO WAPI
Kama hujajua madhara ya kufungiwa kwa Tundu Lissu kufanya kampeni kwa Chama Chako na serikali yake basi wewe ni kilaza ulietukuka
 
Huku mitaani hali ni ngumu balaa ambae halioni Hilo basi Yuko meza kuu na ubaya WA meza kuu wanakaa wachache, wamama wanaungua na jua kutembeza vichana viwili vya ndizi na parachichi 10 kwenye jua halafu unawaambia ndege?,acheni dharau.
 
Yaani nyie mnaoshabikia CCM huwa mnaishi nje ya Tanzania au?

Hamuoni mabaya yote ya CCM au mmefumba macho kutetea matumbo yenu.
 
Wapi huko ccm inaungwa mkono 100%

Au nchi ya kusadikika, hebu zibueni hayo masikio na mfumbue macho hali si nzuri mtaani, CCM imeharibu safari hii
 
Chadema wakitoa tangazo la lazi ya uwakala watapata nyomi Kama la Wasimimizi wa NeC leo ubungo
 
mmebadilisha tena? sema we jamaa unajitolea sana kwa chadema! inafaa uwe recognized na cheo hapo ufipa maaana umekua mstari wa mbele sana kwenye ishue znahusiana na chadema ingawa znakuaga pumba
Kama wewe ulivo na mafisiem wenzako
Madiluu
 
We madiluu Acha ujinga wako kwa nini upeleke wanyama huko? ?Paruaneni mi nipo Hapa Denmark nakula maisha kwanza nikirudi nikute hali shwari Jitahidini mparuane vzr
kwan hujui kuna mbuga ya wanyama imeanzishwa chato? unadhan watenda na nn watalii?
 
Ubua una uzito kdg wepesi kama karatasi au pamba
Tumeshafika, adui Yuko mbendembende anamtegemea Diamond na Zuchu ndio watu wasogee Kwa dakika chache kwenye mikutano yake.Ilibaki Tume Tu nayo tunaikusanyia ushahidi. Kama alivyotabiri Polepole CCM ni wepesi kama ubua
 
We madiluu Acha ujinga wako TL angesema neno unafikir wangeshidwa kuingia? ?
Acha u pumbavu wako phd yenyewe umenunua
Mi nipo Hapa Denmark nakula maisha kwanza nikirudi nikute hali shwari Jitahidini mparuane vzr
BAVICHA MLICHOBAKISHA NI KUJIFARIJI MBONA HAMJAINGIA BARARANI KAMA TL AMEONEWA HAHAHHA MLIKUWA MNATAMBA HUMU OOH WAMFUNGIE WAONE YAKO WAPI
 
Umeandika vizuri sana,hasa upande wa watumishi wamesahaulika sana,MTU ana miaka saba 7 kazini hajawahi pandishwa daraja wala kuongezewa mshahara,watumishi wengi kwa kweli watampigia Lissu kura regardless of outcomes, We are tired of this dictatorship regime of Stone
 

Lissu anafanya siasa kwa level ya mbali sana
 
Huyo kibaraka wa mabeberu akishinda mi nahama nchi
Huna hata passport we sema utahama kutoka DSM unakoishi bila kazi isipokuwa ukuwadi na umbea na utarudi huko MTIMBWILIMBWI Kwa Bibi yako ukamsaidie kuendesha ungo wa usiku nyambafu
 
Kwa staili hii ya kuua watu, chadema wakaze na maka**** maana huyo Amsterdam atawadai pesa zake alizowapa kufanyia kampeni, halafu hawatopata ushindi hivyo ataenda kuwauza kwa wanaume zake wengine ili kulipa fedha hizo.
 

Attachments

  • Screenshot_2020-10-05-19-09-47-1.png
    43.4 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…