Francis fares Maro
JF-Expert Member
- Jun 20, 2021
- 1,227
- 1,339
Chama chako kikowapi?!!..wenzako wanaofisi nnchi nzima,wanawatu wanalipwa mishahara,wanavitega uchumi!!..wewe uko hapa unashabikia kitu ambacho hupati hata elfu moja!!Chama cha Mbowe kimekuwa level moja na chauma kwa sasa.
Hamza alishughulikiwa kwa njia aliyoichagua kama ambavyo mdude atashughulikiwa atuonyeshe anavyotumia zile wembe zake๐๐๐Ushabiki mgumu sana!!..watu mnaongea msivyovijua kwasababu tumekua na Uhuru huo!!..Vipi Hamza nae mmeamua kumpumzisha!!
Nyie mlipenda matokeo ya kushika dola yakawafanya wehu hadi mkasahau kama mnayempa hiyo nafasi ni yuleyule mliyemwita fisadipapa. Alipowanunua mkampa ile nafasi njaa zenu hazikwisha???Nilichojifunza ni kwamba tunapenda matokeo kuliko njia zilizotumika!!..kuna Mwenzako hapa nimemuuliza haya chadema hawezi kuchukua nchi Sawa!!..Nyie vipi mnayo nchi kila siku mbona bado mnanjaa?
Una uhakika Lowasa hajawahi kulipa kodi nchi hii? Nawewe pambana ufikie pa kutokulipa kodi.... maisha ni mapambano acha kudeka๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃKama wewe hulipi Kodi kama lowassa Sawa!!..Kama na wewe unalipa Kodi basi inabidi utafakari jinsi yako ya kufikiria!!
Kwani umeambiwa Tanzania aina katiba? Tanzania katiba ipo ila kuna baadhi ya watu wanataka katiba mpya(nyingine) kwa haraka na Serikali inawaambia wasubiri kwanzakweli ujinga ni mwingi bongo, yaani mtu anaadika eti katiba mpya na tume huru sio vitu za muhimu, kweli ukosefu wa elimu ni kitu baya sana, angalia mataifa yote yaliopiga hatua kimaendeleo, wako na kitu moja common, good katiba,anyway wewe ni wanauvccm so enda kapewe kazi ya udc
DaudiAiko kawaambia ukweliii, yaani nyie watu buana๐คฃ๐คฃ miaka30 mnalalamikia tatizo lilelile moja bila kupata ufumbuzi mnategemea tuwape nchi ndio mtaweza tatua matatizo yetu watanzania 60M kweli?? Aiiii hatuwezi chezesha nchi kamariโฅ๏ธโฃ๏ธโฆ๏ธโ ๏ธ๐๐
Kuendelea kulialia haiwasaidii sana sana mnaoneka hamna mipango ila mna matatizo sugu ya kushindwa kufikiria๐๐๐ Kama siasa imewashinda vile!
Tunaambiwa Insanity is doing the same thing over and over again and expecting different results, acheni kulamika chama hakijengwi kwa maneno ya mitandaoni
Ushauri wa bure tafuteni mtu asiyekua na matakwa binafsi mumpe kazi ya kuwajengea chama maana nyie kwa nyie mlishapewa onyo kwamba SUMU HAIONJWI ๐๐
Sijui tuwaweke kundi gani wale waliyomwita yesu kule ChatoNawashangaa zaidi pale wanapomfananisha Mbowe na Mandela. Hawa jamaa (makamanda uchwara) hamnazo.
Mimi ni mmoja wa watanzania wachache kama lowassa ambao hatulipi hizo Kodi zenu!!...Ndio nimekwambia wewe na Ushabiki wako wote unalipa Kodi hii ni ajabu sana!!.Hamza alishughulikiwa kwa njia aliyoichagua kama ambavyo mdude atashughulikiwa atuonyeshe anavyotumia zile wembe zake๐๐๐
Nyie mlipenda matokeo ya kushika dola yakawafanya wehu hadi mkasahau kama mnayempa hiyo nafasi ni yuleyule mliyemwita fisadipapa. Alipowanunua mkampa ile nafasi njaa zenu hazikwisha???
Una uhakika Lowasa hajawahi kulipa kodi nchi hii? Nawewe pambana ufikie pa kutokulipa kodi.... maisha ni mapambano acha kudeka๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Mungu wa Burigi ndie aliejaribu kucheza KAMARI na moto wa covid 19.Unataka kucheza kamari kwa kuiweka nchi bondi ๏ธโฃ๏ธโฆ๏ธโ ๏ธ๐๐
Hichilema alishitakiwa kwa ugaidi na uhaini kama mlivyomshitaki MboweUpuuzi mtupu, Kufananisha Hichilema na gaidi la saccos.
afu we mama nimimiss mzigo wako huo ujueeBwege ni wewe unaeujua ukweli halafu unajidanganya kujiridhisha nafsi. Wewe ulikula sh ngapi kwa mauzo mliyofanya kwa Lowasa?
Wafuasi wa Chadema wa 2015 hadi sasa mnatakiwa mkapimwe akili๐๐๐๐
Mmekaa kitapeli mno mfyuu
Mimi ni mmoja wa watanzania wachache kama lowassa ambao hatulipi hizo Kodi zenu!!...Ndio nimekwambia wewe na Ushabiki wako wote unalipa Kodi hii ni ajabu sana!!.
Mungu wa Burigi ndie aliejaribu kucheza KAMARI na moto wa covid 19.
Sasa hivi hata aliyekuwa mshirika WAKE mkuu katika UCHAWI, Mhe Ndugai , anakimbizana kisawasawa na yaleyale waliyokuwa wanayabeza ili sio tu kujiokoa, bali pia kufaidi mapato maneneya mjengoni, kwa mahangaiko kidogo zaidi.
upinzani wa zambia ni wa akili kabisa, hichilema ni mfanya biashara mkubwa na alielekeza hoja zake kwenye uchumi wa nchi, tafauti ya hawa wetu wanaokazia madaraja ya mfugaleJapo kuwa huna akili lakini ngoja nikusaidie , Hichilema aliambiwa kama hivi hivi ila leo ni rais wa Zambia
afu we mama nimimiss mzigo wako huo ujuee
POLE ndugu,Wewe unamwona na kumuita mwanadamu Mungu! Yeye wapi alijiita Mungu?
Ushabiki mwingine wa kitoto ujue๐๐๐
POLE ndugu,
Ni kwa jinsi nyie mlivyokuwa mnamtukuza na kujivunia kumwabudu.
Hata hivyo yaonekana ujumbe umekufikia vizuri kabisa, na pia umeelewa vizuri kabisa kiasi kuja waelewesha na wenzio/wengine.
AMEN
Hahahaha wewe wanakutoza makodi na unawasifia tu!!..Ndio nashangaa ulivyokuaKwani kulipa kodi ni ujinga? Au kutokulipa kodi ndio ujanja? Kama silipi kodi natakiwa kujisifia kama unavyofanya wewe?
Uwage unatafakari kabla ya kuongea wewe maana kuna sifa zingine za kijinga
Mimi ni mmoja wa Raia wa jamhuri wa Muungano ndio maana nipo kwenye kundi hili tusiolipa kodi!!..Unaumia nini?!!..Najuhudi zako zote Hadi umauti utakukuta hautafikia hapo na bado unafurahia na kushangilia upumbavu!!..Kwani kulipa kodi ni ujinga? Au kutokulipa kodi ndio ujanja? Kama silipi kodi natakiwa kujisifia kama unavyofanya wewe?
Uwage unatafakari kabla ya kuongea wewe maana kuna sifa zingine za kijinga
Hahahaha wewe wanakutoza makodi na unawasifia tu!!..Ndio nashangaa ulivyokua
Mimi ni mmoja wa Raia wa hasa wa jamhuri wa Muungano ndio maana nipo kwenye kundi hili tusiolipa kodi!!..Unaumia nini?!!..Najuhudi zako zote Hadi umauti utakukuta hautafikia hapo na bado unafurahia na kushangilia upumbavu!!..