Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaambiwa hata Lucas Mwashambwa amemchoka mama ila basi tu sasa cdm wasiposhiriki maanake ni kwamba wakina lucas na wao wataanza kuingia barabaran wakirusha mawe na kuharibu miundombinu huku polisi wakiwapa maji na biskut za kuwapooza badala ya kuwapiga unajua hhali ni tete sana .Niko hapa polisi nachukuq loss ripot ID zimepotea gharama ya ID moja ni elf 5 ID zilikuwa nne .kwa hali hii nimekata loss ripot moja tu ya ID muhimu .Athari za chama kikuu cha upinzani kutoshiriki uchaguzi mkuu ni kubwa sana kuliko hivyo vyama 12 kushiriki uchaguzi.
Kuna njia nyingi za kushinikiza mageuzi siyo lazima barabarani.Baada ya hayo yote imebadilisha nini?? Acheni midomo kama wanawake malaya ingieni barabarani
Hao mifumo yao ya siasa tangu uhuru wao ni tofauti na Tanzania.Kuna nchi zinaminya demokrasia kama Uganda & Rwanda? Zimekosa nini kutoka kwa hao mabeberu?
Tanzania ina vyama Vya siasa zaidi ya 12 na vitashiriki uchaguzi sasa chama kimoja cha siasa ndo kinaathiri nini??
Msijipe umuhimu msiokua nao uchaguzi utafanyika na maisha yataendelea punguzeni utoto.
yaani chadema isusie uchaguzi CCM iathirike? are you okay mentally gentleman?🐒No reforms, no election ni mfupa mgumu sana kwa CCM kuelekea uchaguzi mkuu wa kitaifa October 2025.
Kama serikali ya CCM italazimisha kufanya uchaguzi pasipo ushiriki wa chama kikuu cha upinzani Tanzania yaani CHADEMA basi litakuwa ni pigo kubwa sana kwa Rais Samia Suluhu Hassan kidiplomasia hasa katika nyanja ya demokrasia kimataifa.
CHADEMA kutoshiriki kabisa uchaguzi mkuu mwaka huu pia litakuwa pigo kubwa sana kwa 4Rs za Rais Samia Suluhu Hassan kuelekea katika hadhima yake ya utawala bora.
Ikumbukwe kuwa bajeti ya serikali inategemea misaada kutoka katika mashirika, taasisi za kimataifa na nchi za nje.
Hivyo ikiwa CHADEMA hawatashiriki kabisa uchaguzi mkuu mwaka huu, litakuwa ni pigo kubwa sana kidiplomasia kwa Rais Samia Suluhu Hassan na serikali ya CCM.
CHADEMA wanatakiwa kusimamia msimamo wao wa no reforms, no election bila kutetereka kabisa, maana bila CHADEMA, ushiriki wa vyama vingine una athari finyu kuelekea mageuzi ya kiutawala na siasa Tanzania.
Ni vyama Vya siasa vilivyosajiliwa kihalali hizo zingine ni assumptions zako Za kitoto.Acha kudanganya watu. Kuna vyama 12 vya siasa, unahesabu na hivyo vikundi vya maigizo vilivyoanzishwa na CCM?
Kakudanganya nani?No reforms, no election ni mfupa mgumu sana kwa CCM kuelekea uchaguzi mkuu wa kitaifa October 2025.
Kama serikali ya CCM italazimisha kufanya uchaguzi pasipo ushiriki wa chama kikuu cha upinzani Tanzania yaani CHADEMA basi litakuwa ni pigo kubwa sana kwa Rais Samia Suluhu Hassan kidiplomasia hasa katika nyanja ya demokrasia kimataifa.
CHADEMA kutoshiriki kabisa uchaguzi mkuu mwaka huu pia litakuwa pigo kubwa sana kwa 4Rs za Rais Samia Suluhu Hassan kuelekea katika hadhima yake ya utawala bora.
Ikumbukwe kuwa bajeti ya serikali inategemea misaada kutoka katika mashirika, taasisi za kimataifa na nchi za nje.
Hivyo ikiwa CHADEMA hawatashiriki kabisa uchaguzi mkuu mwaka huu, litakuwa ni pigo kubwa sana kidiplomasia kwa Rais Samia Suluhu Hassan na serikali ya CCM.
CHADEMA wanatakiwa kusimamia msimamo wao wa no reforms, no election bila kutetereka kabisa, maana bila CHADEMA, ushiriki wa vyama vingine una athari finyu kuelekea mageuzi ya kiutawala na siasa Tanzania.
We jamaa lini umekuwa mtetezi wa ccm? Maana ninavyokujua mabandiko ya nyuma ni mwanamadiliko kindaki ndaki na supporter mkubwa wa vyama vya upinzani! Kuanzia lini umechange gia hewani na kuwa mtetezi wa ccm?Tanzania ina vyama Vya siasa zaidi ya 12 na vitashiriki uchaguzi sasa chama kimoja cha siasa ndo kinaathiri nini??
Msijipe umuhimu msiokua nao uchaguzi utafanyika na maisha yataendelea punguzeni utoto.
Umeandika vizuri ,ila umeshindwa weka wazi .No reforms, no election ni mfupa mgumu sana kwa CCM kuelekea uchaguzi mkuu wa kitaifa October 2025.
Kama serikali ya CCM italazimisha kufanya uchaguzi pasipo ushiriki wa chama kikuu cha upinzani Tanzania yaani CHADEMA basi litakuwa ni pigo kubwa sana kwa Rais Samia Suluhu Hassan kidiplomasia hasa katika nyanja ya demokrasia kimataifa.
CHADEMA kutoshiriki kabisa uchaguzi mkuu mwaka huu pia litakuwa pigo kubwa sana kwa 4Rs za Rais Samia Suluhu Hassan kuelekea katika hadhima yake ya utawala bora.
Ikumbukwe kuwa bajeti ya serikali inategemea misaada kutoka katika mashirika, taasisi za kimataifa na nchi za nje.
Hivyo ikiwa CHADEMA hawatashiriki kabisa uchaguzi mkuu mwaka huu, litakuwa ni pigo kubwa sana kidiplomasia kwa Rais Samia Suluhu Hassan na serikali ya CCM.
CHADEMA wanatakiwa kusimamia msimamo wao wa no reforms, no election bila kutetereka kabisa, maana bila CHADEMA, ushiriki wa vyama vingine una athari finyu kuelekea mageuzi ya kiutawala na siasa Tanzania.
Ifike mahali muache kuendekeza ngono na mipira ili muwe na akili ya kuelewa vitu na kufanya analysis ya mambo mazito!We jamaa lini umekuwa mtetezi wa ccm? Maana ninavyokujua mabandiko ya nyuma ni mwanamadiliko kindaki ndaki na supporter mkubwa wa vyama vya upinzani! Kuanzia lini umechange gia hewani na kuwa mtetezi wa ccm?
KAULIKwa kauri
Na wewe akili yako inaleflect nini umeweka kwa profile yako , eti mbuzi anagombana na kuku, pumbavuKAULI
REFLECTinaleflect