Pre GE2025 CHADEMA kutoshiriki uchaguzi mkuu 2025 litakuwa ni pigo kubwa sana kwa Rais Samia Suluhu Hassan na serikali ya CCM kidiplomasia na kiutawala

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuna nchi zinaminya demokrasia kama Uganda & Rwanda? Zimekosa nini kutoka kwa hao mabeberu?
 
Athari za chama kikuu cha upinzani kutoshiriki uchaguzi mkuu ni kubwa sana kuliko hivyo vyama 12 kushiriki uchaguzi.
Unaambiwa hata Lucas Mwashambwa amemchoka mama ila basi tu sasa cdm wasiposhiriki maanake ni kwamba wakina lucas na wao wataanza kuingia barabaran wakirusha mawe na kuharibu miundombinu huku polisi wakiwapa maji na biskut za kuwapooza badala ya kuwapiga unajua hhali ni tete sana .Niko hapa polisi nachukuq loss ripot ID zimepotea gharama ya ID moja ni elf 5 ID zilikuwa nne .kwa hali hii nimekata loss ripot moja tu ya ID muhimu .
 
Tanzania ina vyama Vya siasa zaidi ya 12 na vitashiriki uchaguzi sasa chama kimoja cha siasa ndo kinaathiri nini??

Msijipe umuhimu msiokua nao uchaguzi utafanyika na maisha yataendelea punguzeni utoto.

Acha kudanganya watu. Kuna vyama 12 vya siasa, unahesabu na hivyo vikundi vya maigizo vilivyoanzishwa na CCM?
 
No reforms, no election ni mfupa mgumu sana kwa CCM kuelekea uchaguzi mkuu wa kitaifa October 2025.

Kama serikali ya CCM italazimisha kufanya uchaguzi pasipo ushiriki wa chama kikuu cha upinzani Tanzania yaani CHADEMA basi litakuwa ni pigo kubwa sana kwa Rais Samia Suluhu Hassan kidiplomasia hasa katika nyanja ya demokrasia kimataifa.

CHADEMA kutoshiriki kabisa uchaguzi mkuu mwaka huu pia litakuwa pigo kubwa sana kwa 4Rs za Rais Samia Suluhu Hassan kuelekea katika hadhima yake ya utawala bora.

Ikumbukwe kuwa bajeti ya serikali inategemea misaada kutoka katika mashirika, taasisi za kimataifa na nchi za nje.

Hivyo ikiwa CHADEMA hawatashiriki kabisa uchaguzi mkuu mwaka huu, litakuwa ni pigo kubwa sana kidiplomasia kwa Rais Samia Suluhu Hassan na serikali ya CCM.

CHADEMA wanatakiwa kusimamia msimamo wao wa no reforms, no election bila kutetereka kabisa, maana bila CHADEMA, ushiriki wa vyama vingine una athari finyu kuelekea mageuzi ya kiutawala na siasa Tanzania.
yaani chadema isusie uchaguzi CCM iathirike? are you okay mentally gentleman?🐒
 
Acha kudanganya watu. Kuna vyama 12 vya siasa, unahesabu na hivyo vikundi vya maigizo vilivyoanzishwa na CCM?
Ni vyama Vya siasa vilivyosajiliwa kihalali hizo zingine ni assumptions zako Za kitoto.
 
No reforms, no election ni mfupa mgumu sana kwa CCM kuelekea uchaguzi mkuu wa kitaifa October 2025.

Kama serikali ya CCM italazimisha kufanya uchaguzi pasipo ushiriki wa chama kikuu cha upinzani Tanzania yaani CHADEMA basi litakuwa ni pigo kubwa sana kwa Rais Samia Suluhu Hassan kidiplomasia hasa katika nyanja ya demokrasia kimataifa.

CHADEMA kutoshiriki kabisa uchaguzi mkuu mwaka huu pia litakuwa pigo kubwa sana kwa 4Rs za Rais Samia Suluhu Hassan kuelekea katika hadhima yake ya utawala bora.

Ikumbukwe kuwa bajeti ya serikali inategemea misaada kutoka katika mashirika, taasisi za kimataifa na nchi za nje.

Hivyo ikiwa CHADEMA hawatashiriki kabisa uchaguzi mkuu mwaka huu, litakuwa ni pigo kubwa sana kidiplomasia kwa Rais Samia Suluhu Hassan na serikali ya CCM.

CHADEMA wanatakiwa kusimamia msimamo wao wa no reforms, no election bila kutetereka kabisa, maana bila CHADEMA, ushiriki wa vyama vingine una athari finyu kuelekea mageuzi ya kiutawala na siasa Tanzania.
Kakudanganya nani?
 
Tanzania ina vyama Vya siasa zaidi ya 12 na vitashiriki uchaguzi sasa chama kimoja cha siasa ndo kinaathiri nini??

Msijipe umuhimu msiokua nao uchaguzi utafanyika na maisha yataendelea punguzeni utoto.
We jamaa lini umekuwa mtetezi wa ccm? Maana ninavyokujua mabandiko ya nyuma ni mwanamadiliko kindaki ndaki na supporter mkubwa wa vyama vya upinzani! Kuanzia lini umechange gia hewani na kuwa mtetezi wa ccm?
 
No reforms, no election ni mfupa mgumu sana kwa CCM kuelekea uchaguzi mkuu wa kitaifa October 2025.

Kama serikali ya CCM italazimisha kufanya uchaguzi pasipo ushiriki wa chama kikuu cha upinzani Tanzania yaani CHADEMA basi litakuwa ni pigo kubwa sana kwa Rais Samia Suluhu Hassan kidiplomasia hasa katika nyanja ya demokrasia kimataifa.

CHADEMA kutoshiriki kabisa uchaguzi mkuu mwaka huu pia litakuwa pigo kubwa sana kwa 4Rs za Rais Samia Suluhu Hassan kuelekea katika hadhima yake ya utawala bora.

Ikumbukwe kuwa bajeti ya serikali inategemea misaada kutoka katika mashirika, taasisi za kimataifa na nchi za nje.

Hivyo ikiwa CHADEMA hawatashiriki kabisa uchaguzi mkuu mwaka huu, litakuwa ni pigo kubwa sana kidiplomasia kwa Rais Samia Suluhu Hassan na serikali ya CCM.

CHADEMA wanatakiwa kusimamia msimamo wao wa no reforms, no election bila kutetereka kabisa, maana bila CHADEMA, ushiriki wa vyama vingine una athari finyu kuelekea mageuzi ya kiutawala na siasa Tanzania.
Umeandika vizuri ,ila umeshindwa weka wazi .

Kwa kauri ya no REFORM NO Election maana yake mpaka sasa atakae jitangaza ni batili uwe Mbunge, uwe diwani , uwe Rais , shida machawa wa ccm wala hawajipagi mda wa kutafakari, vyombo vya nchi wenda wapo na tafakari hii na inawasumbua kufikiri .

Hii ngoma ccm wakichomoka wapo mshale ,wakikaa kimia chini ya majivuno wapo na mshale ,suluhu ni ngoma kwenda kati.

Lipo jambo kama SSH anataka kumalizia mhuula wake japo ngum anweza kufanya ,siwezi sema mpaka anilipe na v8 ,likinishinda kuliendesha kwa mafuta sawa.

Natania binafsi umaskini wangu wanitosha ,
Cha msingi nyie machawa muonao karibu ,no reforms hakuna uchaguzi na hautakuepo asema Bwana
 
We jamaa lini umekuwa mtetezi wa ccm? Maana ninavyokujua mabandiko ya nyuma ni mwanamadiliko kindaki ndaki na supporter mkubwa wa vyama vya upinzani! Kuanzia lini umechange gia hewani na kuwa mtetezi wa ccm?
Ifike mahali muache kuendekeza ngono na mipira ili muwe na akili ya kuelewa vitu na kufanya analysis ya mambo mazito!

Unaweza kuonesha wapi kwenye comments zangu hapo juu nime support CCM?

Au ilitaka niandike unachopenda kusoma?
 
Hata kama una matatizo gani,unaweza vipi kutaka serikali feki,iliyoshinda mysteriously viti vya Bunge 99.9 percent,iongezewe muda wa miaka miwili?
 
Back
Top Bottom