CHADEMA mna mikakati gani serious ya kushinda uchaguzi 2020?

Namlaani sana lowasa maana sumu yake inaonekana ili iingia sana cdm.

Lkn bado hatujachelewa sana maana bado kama miezi 18 hivi toward uchaguzi
 
Twambie basi wewe bangi zako mzuri unazo vuta
Hvi Chadema na mdogo wake Zitto kabwe, eti wachukue nchi, Lissu anaenda Ikulu na Mbowe , wanaanza kupanga Baraza la mawaziri,.....ha ha haaaaa....bangi zingine sio nzuri
 
Hiyo ya IT naamini kwa 100% ipo vizuri sana kwa sasa ndani ya cdm
 
Well said...wasipokiwasha sasa hv 2020 watakua na changamoto
 
Wanasubiri Membe akatwe wamchukue agombee Urais awape Kura Mamilioni kwa mamilioni wachukue "dollar"
 
Ni kweli ni vizuri kuanza sasa hivi kumnadi wanaye taka kumsimamisha au wakae na vyama halisi vya mabadiliko mapema kijulikane kama ni mbwai na iwe mbwai
Umejitoa lini huko....!?
 
Upinzani umefungwa mikono na miguu, huku watawala wakiwa huru kufanya wanachokitaka, popote pale na escort ya polisi wanapata, media attention wanapewa...

Ni ngumu kutoboa, hata wanachama wako kukutana nao huna uhuru huo..

Mbinu zilizosalia ni kutumia nguvu ya uma, ila chadema hawako tayari ku_risk usalama wa raia wake kwa sasa...

So, maybe kuna mipango smart zaidi wanayo..ila kila physical mean wamebanwa...
 
Ni wapiga vigodoro tu. Sera ya Chadema ni Udikteta Original. Haya madogo tunayoyaona na kuyasoma humu, hasa mkitofautina hoja, mtu akisifia CCM au JPM ndo ya ndani mliyonayo. Hakuna jipya
Kwani kuna tatizo gani Mbowe, Zitto kwenda ikulu na walio ikulu kwani walitoka mwezini.
 
Paragraph yako ya mwisho ndio hoja yangu.

Kusema wamefungwa mikono na miguu then what wasubiri hadi watakapofunguliwa.... hapana lazima kuna alternatives, kama hawana basi kuliko kusubiri huruma ya mpinzani wako heri uachane na siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…