Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Ww n mpumbv tnkupuuza kma tnavopuuza wapumbavu wenzko wasiojielewa umuhimu wa demcrasia
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
We unakula kwa shemeji utaelewa nini subiri shemeji akutimue ndiyo utaelewa namna mambo ya livyo.Nimekuwa nikijiuliza hapa hivi nikiandamana ni kwaajili ya Mbowe na Genge lake wapate Mihela na mikuku, mm nafaidikaje hapo baada maadamano?
Sasa mara pa mguu wangu au mkono he watakuja Mwimbili maana ugomvi na vyombo vya Dolla sio wa mchezo.
Kama Jinsia yako ni ya kike kwa Jina hili utumialo basi "Umewadhalilisha wanawake "wewe kumbe upo mlimacity unakunywa juice kwa Tsh 10000. Utajuaje shida za wanawake wenzako huku Namanyere? Utajuaje shida za wananchi weweee? Wewe ni Kati ya watu Wanaotaka mgawanyiko katika nchi hii....Wewe unakula vizr kwa sabb mjomba ako amekupa cheo!!!Watu wamegawanyika nyumbani kwako labda. Mi nipo hapa Mlimani City hamna hata watu wamegawanyika.
Wanaume tukiwa uwanja wa napambana, kazi ya wanawake ni kubaki nyumbani kupika na kusubiri kupanga mapajaNenda kadai wew iyo haki unayoitaka
😂 😂 😂 😂 😂 😂 Urafi wa matumbo yenu ndiyo muwaingize vyombo vya dola? Watanzania milioni 12 wameamua kumpa mitano tena JPM.Amani iwe nanyi.
Nyie ndio walinzi wa Watanzania, nyie ndio mnashika silaha kwa niaba ya watanzania. Nyie kama jamii ya watanzania na sehemu ya watanzania mmeona kilichotokea tarehe 28 ambapo kura zilipigwa ila watu wametangaza matokeo yao walioyandaa kabla hata ya uchaguzi. Nyie ni mashahidi na mmeona yote....
Na milion14 ambao walikataa kupiga kura wakijua zitaibiwa umesahau. sasa ni million 17 vs 12Watu wenyewe hawafiki hata milioni 3 halafu wanataka kutusumbua watu milioni 12.
Zimbabwe imewekewa vikwazo kwa miaka 20 sasa umeona wapinzani walifanikiwa kuchukua nchi?Hayo maandamano hayawezi kuwa na tija yoyote, wabadilishe mbinu watumie mataifa ya wafadhili kuweka vikwazo, hiyo wala haiwezi kuchukua muda.
Magufuli hana uwezo wa kutawala hii nchi bila hisani ya wazungu kwani hata tukiachilia mbali misaada wakizuia mikopo tu kwa mwezi mmoja, Magufuli kwisha. Lkn mkakati wa kutumia maandamano hautafaulu kwani wengi hawatathubutu kujitokeza kwa hulka ya watanzania tulivyo.
Kwanini mitandao imefungwa?Kwa nini hamkwenda kupiga kura?? Hata First Lady wenu hakuja hata kupiga kura toka huko Ubelgiji, kwanini?
Hii inafikirisha. 2015 walisema kura zimeibiwa lakini Mbowe, Lissu na Zitto hawakususia ubunge wao.Walijua fika kabisa kuwa hakuna cha tume huru.
Hata 2015 walikuwa wanajua tume si huru.
2010 vivyo hivyo.
Halafu subiri uone itavyokuwa 2025! Watashiriki tena chini ya tume hii hii!
Ni sikio la kufa hao.
Wewe toka barabarani,wahimize majirani,ndugu zako na familia yako sisi kazi yetu ama maelekezo tutayo wapa Askari wetu hodari na jeshi letu tukufu,wakiona dalili zozote za kupanga kuhimiza ama kuunganika kwa maandamano tutawasaidia kurudi kwenye shughuli zenu kwa adabu stahikiAskari yeyote atakayejaribu kuleta FUJO kwenye maandamano yetu ya AMANI, ajue tu kwamba ATAKUWA AMEIWEKA FAMILIA YAKE REHANI. Hatutavumilia upuuzi wenu tena. SASA BASI.
Hawa Watanzania ambao hawajatokea kupiga kura? Kawaida the same day kilitakiwa kiwake. Kuna ushawishi fulani hawa jamaa wanakosa ukimtoa Seif.All Tanzanians are waiting for them. Not to mention, the whole world is watching.
Serikali ikiwekewa vikwazo, ikashindwa kufanya miradi ya maendeleo, unakuwa umemkomoa Magufuli au unaumiza ndugu zako?Hayo maandamano hayawezi kuwa na tija yoyote, wabadilishe mbinu watumie mataifa ya wafadhili kuweka vikwazo, hiyo wala haiwezi kuchukua muda.
Magufuli hana uwezo wa kutawala hii nchi bila hisani ya wazungu kwani hata tukiachilia mbali misaada wakizuia mikopo tu kwa mwezi mmoja, Magufuli kwisha. Lkn mkakati wa kutumia maandamano hautafaulu kwani wengi hawatathubutu kujitokeza kwa hulka ya watanzania tulivyo.
Ndugu WATANZANIA,
Hii ndiyo fursa pekee ya kudai UHURU wetu kutoka kwa MKOLONI wa CHATO. Nyerere na wenzie walipigana wakamtoa Mkoloni MWINGEREZA na tukawa huru kuanzia 1961 mpaka 2015 alipokuja huyu MRUNDI wa CHATO..
Acha hiyo waliwaambia wenzao wasigombanie chaguzi ndogo halafu wao wakagombani udiwani,ubunge na Urais wakasahau grassroots ambazo zinazaa serikali za mtaa zinasaidia sana kupigania uhai wa chama inawezakana hata wenzao wa chini walisaidia CCM kuwa sabotage.Hii inafikirisha. 2015 walisema kura zimeibiwa lakini Mbowe, Lissu na Zitto hawakususia ubunge wao.
This time kwa vile wao wamekosa, wanawaambia walioshinda wasikubali kuapishwa!
Ni ishara ya ubinafsi.
Tunatoka jumatatu kuandamana hakuna shida