Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo Wapinga Matokeo, Wataka Uchaguzi Urudiwe, pia NEC na ZEC zivunjwe

Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo Wapinga Matokeo, Wataka Uchaguzi Urudiwe, pia NEC na ZEC zivunjwe

1) Nani anaorganise haya maandamano kwa kila mtaa/kata au kila mtu ataamka aende kivyake mpaka kwa DED?
2) Saa ngapi maandamano yataanza?
3) Polisi wakianza kutembeza kichapo watu wanashauriwa kufanyaje?
4) Wakijitokeza watu wachache sana, tutatoa tamko jingine na kureplan?
5) Kuna mpango wowote wa kutoa ushauri wa kisheria kwa wale watakaodakwa na mapolisi na kupewa kesi kama za uzururaji?
6) Kuna mpango wowote wa kuomba branket kibali cha maandamano au mpango ni kuandamana tu?
7) Hili tamko ni la ACT na CHADEMA peke yao au linajumuisha maoni ya akina Rungwe, Madam Sendiga, Shibuda na kachero mbobezi Benard K. Membe?

Hii kitu inaweza kufail kabla hata haijaanza
42F3BA3C-E094-4CDD-8E2E-3BC7ECC5A58A.jpeg
 
Nimekuwa nikijiuliza hapa hivi nikiandamana ni kwaajili ya Mbowe na Genge lake wapate Mihela na mikuku, mm nafaidikaje hapo baada maadamano?

Sasa mara pa mguu wangu au mkono he watakuja Mwimbili maana ugomvi na vyombo vya Dolla sio wa mchezo.
We unakula kwa shemeji utaelewa nini subiri shemeji akutimue ndiyo utaelewa namna mambo ya livyo.
 
Watu wamegawanyika nyumbani kwako labda. Mi nipo hapa Mlimani City hamna hata watu wamegawanyika.
Kama Jinsia yako ni ya kike kwa Jina hili utumialo basi "Umewadhalilisha wanawake "wewe kumbe upo mlimacity unakunywa juice kwa Tsh 10000. Utajuaje shida za wanawake wenzako huku Namanyere? Utajuaje shida za wananchi weweee? Wewe ni Kati ya watu Wanaotaka mgawanyiko katika nchi hii....Wewe unakula vizr kwa sabb mjomba ako amekupa cheo!!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Hayo maandamano hayawezi kuwa na tija yoyote, wabadilishe mbinu watumie mataifa ya wafadhili kuweka vikwazo, hiyo wala haiwezi kuchukua muda.

Magufuli hana uwezo wa kutawala hii nchi bila hisani ya wazungu kwani hata tukiachilia mbali misaada wakizuia mikopo tu kwa mwezi mmoja, Magufuli kwisha. Lkn mkakati wa kutumia maandamano hautafaulu kwani wengi hawatathubutu kujitokeza kwa hulka ya watanzania tulivyo.
 
Amani iwe nanyi.

Nyie ndio walinzi wa Watanzania, nyie ndio mnashika silaha kwa niaba ya watanzania. Nyie kama jamii ya watanzania na sehemu ya watanzania mmeona kilichotokea tarehe 28 ambapo kura zilipigwa ila watu wametangaza matokeo yao walioyandaa kabla hata ya uchaguzi. Nyie ni mashahidi na mmeona yote....
😂 😂 😂 😂 😂 😂 Urafi wa matumbo yenu ndiyo muwaingize vyombo vya dola? Watanzania milioni 12 wameamua kumpa mitano tena JPM.

Watanzania wamechoshwa na utoto wa wabunge wa upinzani ndio maana wameamua kuifanya Tanzania iwe ya kijani.

Halafu usisahau kuwa maandamano yoyote Tanzania yanahitaji kibali cha polisi.
 
Hayo maandamano hayawezi kuwa na tija yoyote, wabadilishe mbinu watumie mataifa ya wafadhili kuweka vikwazo, hiyo wala haiwezi kuchukua muda.

Magufuli hana uwezo wa kutawala hii nchi bila hisani ya wazungu kwani hata tukiachilia mbali misaada wakizuia mikopo tu kwa mwezi mmoja, Magufuli kwisha. Lkn mkakati wa kutumia maandamano hautafaulu kwani wengi hawatathubutu kujitokeza kwa hulka ya watanzania tulivyo.
Zimbabwe imewekewa vikwazo kwa miaka 20 sasa umeona wapinzani walifanikiwa kuchukua nchi?

Hebu jiulize, wananchi wakishajua kuwa maisha yao yanaanza kuwa l magumu kwa sababu ya vikwazo vilivyoombwa na wapinzani unafikiri watakuwa upande gani?
 
Walijua fika kabisa kuwa hakuna cha tume huru.

Hata 2015 walikuwa wanajua tume si huru.

2010 vivyo hivyo.

Halafu subiri uone itavyokuwa 2025! Watashiriki tena chini ya tume hii hii!

Ni sikio la kufa hao.
Hii inafikirisha. 2015 walisema kura zimeibiwa lakini Mbowe, Lissu na Zitto hawakususia ubunge wao.

This time kwa vile wao wamekosa, wanawaambia walioshinda wasikubali kuapishwa!

Ni ishara ya ubinafsi.
 
Askari yeyote atakayejaribu kuleta FUJO kwenye maandamano yetu ya AMANI, ajue tu kwamba ATAKUWA AMEIWEKA FAMILIA YAKE REHANI. Hatutavumilia upuuzi wenu tena. SASA BASI.
Wewe toka barabarani,wahimize majirani,ndugu zako na familia yako sisi kazi yetu ama maelekezo tutayo wapa Askari wetu hodari na jeshi letu tukufu,wakiona dalili zozote za kupanga kuhimiza ama kuunganika kwa maandamano tutawasaidia kurudi kwenye shughuli zenu kwa adabu stahiki
 
All Tanzanians are waiting for them. Not to mention, the whole world is watching.
Hawa Watanzania ambao hawajatokea kupiga kura? Kawaida the same day kilitakiwa kiwake. Kuna ushawishi fulani hawa jamaa wanakosa ukimtoa Seif.
 
Hayo maandamano hayawezi kuwa na tija yoyote, wabadilishe mbinu watumie mataifa ya wafadhili kuweka vikwazo, hiyo wala haiwezi kuchukua muda.

Magufuli hana uwezo wa kutawala hii nchi bila hisani ya wazungu kwani hata tukiachilia mbali misaada wakizuia mikopo tu kwa mwezi mmoja, Magufuli kwisha. Lkn mkakati wa kutumia maandamano hautafaulu kwani wengi hawatathubutu kujitokeza kwa hulka ya watanzania tulivyo.
Serikali ikiwekewa vikwazo, ikashindwa kufanya miradi ya maendeleo, unakuwa umemkomoa Magufuli au unaumiza ndugu zako?
 
Tulipokuwa tunawaandikia humu kwamba bila tume huru na katiba mpya wanajisumbua kushiriki uchaguzi walituona mazezeta siyo?

Sasa watulie tujenge nchi, hiyo imeisha mpaka 2025.
 
Natamani uandamane kweli ni tukunyooshe
Ndugu WATANZANIA,
Hii ndiyo fursa pekee ya kudai UHURU wetu kutoka kwa MKOLONI wa CHATO. Nyerere na wenzie walipigana wakamtoa Mkoloni MWINGEREZA na tukawa huru kuanzia 1961 mpaka 2015 alipokuja huyu MRUNDI wa CHATO..
 
Hii inafikirisha. 2015 walisema kura zimeibiwa lakini Mbowe, Lissu na Zitto hawakususia ubunge wao.

This time kwa vile wao wamekosa, wanawaambia walioshinda wasikubali kuapishwa!

Ni ishara ya ubinafsi.
Acha hiyo waliwaambia wenzao wasigombanie chaguzi ndogo halafu wao wakagombani udiwani,ubunge na Urais wakasahau grassroots ambazo zinazaa serikali za mtaa zinasaidia sana kupigania uhai wa chama inawezakana hata wenzao wa chini walisaidia CCM kuwa sabotage.
 
Back
Top Bottom