Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
1) Nani anaorganise haya maandamano kwa kila mtaa/kata au kila mtu ataamka aende kivyake mpaka kwa DED?
2) Saa ngapi maandamano yataanza?
3) Polisi wakianza kutembeza kichapo watu wanashauriwa kufanyaje?
4) Wakijitokeza watu wachache sana, tutatoa tamko jingine na kureplan?
5) Kuna mpango wowote wa kutoa ushauri wa kisheria kwa wale watakaodakwa na mapolisi na kupewa kesi kama za uzururaji?
6) Kuna mpango wowote wa kuomba branket kibali cha maandamano au mpango ni kuandamana tu?
7) Hili tamko ni la ACT na CHADEMA peke yao au linajumuisha maoni ya akina Rungwe, Madam Sendiga, Shibuda na kachero mbobezi Benard K. Membe?
Hii kitu inaweza kufail kabla hata haijaanza