Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Kwani waliwahi kukubali matokeo ya uchaguzi wowote tangu waanze kushiriki kuanzia 2000? Hamad yeye tangu 1995 anashindwa anasema kaonewa isipokuwa mara moja tu 2010 alipokuwa ameahidiwa cheo ndipo akakubali ingawa wafuasi wake bado walipinga matokeo hayo.