Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo Wapinga Matokeo, Wataka Uchaguzi Urudiwe, pia NEC na ZEC zivunjwe

Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo Wapinga Matokeo, Wataka Uchaguzi Urudiwe, pia NEC na ZEC zivunjwe

Kwani waliwahi kukubali matokeo ya uchaguzi wowote tangu waanze kushiriki kuanzia 2000? Hamad yeye tangu 1995 anashindwa anasema kaonewa isipokuwa mara moja tu 2010 alipokuwa ameahidiwa cheo ndipo akakubali ingawa wafuasi wake bado walipinga matokeo hayo.
 
Dada yetu anajitambua hawezi olewa na taga,we kalambe makubazi ya slowslow.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee asikusikie maana utatukanwa matusi ya nguoni kwako weweeee achaa kabisaaa.

Maana hawezi shabikia Unga wa mtu

Yaan mnakera sanaaa utafikiri mkishinda kila mtu atakula bure na kulala bure.
 
Kwa kweli zivunjwe, tulijua Magufuli atashinda ila sio kwa kiwango kile,,, I can smell a rat...
 
Aliyekuwa Mgombea urais JMT kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu na aliyekuwa mgombea urais Zanzibar kupitiaACT-Wazalendo kuongea na waandishi wa habari

Sty tuned taarifa zaidi kukujia


Lissu aunde serikali yake ya online ambako ndiko ana wafuasi; lakini siyo ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Yaani kila mkoa kura alizopata ni za wale waliokuwa wanahudhuria mikutano yake tu. Hakuweza kuhamasisha watu zaidi ya hapo, wengi ni wale walioathirika kwa utawala wa magufuli kwa namna moja ama nyingine; kwa mfano ndugu zao walipoteza kazi kwa sababu ya vyeti feki, au ndugu zao walibomolewa nyumba zao kwa kuwa karibu na barabara, au shughuli za maisha yao zilikuwa zinategemea mzunguko wa fedha haramu.

Kuwa na turn out ndogo sana namna ile wakati siku ya uchaguzi ilikuwa siyo siku ya kazi ni kuonyesha kuwa wapiga kura hawakuwa na mwamko na mabadiliko, ambayo ni failure ya upinzani kuhamasisha. Wapiga kuwa wengi walikubaliana na uongozi uliokuwepo hivyo hawakuona haja ya kuubadili ndiyo maana hawakupiga kura.
 
Zimbabwe imewekewa vikwazo kwa miaka 20 sasa umeona wapinzani walifanikiwa kuchukua nchi?

Hebu jiulize, wananchi wakishajua kuwa maisha yao yanaanza kuwa l magumu kwa sababu ya vikwazo vilivyoombwa na wapinzani unafikiri watakuwa upande gani?
Yaani hawajui wanachokitaka ndiyo masna wanatangatanga na hoja na matamko ya kuiabisha! Ni wakuhurumia pia na kuwapa Pole.
 
Hayo maandamano hayawezi kuwa na tija yoyote, wabadilishe mbinu watumie mataifa ya wafadhili kuweka vikwazo, hiyo wala haiwezi kuchukua muda.

Magufuli hana uwezo wa kutawala hii nchi bila hisani ya wazungu kwani hata tukiachilia mbali misaada wakizuia mikopo tu kwa mwezi mmoja, Magufuli kwisha. Lkn mkakati wa kutumia maandamano hautafaulu kwani wengi hawatathubutu kujitokeza kwa hulka ya watanzania tulivyo.
Nadhani pia hii ni hatua ya kushinikiza hilo ulipendekezalo.Wanataka kuionesha dunia kutokuridhika kwao.Tusubiri tuone
 
Kwa upuuzi huu walio ufanya 2015
images (22).jpeg

,yaani huyo Mbowe,Lisu hata wakiwatisha watoto zao wasipo andamana wanawapa radhi HAWANDAMANI.

Siku mlio ruhusu huyo jamaa kuingia Ukawa ndio siku mlio jimaliza.Andamaneni sisi tutawaangalia kwenye TV.
 
Aibu kubwa inakuja jtatu


Watanzania wengi wamemchagua magufuli sasa aibu hiyo itakuja barabara zitajuwa nyeupe na kazi zitaendelea kama kawaida
 
Ufukara wako wa akili siyo tatizo letu, sisi tutakusaidia mengine tu
 
Akamatwe? This will never happen. Hao watu wanaongea tu. Zero action. Rais Assad wa Syria anaua watu daily ila hajaguswa hata sikio todate. “Mabeberu” wapo vizuri kwenye kutoa matamko tu...
Hivi unaweza kuwa timamu na bado ukaamini maneno ya Jiwe?. Hata akikuita jina lako usiitike mpaka umeangalia kitambulisho chako
 
Hivi unaweza kuwa timamu na bado ukaamini maneno ya Jiwe?. Hata akikuita jina lako usiitike mpaka umeangalia kitambulisho chako
U need to learn to appreciate the sense of humour. Ni JPM pekee anayeamini kwamba TZ ni dona kantre
 
Hili tangazo ni la hatari sana .
1. Watu wengi sana watakufa
Vifo kwa maaskari wetu maana asilima kubwa wanaishi uraiani,vifo kwa watoto wao au wake zao.
Vifo kwa watalii
2. Kutakuwa na uporaji wa hapa na pale
Kwa watalii
Maduka ya watu
Ubakaji
Hatua hii itapeleka kwamba nchi yetu haina political stability.
Niombe rais awaite viongozi wa kisiasa wakae meza moja wazungumze hii nchi ni yetu sote. Kutumia nguvu haitaleta ahueni hata kidogo.

Hivi chukulia haya
Kila Mkoa na kila wilaya na kila kata kuwe na maandamano au mauaji nani atatuliza nini na wapi? Na kama internet ikiendelea hivi maana Yake hakutakuwa na taarifa watu watapanga kwa message za kawaida za kichochezi mwisho tutakumbuka haya kukiwa kuna machozi ya damu na Vifo VINGI sana.Mema yaliyofanywa hayatakumbukwa wala hakutakuwa na amani hii tena.
Niombe sana viongozi msitumie nguvu Bali tumieni hekima Ku solve suala hili.

Joking: ila nanyi mmeiba mno yaani mpaka kipofu amewastukia kwamba kuna kinachoendelea .......wezenu hawafanyagi hivyo.
 
Hili tangazo ni la hatari sana .
1. Watu wengi sana watakufa
Vifo kwa maaskari wetu maana asilima kubwa wanaishi uraiani,vifo kwa watoto wao au wake zao.
Vifo kwa watalii...
kwa hiyo ramli iliyobaki ni kuitwa mezani...ha ha haaaaa mmeishiwa hoja. wa TZ watoke barabarani? mtatoka nyie kikundi cha wahuni wachache, yetu macho
 
Hivi chukulia haya
Kila Mkoa na kila wilaya na kila kata kuwe na maandamano au mauaji nani atatuliza nini na wapi? Na kama internet ikiendelea hivi maana Yake hakutakuwa na taarifa watu watapanga kwa message za kawaida za kichochezi mwisho tutakumbuka haya kukiwa kuna machozi ya damu na Vifo VINGI sana.Mema yaliyofanywa hayatakumbukwa wala hakutakuwa na amani hii tena...
Watanzania wanajua walichokifanya, wanachokifanya na wanachotarajia kufanya. Ebu rejea tukio la COVID19 namna watanzania wakishirikiana kwa karibu na kiongozi wao rais Dr. Magufuli walivyofanikiwa kudhibiti suala la Corona kwa msaada wa Mungu.

Wakati tunafanya harakati za kuidhibiti CORONA ninyi mkishirikiana na wabaya wetu mlituona vituko!!! Sasa hivi maisha yanaendelea kama kawaida!

Kwa hiyo, hawa washindwaji kwenye uchaguzi wanao jifaragua, Watanzania watashughulika nao kwa staili inayofaa ambayo hao watangaza vurugu hawataisahau!
 
kwa hiyo ramli iliyobaki ni kuitwa mezani...ha ha haaaaa mmeishiwa hoja. wa TZ watoke barabarani? mtatoka nyie kikundi cha wahuni wachache, yetu macho
Utumie akili kujibu rafiki itakusaidia sana.
Think beyond the box.
Silent enmity will end up with big divided among peoples by playing with this foolish statements.
Unadhani huko tunduma kitu gani kinaendelea
Mtwara je
Hivi vikiibuka vikundi maeneo zaidi kutakuwa na Uhuru wa kusafiri? Kufanya biashara?
 
Back
Top Bottom