Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo Wapinga Matokeo, Wataka Uchaguzi Urudiwe, pia NEC na ZEC zivunjwe

Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo Wapinga Matokeo, Wataka Uchaguzi Urudiwe, pia NEC na ZEC zivunjwe

Watanzania wanajua walichokifanya, wanachokifanya na wanachotarajia kufanya. Ebu rejea tukio la COVID19 namna watanzania wakishirikiana kwa karibu na kiongozi wao rais Dr. Magufuli walivyofanikiwa kudhibiti suala la Corona kwa msaada wa Mungu. Wakati tunafanya harakati za kuidhibiti CORONA ninyi mkishirikiana na wabaya wetu mlituona vituko!!! Sasa hivi maisha yanaendelea kama kawaida!

Kwa hiyo, hawa washindwzji wanao jifaragua Watanzania watashughulija nao kwa staili inayofaa ambayo hao watangaza vurugu hawataisahau!
Kwahiyo covid-19 imefutwa na rais sio?
 
Soma vizuri sentensi hiyo uielewe!!! Mkuu. Usiwe na haraka namna hiyo.
Madhara yatakayoletwa baada ya uchaguzi huu hayatakwisha na yataleta vikundi vingi sana vya ajabu tz. Hatuombei ila Hekima inahitajika sana kwa viongozi wetu.
 
Maswali na Majibu
Binafsi bado nalaani kitendo cha kuombwa maswali na cha Chadema kupitia mgombea wao Antipasu hapa JF halafu mgombea huo akaingia mitini bila kujibu maswali yale.

Nina dhani takribani ya kura zaidi ya laki tano za members wa JF ndugu Antipasu alizikosa kwa kuwaudhi members hawa! Hatujasahu Chadema ijue hilo!
 
Madhara yatakayoletwa baada ya uchaguzi huu hayatakwisha na yataleta vikundi vingi sana vya ajabu tz. Hatuombei ila Hekima inahitajika sana kwa viongozi wetu.
Utumie akili kujibu rafiki itakusaidia sana.
Think beyond the box.
Silent enmity will end up with big divided among peoples by playing with this foolish statements.
Unadhani huko tunduma kitu gani kinaendelea
Mtwara je
Hivi vikiibuka vikundi maeneo zaidi kutakuwa na Uhuru wa kusafiri? Kufanya biashara?
leteni hivyo vikundi vyenu tuwaone vizuri katika uhalisia wenu, kwa hivyo unataka kutuambia magaidi wa Mtwara ni nyinyi mnawafadhili?
unafikiri majeshi yetu hayana kazi? jaribuni
 
leteni hivyo vikundi vyenu tuwaone vizuri katika uhalisia wenu, kwa hivyo unataka kutuambia magaidi wa Mtwara ni nyinyi mnawafadhili?
unafikiri majeshi yetu hayana kazi? jaribuni
Acha kulisha watu maneno mdomoni. Nani amesema hivyo
 
Serikali ikiwekewa vikwazo, ikashindwa kufanya miradi ya maendeleo, unakuwa umemkomoa Magufuli au unaumiza ndugu zako?
ukweli ni kuwa mtu wa kijijini kule porini vikwazo au siyo vikwazo havimsaidii wala kupunguza hali mbaya ya maisha yake, Kwa sababu misaada mingi wao siyo walengwa . Nyie wa mijini ndiyo mtakuwa waathirika. Hapo ndipo mtapata akili kuwa hao majambazi CCM ndiyo adui zenu. Na njaa baada ya vikwazo mtanyooka.

waulize Sudan, Zimbabwe, Irani na Korea Kaskazini ndiyo utajua, hata bank Swift inakuwa haifanyi kazi.
 
Karibu Sana,tupo kazini kuanzia sasa tuta hakikisha Amani na maendeleo kwa watanzania wote,wa vyama vyote ila hatuta sita kutoa elimu kwa wavurugaji na wapinga kila kitu,hata kwa yale yanayo onekaka dhahiri.
Yaani itakuwa kama Somalia au Libya vile, mapolisi yakipiga watu tu nasisi tunapiga kwenye familia zao. Ngoja tuoneshane makali mumbwa ninyi.
 
Madhara yatakayoletwa baada ya uchaguzi huu hayatakwisha na yataleta vikundi vingi sana vya ajabu tz. Hatuombei ila Hekima inahitajika sana kwa viongozi wetu.
Hekima ya kwanza ni hao walioshindwa kuheshimu katiba ya nchi;

hekima yao ya pili ni kutii sheria za nchi bila shuruti,

tatu wawaombe msamaha watanzania kwa makosa waliyoyafanya wakati wa kampeni kwa kuwadhalilisha watanzani na hasa wafuasi wao kwa hao washindwaji kushindwa kunadi sera za chama chao kupitia ilani yao badala yake wakawa wanatukana viongozi wa serikali wakati wanajua serikali si chama cha siasa;

ya nne ni kuviomba msamaha NEC na vyombo vyetu vya usalama kwa kuvidhalilisha na kuvidharau leo;

tano wakubali matokeo na waache wafuasi wao waliopewe raidhaa na wananchi kuwawakilisha watekeleze wajibu huo.

Sita, watamke wazi na kwa kuapa kuwa hawatajihusisha na wale wote wanaodhaniwa hawaitakii mema TANZANIA.

Saba wawe tayari kushiriki kwa uaminifu Tanzania kuwa imara katika nyanja zote za kimaendeleo bila hila.

Nane, watoe mrejesho wa mapato na matumizi ya ela zote walizowahi kuchangiwa katika mikusanyiko yao ya kichama na hasa wakati wa kampeni. Ili warudishe imani kwa wafuadi wao

Tisa, Waahidi rasmi na kwa uwazi tena kwa maandishi kumuunga mkona rais aliyechaguliwa na wananchi, ndugu yetu rais mteule Dr. JPJ Magufuli.

Kumi, waahidi kumrejesha shahidi namba moja dereva wa Antipasu wakati anashambuliwa ili asaidie kutoa taarifa rasmi zinazoweza kusaidia washukiwa wa uhalifu huo kutiwa mbaroni.
====
Waweza kuongeza hekima zingine kuwasaidia ndugu zetu hawa ambao wako " depressed "!
 
Binafsi bado nalaani kitendo cha kuombwa maswali na cha Chadema kupitia mgombea wao Antipasu hapa JF halafu mgombea huo akaingia mitini bila kujibu maswali yale. Nina dhani takribani ya kura zaidi ya laki tano za members wa JF ndugu Antipasu alizikosa kwa kuwaudhi members hawa! Hatujasahu Chadema ijue hilo!
Pale mwama lumumba anapojidai na chadema!!

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
kumbe manamba bado mpo endeleeni na huyo mkoloni wa burundi aendelee kufaidi hayo masaburi siye tumedhamiria kumfurusha by hooks or crooks

Ufukara wako wa akili siyo tatizo letu, sisi tutakusaidia mengine tu
Ukiwa masikini lazima upende fujo.......ngoja nipande zangu crown yangu niende Cape town fish market
 
Kwanini usihame wewe kwanza kwenye huo ufukara?
Washamba Bana utawajua tu......wew ulikuja mjini kusoma chuo ......si umemaliza Rudi ukalime......wee nchi hii uijui hata kidogo
 
Utumie akili kujibu rafiki itakusaidia sana.
Think beyond the box.
Silent enmity will end up with big divided among peoples by playing with this foolish statements.
Unadhani huko tunduma kitu gani kinaendelea
Mtwara je
Hivi vikiibuka vikundi maeneo zaidi kutakuwa na Uhuru wa kusafiri? Kufanya biashara?
Madikteta huwa hawajali chochote hadi pale anapojikuta peke yake amezungukwa na mitutu ya bunduki, ndipo na wao huanza kulilia HAKI.
 
leteni hivyo vikundi vyenu tuwaone vizuri katika uhalisia wenu, kwa hivyo unataka kutuambia magaidi wa Mtwara ni nyinyi mnawafadhili?
unafikiri majeshi yetu hayana kazi? jaribuni
Mwambie polepole akalifiche v8 lake, Jumatatu tutalichoma live huku akishuhudia kupitia kwenye tundu la dirishani kwake.
 
Back
Top Bottom