Uchaguzi 2020 CHADEMA ni lazima ioneshe mshikamano juu ya mgombea mmoja, Lissu awe Waziri Mkuu

Kwa kuitumia ACT ndio maana mnalilia muungano na Chadema sio. Safari hii Chadema inasimamia show yenyewe.
Bora Chadema isimame yenyewe kama watashindwa kuelewana.Na hii itairudisha Chadema kwenye misingi yake ya awali.Baada ya uchaguzi hao wafuata ulaji watayeyuka na kubakiza Chadema Asilia.Kuna haja gani ya ushirikiano wa mashaka huku mkijua hakutaleta mafanikio.
 
Lissu ndo Rais
 
HAPANA!
 
UZURI WAJUMBE HAWAJAWAHI KUPANGIWA WANAJUA JUKUMU LAO with a smile period
 
Ninavyoelewa, Rais na Makamu wake hawawezi kutoka upande mmoja wa Muungano.

Amandla...

Simple then, kama vipi Membe akubali kuwa PM mgombea mwenza atoke Zenj nadhani atakuwa Salum kama hakutakuwa na changes.
 
Mataga kazini. Na mtataga mwaka huu. Go Lissu Go Lissu.

Watu lazima mpoteane mwaka huu. Na Lissu ndo Raisi wenu mwaka huu, mpende msipende.
Yaani tuongozwe na kichaa? Hivi ukimtazama tu Lissu usoni, huoni kama kuna fyuzi moja imeungua.
 
Meko hana ujanja huku kuna Membe huku kuna Lissu anapigwa kote kote.
 
Hivi mbona mnapenda kujifikirisha vitu ambavyo havifikirishi. Eti Lissu atadai ushindi wake, huo ushindi kwanza ataupatia wapi? hawezi kupata hata asilimia 10 ya kura amejitahidi sana asilimia 2.
 
Waungane, waache tamaa. Nilitegemea mpaka sasa wawe wamefikia makubaliano ya kumsimika mgombea mmoja kwenye ngazi zote kuanzia urais mpaka udiwani.
Chadema kuna wachaga pale wana tamaa. Pesa mbele. Ukizungumzia mgombea mmoja wanataka asilimia kubwa watoke kwao ili wapate ruzuku. Waulize UKAWA 2015 hawana hamu nao.
 
Chadema kuna wachaga pale wana tamaa. Pesa mbele. Ukizungumzia mgombea mmoja wanataka asilimia kubwa watoke kwao ili wapate ruzuku. Waulize UKAWA 2015 hawana hamu nao.
they must rely on majority thought
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…