Tetesi: CHADEMA ‘Nusu Mkate’ wote wanahamia CCM February 5 akiwemo Wenje, Sugu na Boni Yai

Hili mbona liko wazi! Nna uhakika hata kuua mpo tayari. Hapa ndipo ninaposema tumshukuru sana sana Lissu kwa sababu tusingejua kuwa Mbowe ni muuaji.
Haya mahuni Team Mbowe yalishazoea kuishi kitapeli na kugawana hela za ccm kwa kujiita wapinzani.
 
Nashukuru kuweka kumbuka sawa, lakini hoja ya Uchaga ilikita mizizi Chadema labda kwakuwa Mwenyekiti aliyemaliza muda wake alikaa miaka mingi madarakani

CHADEMA ni chama cha kisiasa., sio cha kikabila. Ni chama m'badala, chenye kuleta ukombozi wa kweli.

after all wachagga ni akili kubwa? au wewe unaonaje
 
Nitakua wa mwisho kabisa kuamini sugu anaweza kwenda ccm.

Sugu kabisaa aende ccm? Sijui lakini maana nafsi ya mtu ni kiza
Mkuu usiamini mwanasiasa yoyote yule hata huyo Lissu ambaye mnaona amenyooka
 
Mkuu leo umefanikiwa kupata breakfast lakini?

Umeandika kama una njaa Mkuu..
 
CHADEMA ni chama cha kisiasa., sio cha kikabila. Ni chama m'badala, chenye kuleta ukombozi wa kweli.

after all wachagga ni akili kubwa? au wewe unaonaje
Ni sahihi Mkuu

Nanukuu maneno ya Mwenyekiti juzi akikabidhiwa ofisi

Chadema inamuhitaji Kila mtu na talanta aliyonayo

Kama una ideas peleka, kama una shilingi laki 1 yako ipeleke ikafanye kazi

Kwahiyo pamoja na akili kubwa walizonazo Wachaga, still watahitaji kura nyingi za Kanda ya Ziwa
 
Tapeli Lissu ule mdomo wake uliokaa Kama karai la chapati utamgharimu sana…..

Hatofika popote na tutahakikisha hilo.
Wachaga huwa mna roho mbaya kama dada zenu ambao huwa wanawalipua waume zao namna ambavyo wapalestina huwa wanawalipua wana wa Israel . Siku zote roho mbaya huwa haijengi.
 
Ungetaja wengine ili angalau baadhi yetu waamini story yako. Lakini, kwa kuwataja Sugu na Boni Yai kumefanya ipoteze kuaminika mapema sana.

Ova
 
Nitakua wa mwisho kabisa kuamini sugu anaweza kwenda ccm.

Sugu kabisaa aende ccm? Sijui lakini maana nafsi ya mtu ni kiza
Hii ngumu sana, labda msigwa nae arudi Chadema wapishane.
 
Wengi walivofurahia ushindi wa Lisu sio Kwa sababu Lisu yupo vizuri apana watu walitaka waone makanjanja kama hawa, watu wanaohadaaa wananchi Kwa siasa uchwara, watu wanaofanya uwinga wa kisiasa na wengine wote waliopo kwenye vyama Kwa hila flani
Na nje ya chadema ni wepesi mno hakuna mtu atakua na mda nao
 
Ccm daima samiA 5
 
Hii tetesi ni ya tangu uchaguzi CHADEMA na sababu ikiwa ni wafuasi wa FAM na hivyo utawala wa TAL unawanyima fursa ya kuchovya katika buyu la asali.
 
Toka ya wakina Halima hamna kitakacho nishangaza. Lakini Sugu amfuate kweli Msigwa CCM?

Amandla...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…