GE2025 CHADEMA: Tumepata taarifa ya Tundu Lissu kutaka kupewa sumu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
No zipo sumu zinaua pole pole. Unalishwa leo inakuua tararitibu kwa miezi 3 hivi. Utashtukia ini limeferi kwa mfano unue ndio imetoka hiyo. Akipewa atatoka gerezan mzima sasa subiri mwezi upite.
Miezi mitatu ni muda mrefu?!
 
Kuna mapapai mengi humu!
 
Lissu ni mpango wa Mungu..
Hakuna watu wajinga kama Watanganyika.
.Walio mtungia kesi TUNDU Lissu ni watanganyika.

.walio muua Mzee Kibao ni watanganyika.

.wanao taka kumuua TUNDU Lissu Kwa Sumu ni watanganyika.

Walinda maslahi ya mtu anaye iibia Tanganyika Mali na ardhi ....! Mwanamke Mzanzibar anawaendesha usiku na mchana.
Huyu Mzanzibar kauza Bandari zetu zote Kwa waarabu halafu wanaume wazima tena wengine wasomi wanahangaika kuuwa watanganyika Kwa faida ya mwizi mmoja.
 
Mkoloni Dikteta kaburu toka Zanzibar anaitawala Tanganyika kimabavu huku vibaraka toka Tanganyika wakimsaidia kuwaonea, kuwatesa watanganyika wenzao bila huruma, Muungano ufe Tanganyika iwe huru
 
Hakuna wa kumuua Lissu hata kwa bomu labda iwe ni mpango wa Mungu
 
Hakuna mtu wa kumpa sumu lissu akiwa mikononi mwa dola,hiyo italeta kelele na vurugu zaidi, hapo kuna watu wanaotaka mama avurugikiwe ndiyo huenda watafanya hilo,wangetaka kumuua wangefanya akiwa nje,isingeleta shaka
Ndiyo maana wanatumia njia ya sumu ambayo hatakufa ghafla bali taratibu wakati wameshamuachia na itaonekana ni natural death. Samia ni shetani katika maumbile ya binadamu.
 
Ni WAJIBU na ni JUKUMU la Samia Suluhu Hassan kuhakikisha usalama wa Tundu Lissu wakati akiwa gerezani.
Lolote likimtokea akiwa mikononi wake shutuma zote zitamwangukia yeye.
 
Write your reply...hakuna serikali itafanya upumbavu kama huu. Lengo kujengesha chuki mabeberu yanapambana kumuweka mtu wao kwa namna yeyote ile
 
Kwani kweli hili swali ni gumu mkuu 'Mzee Mwanakijiji'?
Wasioitakia mema Tanzania; wakiwemo watawala wasiopenda HAKI

Kuna GENGE hatari linalokishikilia chama chenu cha CCM na kukitumia kuwa aka uchafu nyinyi nyote!.
Tafadhali aisee..lini nimekuwa mwanaCCM? Kwenye kesi yoyote inayohusu mauaji ambapo mtuhumiwa hajulikani swali la kwanza ni nani atanufaika na kifo cha mtu huyo. Tuchukulie kuwa hizi tetesini za kweli; unafikiri Samia ndiyo atanufaika zaidi itokee kweli Lissu afie jela? Sioni namna gani kama kwa kuendelea kuwa jela hairpiece faida yoyote Samia...
 
Mbowe kamwandaa kileo wa chauma bingwa wa Tindikali kemikali na sumu zote aandae mtu apelekwe gerezani awe karibu na mbowe atekeleze huyo unyama wa kishetani
Upuuzwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…