Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Walevi wa FaruJohn Wakijifariji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ICJ ni nini?Ni busara hii hii ndiyo ilifanya 2015 tukaambiwa ooh Edo kashinda lkn muwe watulivu tutaenda ICJ. .....mpk leo kimya.
Sasa na uchaguzi huu chadema itapigwa (itaibiwa) mchana kweupee kisa busara.
Nafikiri viongozi wa Chadema Kuna kitu Cha ziada zaidi ya ukombozi wanachopigania. Wameniudhi sana, kwenda kinyume na Lisu.
Maamuzi ni kwamba kamati imeridhia mgombea Lisu asimame kupiga kampeni mpk tarehe 9/10Tunashukuru unamaamuzi yakikao tujuze nasituelewe
Ukichunguza kwa makini Lisu huyu wa leo siye yule wa zamani kabla hajapelekwa ubelgiji.Amani kwako.
Ikumbukwe kuwa mfumo wa vyama vingi ulipoanzishwa na late Mwl. Nyerere ilikuwa na lengo la kukubali na kuonyesha dunia kuwa Tanzania ina demokrasia.
View attachment 1589660
☝Pichani: late Mwalimu Julias Kambarage Nyerere.
Siasa ina mchezo wa giza na nuru, vile vinavyofanywa gizani huwezi kuviona isipokuwa vya nuruni hapo ndipo mada imesimama.
Tukumbuke mwasisi wa uanzishwaji vyama vingi ni CCM, kupitia viongozi wake akiwepo fundi wa siasa late JKN, mzee baada ya kuambiwa na wahisani wape wananchi uhuru wa kuchagua, wakaona isiwe tabu, wakadesign na kuchambua matokeo yake ni vyama vingi ila vyama vyenyewe ni mali ya ccm.
Kuna late Kambona huyu jamaa angeweza kuwa mpinzani mahiri tatizo lake alikuwa na uroho wa madaraka mpaka alipotoka kwenye chama na kutaka kuingia msituni, tunajua kilichofuata baadaye.
View attachment 1589659
☝Pichani: late Oscah Kambona
CCM imekuwa ikiwekeza kimkakati kuonyesha wahisani kuna demokrasia ya ushindani na ndiyo maana kuna vyama vipo vipo tu havina hata mjumbe wa nyumba kumi na kila uchaguzi lazima waingize mtu kugombea urais wakijua hawapati kitu ila wanachukua fomu, mwenye uelewa unapata jibu hapo.
Wagombea urais wote waliopita dr. Wilbroud Slaa mpaka Lowassa walikuwa ni purely uccm na walikuwa kimaslahi, hivyo mfumo wa ccm uliweza kuwabeba, muite, mtulize mpe chake aondoke. Tundu Antipas Lissu siyo zao la ccm japo kakua akiongozwa na mfumo huo, ule mfumo wa muite, mtulize, mpe chake aondoke umeharibika baada ya kumchapa risasi na kushindwa kumuua, hapo ndipo shida kubwa imekuwa.
View attachment 1589661
☝Picha: Tundu Antipas Lissu.
Siasa ya vyama vingi hapa Tanzania haipo ila inakuja kuwa kweli kupitia watu kama Lissu mtu ambaye hawezi kununurika kupitia ile njia ya MMMa, sababu mojawapo inayogoma ni pale walipojaribu kumuua, upande wa wananchi wanafunguka na kufanya kweli, ila viongozi wa vyama hawana kauli thabiti pale kura zao zinapoibiwa au kubadilishwa.
Lissu ameamua kufanya mageuzi ya kweli katika mfumo usio sahihi na inaweza kuwa kweli mfumo huo ukambeba kupitia wananchi, kwa nini Mbowe as chairman nk wapo kimya au wanatoa maamuzi kimya kimya kwa mfumo wa ki_CIA hatujui!, ila jawabu mojawapo ni ile dhana ya MMMa, ambayo wapinzani wengi wamekuwa wanufaika na mpango huo wa mafao ya chukua kaa pembeni.
Njaa nayo mbaya, au ni ile dhana niliyoandika hapo juu ambayo muanzilishi wa vyama ccm anacheza unfair na tunaona wakongwe wengi wakishafanya yao, baadaye wanarejea nyumbani na kupewa kiinua mgongo kama nyadhifa kubwa kubwa wengine mabalozi, mawaziri nk, hapo ndipo unapata picha kuwa hii siasa ya vyma vingi hapa nchini ni changa la macho na Lissu anaweza kuwa asiwe yule wasiyemtegemea.
NB. Kumbukaa October ndiyo hii bado siku 24 ufanye mabadiliko na uingize historia nyingine.
Wenyewe wanaita International Court of JusticeICJ ni nini?
Tuwekee kavideo au barua hapo hata ivyo hiyo hawezi kunivunja nguvu mm kilaukombozi unagharama zakeMaamuzi ni kwamba kamati imeridhia mgombea Lisu asimame kupiga kampeni mpk tarehe 9/10
Heheheh! Acha kulialia hebu subiri penadul injection iingie.Kuna harufu ya uwoga hapa.
Sasa mgombea ataanza saa ngapi kampeni za leo? Hapa tushapata majibu tayari. Kamati kuu imeufyata kwa tume.
Kwa kukusaidia tu...Wenyewe wanaita International Court of Justice
Siyo hii ya the Hague mkuu. Wao walisema ICJ. Angalia nyuzi (threads) za 2015 mara baada ya uchaguziKwa kukusaidia tu...
About the International Criminal Court
Jisemee wew sio watanzania wote watamchagua jiweMzee wa Faru John kaamua kutoka mafichoni, Tunajua mmejipanga kutaka kuleta stori zenu za kulialia, wakati sheria mmevunja wenyewe, tulieni kama mnanyolewa sheria ishafanya kazi yake, nyie ndo mnaanza kutetemeka kama mbuzi wa kafara, hahaha.
Watanzania tutaichagua CCM, na Tutamchagua Magufuli
Zote mbili zipo The HagueSiyo hii ya the Hague mkuu. Wao walisema ICJ. Angalia nyuzi (threads) za 2015 mara baada ya uchaguzi
Asha ambiwa akifanikisha hili la kumdhibiti lisu atashiliki kula keki ya taifaHapa usipa zungumzie ksbisa ,mme haribu Biashara zake nyingi kwa Sababu za kisiasa kinyume kabisa na Sheria.Punguza unafiki Mkuu.
Kulikuwa na uzi wenye barua hiyo umeondolewa na mods. Barua inaongelea kuwa kamati kuu ya chadema imeridhia kwa kauli moja chadema na ACT kushirikiana na unasema kamati imekubaliana na maamuzi ya tume kumsimamisha mgombea urais mpk tarehe 9/10Tuwekee kavideo au barua hapo hata ivyo hiyo hawezi kunivunja nguvu mm kilaukombozi unagharama zake
Kinachofurahisha ni kwamba Tundu Lissu kamshikisha adabu Magufuli kwenye kampeni hizi:Mzee wa Faru John kaamua kutoka mafichoni, Tunajua mmejipanga kutaka kuleta stori zenu za kulialia, wakati sheria mmevunja wenyewe, tulieni kama mnanyolewa sheria ishafanya kazi yake, nyie ndo mnaanza kutetemeka kama mbuzi wa kafara, hahaha.
Watanzania tutaichagua CCM, na Tutamchagua Magufuli
Hii busara ndiyo mwanyq wa ccm kufanya yaoWakati mwingine ukishupaza shingo sana huwa linavunjika
NEC na kamati yao ile wanatafuta sababu ya kutoa adhabu kali zaidi na CHADEMA watafanya makosa makubwa kuingia huko mkenge. Ndio maana imebidi busara itawale zaidi na jazba ikae kando
OkZote mbili zipo The Hague
Wamekubwliana na tume kwamba Lisu asitishe kampeni mpk tarehe 9/10Mbowe ameshashindwa kumcontrol Lissu, yaani Lissu anajifanya yuko juu kuliko chadema, hata hii press ya leo ataishia kumtetea mtu mbishi na mwenye lengo la kuleta mauaji nchini kibaraka wa wazungu, Bora hata angegombea Mbowe mwenyewe ana ka uzalendo kidogo