Uchaguzi 2020 CHADEMA: Tunamuunga mkono Maalim Seif kwa Urais Zanzibar. Lissu hataendelea na kampeni, atapangiwa majukumu mengine

Uchaguzi 2020 CHADEMA: Tunamuunga mkono Maalim Seif kwa Urais Zanzibar. Lissu hataendelea na kampeni, atapangiwa majukumu mengine

Ni busara hii hii ndiyo ilifanya 2015 tukaambiwa ooh Edo kashinda lkn muwe watulivu tutaenda ICJ. .....mpk leo kimya.

Sasa na uchaguzi huu chadema itapigwa (itaibiwa) mchana kweupee kisa busara.

Nafikiri viongozi wa Chadema Kuna kitu Cha ziada zaidi ya ukombozi wanachopigania. Wameniudhi sana, kwenda kinyume na Lisu.
ICJ ni nini?
 
Amani kwako.

Ikumbukwe kuwa mfumo wa vyama vingi ulipoanzishwa na late Mwl. Nyerere ilikuwa na lengo la kukubali na kuonyesha dunia kuwa Tanzania ina demokrasia.

View attachment 1589660
Pichani: late Mwalimu Julias Kambarage Nyerere.

Siasa ina mchezo wa giza na nuru, vile vinavyofanywa gizani huwezi kuviona isipokuwa vya nuruni hapo ndipo mada imesimama.

Tukumbuke mwasisi wa uanzishwaji vyama vingi ni CCM, kupitia viongozi wake akiwepo fundi wa siasa late JKN, mzee baada ya kuambiwa na wahisani wape wananchi uhuru wa kuchagua, wakaona isiwe tabu, wakadesign na kuchambua matokeo yake ni vyama vingi ila vyama vyenyewe ni mali ya ccm.

Kuna late Kambona huyu jamaa angeweza kuwa mpinzani mahiri tatizo lake alikuwa na uroho wa madaraka mpaka alipotoka kwenye chama na kutaka kuingia msituni, tunajua kilichofuata baadaye.

View attachment 1589659
Pichani: late Oscah Kambona

CCM imekuwa ikiwekeza kimkakati kuonyesha wahisani kuna demokrasia ya ushindani na ndiyo maana kuna vyama vipo vipo tu havina hata mjumbe wa nyumba kumi na kila uchaguzi lazima waingize mtu kugombea urais wakijua hawapati kitu ila wanachukua fomu, mwenye uelewa unapata jibu hapo.

Wagombea urais wote waliopita dr. Wilbroud Slaa mpaka Lowassa walikuwa ni purely uccm na walikuwa kimaslahi, hivyo mfumo wa ccm uliweza kuwabeba, muite, mtulize mpe chake aondoke. Tundu Antipas Lissu siyo zao la ccm japo kakua akiongozwa na mfumo huo, ule mfumo wa muite, mtulize, mpe chake aondoke umeharibika baada ya kumchapa risasi na kushindwa kumuua, hapo ndipo shida kubwa imekuwa.


View attachment 1589661
Picha: Tundu Antipas Lissu.

Siasa ya vyama vingi hapa Tanzania haipo ila inakuja kuwa kweli kupitia watu kama Lissu mtu ambaye hawezi kununurika kupitia ile njia ya MMMa, sababu mojawapo inayogoma ni pale walipojaribu kumuua, upande wa wananchi wanafunguka na kufanya kweli, ila viongozi wa vyama hawana kauli thabiti pale kura zao zinapoibiwa au kubadilishwa.

Lissu ameamua kufanya mageuzi ya kweli katika mfumo usio sahihi na inaweza kuwa kweli mfumo huo ukambeba kupitia wananchi, kwa nini Mbowe as chairman nk wapo kimya au wanatoa maamuzi kimya kimya kwa mfumo wa ki_CIA hatujui!, ila jawabu mojawapo ni ile dhana ya MMMa, ambayo wapinzani wengi wamekuwa wanufaika na mpango huo wa mafao ya chukua kaa pembeni.

Njaa nayo mbaya, au ni ile dhana niliyoandika hapo juu ambayo muanzilishi wa vyama ccm anacheza unfair na tunaona wakongwe wengi wakishafanya yao, baadaye wanarejea nyumbani na kupewa kiinua mgongo kama nyadhifa kubwa kubwa wengine mabalozi, mawaziri nk, hapo ndipo unapata picha kuwa hii siasa ya vyma vingi hapa nchini ni changa la macho na Lissu anaweza kuwa asiwe yule wasiyemtegemea.


NB. Kumbukaa October ndiyo hii bado siku 24 ufanye mabadiliko na uingize historia nyingine.
Ukichunguza kwa makini Lisu huyu wa leo siye yule wa zamani kabla hajapelekwa ubelgiji.
We chunguza tu utagundua.
Intelligence yake imeshuka saaana!
I am sure kuna kitu wazungu wamemfanyia kudestroy some of his brain cells.
 
Maamuzi ni kwamba kamati imeridhia mgombea Lisu asimame kupiga kampeni mpk tarehe 9/10
Tuwekee kavideo au barua hapo hata ivyo hiyo hawezi kunivunja nguvu mm kilaukombozi unagharama zake
 
Kuna harufu ya uwoga hapa.

Sasa mgombea ataanza saa ngapi kampeni za leo? Hapa tushapata majibu tayari. Kamati kuu imeufyata kwa tume.
Heheheh! Acha kulialia hebu subiri penadul injection iingie.

JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
 
CCM mpya chini ya Bashiru na Chakubanga mbona imeacha kuongelea mambo ya madege na madaraja? Walidhani mwanzoni kuwa wananchi watakula madaraja? Sasa kama wanajua kusoma alama za nayakati wasome. Huu uchaguzi waki mess up wanakwenda kupigwa vikwazo siyo vya dunia hii.. Yaani sisi
 
Mzee wa Faru John kaamua kutoka mafichoni, Tunajua mmejipanga kutaka kuleta stori zenu za kulialia, wakati sheria mmevunja wenyewe, tulieni kama mnanyolewa sheria ishafanya kazi yake, nyie ndo mnaanza kutetemeka kama mbuzi wa kafara, hahaha.
Watanzania tutaichagua CCM, na Tutamchagua Magufuli
Jisemee wew sio watanzania wote watamchagua jiwe
 
Wakati mwingine ukishupaza shingo sana huwa linavunjika

NEC na kamati yao ile wanatafuta sababu ya kutoa adhabu kali zaidi na CHADEMA watafanya makosa makubwa kuingia huko mkenge. Ndio maana imebidi busara itawale zaidi na jazba ikae kando
 
Hapa usipa zungumzie ksbisa ,mme haribu Biashara zake nyingi kwa Sababu za kisiasa kinyume kabisa na Sheria.Punguza unafiki Mkuu.
Asha ambiwa akifanikisha hili la kumdhibiti lisu atashiliki kula keki ya taifa
 
Tuwekee kavideo au barua hapo hata ivyo hiyo hawezi kunivunja nguvu mm kilaukombozi unagharama zake
Kulikuwa na uzi wenye barua hiyo umeondolewa na mods. Barua inaongelea kuwa kamati kuu ya chadema imeridhia kwa kauli moja chadema na ACT kushirikiana na unasema kamati imekubaliana na maamuzi ya tume kumsimamisha mgombea urais mpk tarehe 9/10
 
Lissu anaenguliwa na Mbowe ? Na kumuunga mkono Membe au ?
 
Mzee wa Faru John kaamua kutoka mafichoni, Tunajua mmejipanga kutaka kuleta stori zenu za kulialia, wakati sheria mmevunja wenyewe, tulieni kama mnanyolewa sheria ishafanya kazi yake, nyie ndo mnaanza kutetemeka kama mbuzi wa kafara, hahaha.
Watanzania tutaichagua CCM, na Tutamchagua Magufuli
Kinachofurahisha ni kwamba Tundu Lissu kamshikisha adabu Magufuli kwenye kampeni hizi:

1. Imelazimika polisi & NEC watumike kuokoa jahazi linalozama la Magufuli ambaye kabla ya kampeni tuliaminishwa eti anapendwa sana hahitaji nguvu yoyote kwenye kampeni 2020

2. Magufuli amelazimika kuanza kutekeleza "amri" za Tundu Lissu anazozitoa kwenye kampeni

3. Magufuli amefikia mahali anampigia Tundu Lissu magoti, tena mbele ya hadhara

4. Kupitia hotuba zake katika kampeni, Tundu Lissu amewajengea wananchi ari ya kujiamini - sasa hivi wananchi hawatishwi tena na mabomu ya polisi.

Jiandaeni tu kisaikolojia October 28!
 
Wakati mwingine ukishupaza shingo sana huwa linavunjika

NEC na kamati yao ile wanatafuta sababu ya kutoa adhabu kali zaidi na CHADEMA watafanya makosa makubwa kuingia huko mkenge. Ndio maana imebidi busara itawale zaidi na jazba ikae kando
Hii busara ndiyo mwanyq wa ccm kufanya yao
 
Mbowe ameshashindwa kumcontrol Lissu, yaani Lissu anajifanya yuko juu kuliko chadema, hata hii press ya leo ataishia kumtetea mtu mbishi na mwenye lengo la kuleta mauaji nchini kibaraka wa wazungu, Bora hata angegombea Mbowe mwenyewe ana ka uzalendo kidogo
Wamekubwliana na tume kwamba Lisu asitishe kampeni mpk tarehe 9/10
 
Back
Top Bottom