Uchaguzi 2020 CHADEMA: Tunamuunga mkono Maalim Seif kwa Urais Zanzibar. Lissu hataendelea na kampeni, atapangiwa majukumu mengine

Uchaguzi 2020 CHADEMA: Tunamuunga mkono Maalim Seif kwa Urais Zanzibar. Lissu hataendelea na kampeni, atapangiwa majukumu mengine

Busara na hekima tunatumaini ilitawala maamuzi ya kikao chao.

Kama watetezi na wadai demokrasia, utawala wa sheria, na wanataka wananchi wawape ridhaa ya kuongoza nchi, tutegemee kauli za unyenyekevu na kutii sheria bila shurti
 
itakuwa kama tulivyoshtakiwa MIGA?

Viva Magu 2020 to 2030
CCM mpya chini ya Bashiru na Chakubanga mbona imeacha kuongelea mambo ya madege na madaraja? Walidhani mwanzoni kuwa wananchi watakula madaraja? Sasa kama wanajua kusoma alama za nayakati wasome. Huu uchaguzi waki mess up wanakwenda kupigwa vikwazo siyo vya dunia hii.. Yaani sisi
 
Ukichunguza kwa makini Lisu huyu wa leo siye yule wa zamani kabla hajapelekwa ubelgiji.
We chunguza tu utagundua.
Intelligence yake imeshuka saaana!
I am sure kuna kitu wazungu wamemfanyia kudestroy some of his brain cells.
Hujakosea
 
Mgombea wenu anavyowadhihaki wapiga kura na kuendorse miradi wakati ni kipindi cha kampeni ni nini maana yake?
Kwani kampeni ni mradi wa life time?? Najua kuna maisha baada ya kampen.kampeni zikiisha tutakuta miradi ipo na watanzania wote tutanufaika nayo ata kama magu atakuwa amepigwa chini.
 
Hii haiwezi kumkwaza lissu? Maana alisema yeye msimamo wake ni kuendelea na kampeni?
Ni jambo jema kutii adhabu ya NEC kuweka records sawa, kwa CDM na Lissu ni credit kura za huruma wasiokuwa na maamuzi.
 
Nahisi wewe ndio unakosea, lissu msimamo wake ni kuendelea na kampeni leo. Sasa huyo ni kama anakumbushia tu
Wewe una harufu ya intarahamwe, naona unajaribu kuchochea lakini hakuna reaction yoyote kutoka CDM. Don't waste your energy uselessly. WanaCDM ni makini zaidi yenu.
 
Shida inakupa pale ambapo lissu alitoa msimamo huo bila kutafakari.
Kama hakuna wa kumpigania ilikuaje akatoa msimamo wa kuendelea na kampeni?
Lissu angeendelea na kampeni mngekuwa tayari kumpigania pale atakapochukuliwa hatua zingine kinyume cha sheria ?

Mimi naamini kama tungekuwa tuko serious tumeichoka ccm sasa hivi tungekuwa tume ya uchaguzi kushinikiza afutiwe adhabu.

Hivi unawajua wafuasi wa Kiza Besigye ?

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Sasa sbuda ni kuwa lissu alishasema msimamo wake ni kuendelea na kampeni. Ikiwa hataendelea ataonekana ni mtu asiye na msimamo na mwenye kukurupuka, kwa kuwa amgeweza kusubiri maamuzi ya chama ili atoe msimamo wake
"Jifanye mjinga siku ipite," "funika kombe mwanaharamu apite"ni uamuzi wa hekima na mwiba mkali kwa ccm.
 
baadaye wanarejea nyumbani na kupewa kiinua mgongo kama nyadhifa kubwa kubwa wengine mabalozi, mawaziri nk, hapo ndipo unapata picha kuwa hii siasa ya vyma vingi hapa nchini ni changa la macho na Lissu anaweza kuwa asiwe yule wasiyemtegemea.
Yote yawezekana, ccm inaweza yote
 
,, p, 9. 'Zvz #., .. is.
, , a z m, 4. ,8, , vp, :*@cv. It. . vv.
,5. ,, o. ,any. C,no c v. N. Zb6 f6,666fsm. ,, ,, ..u. 7 a, , v. I c x. , .. n b .6
Kwa nini unatufanyia hivi,tayari hapa tu unatujengea dhana kuwa kuna siri kubwa😎
 
Nahisi wewe ndio unakosea, lissu msimamo wake ni kuendelea na kampeni leo. Sasa huyo ni kama anakumbushia tu
Lissu ni mgombea wa Chadema sio mgombea binafsi. Anatakiwa kujifunza collective responsibility. Si sahihi kuibuka tu hadharani na msimamo wake bila kujadiliana na wenzake ndani ya chama.
 
Kama Lisu anajiona yupo juu ya sheria, aendelee Leo na kampeni
Lissu na CHADEMA sio wapuuzi kama ccm na vijana wake wa Lumumba ndio maana wameweza kuwa chama kikuu cha upinzani kilicho tishio na chenye nguvu sana
 
Back
Top Bottom