Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyingi tu ikiwemo ya siasa!Mbowe anafanya biashara gani?
CCM mpya chini ya Bashiru na Chakubanga mbona imeacha kuongelea mambo ya madege na madaraja? Walidhani mwanzoni kuwa wananchi watakula madaraja? Sasa kama wanajua kusoma alama za nayakati wasome. Huu uchaguzi waki mess up wanakwenda kupigwa vikwazo siyo vya dunia hii.. Yaani sisi
HujakoseaUkichunguza kwa makini Lisu huyu wa leo siye yule wa zamani kabla hajapelekwa ubelgiji.
We chunguza tu utagundua.
Intelligence yake imeshuka saaana!
I am sure kuna kitu wazungu wamemfanyia kudestroy some of his brain cells.
Kwani kampeni ni mradi wa life time?? Najua kuna maisha baada ya kampen.kampeni zikiisha tutakuta miradi ipo na watanzania wote tutanufaika nayo ata kama magu atakuwa amepigwa chini.Mgombea wenu anavyowadhihaki wapiga kura na kuendorse miradi wakati ni kipindi cha kampeni ni nini maana yake?
Ndo maanake sio swali tena.Kwahiyo Lisu amepuuziliwa mbali na chama?
Ni jambo jema kutii adhabu ya NEC kuweka records sawa, kwa CDM na Lissu ni credit kura za huruma wasiokuwa na maamuzi.
Lissu hana busara. Hakutakiwa kutangaza msimamo wowote hadharani.Hii haiwezi kumkwaza lissu? Maana alisema yeye msimamo wake ni kuendelea na kampeni?
Wewe una harufu ya intarahamwe, naona unajaribu kuchochea lakini hakuna reaction yoyote kutoka CDM. Don't waste your energy uselessly. WanaCDM ni makini zaidi yenu.
Lissu angeendelea na kampeni mngekuwa tayari kumpigania pale atakapochukuliwa hatua zingine kinyume cha sheria ?
Mimi naamini kama tungekuwa tuko serious tumeichoka ccm sasa hivi tungekuwa tume ya uchaguzi kushinikiza afutiwe adhabu.
Hivi unawajua wafuasi wa Kiza Besigye ?
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
"Jifanye mjinga siku ipite," "funika kombe mwanaharamu apite"ni uamuzi wa hekima na mwiba mkali kwa ccm.
sasa kwanini unajitesa kufuatilia ya huku wakati hayakuhusu wewe mammalia?Nliwambia mapema hamkusikia Pambaneni na hali zenu mi nipo Hapa Denmark nakula maisha tuu
sasa kwanini unajitesa kufuatilia ya huku wakati hayakuhusu wewe mammalia?
Yote yawezekana, ccm inaweza yotebaadaye wanarejea nyumbani na kupewa kiinua mgongo kama nyadhifa kubwa kubwa wengine mabalozi, mawaziri nk, hapo ndipo unapata picha kuwa hii siasa ya vyma vingi hapa nchini ni changa la macho na Lissu anaweza kuwa asiwe yule wasiyemtegemea.
Kwa nini unatufanyia hivi,tayari hapa tu unatujengea dhana kuwa kuna siri kubwa😎,, p, 9. 'Zvz #., .. is.
, , a z m, 4. ,8, , vp, :*@cv. It. . vv.
,5. ,, o. ,any. C,no c v. N. Zb6 f6,666fsm. ,, ,, ..u. 7 a, , v. I c x. , .. n b .6
Lissu ni mgombea wa Chadema sio mgombea binafsi. Anatakiwa kujifunza collective responsibility. Si sahihi kuibuka tu hadharani na msimamo wake bila kujadiliana na wenzake ndani ya chama.Nahisi wewe ndio unakosea, lissu msimamo wake ni kuendelea na kampeni leo. Sasa huyo ni kama anakumbushia tu
CCM hii ambayo mgombea wake amefika hatua ya kupiga magoti kuomba kura??Maamuzi ya Leo ndo tiketi ya ccm kushinda kirahisi au kuongezewa uzito wa kuupata ushindi.
Lissu na CHADEMA sio wapuuzi kama ccm na vijana wake wa Lumumba ndio maana wameweza kuwa chama kikuu cha upinzani kilicho tishio na chenye nguvu sanaKama Lisu anajiona yupo juu ya sheria, aendelee Leo na kampeni