Uchaguzi 2020 CHADEMA: Tunamuunga mkono Maalim Seif kwa Urais Zanzibar. Lissu hataendelea na kampeni, atapangiwa majukumu mengine

Uchaguzi 2020 CHADEMA: Tunamuunga mkono Maalim Seif kwa Urais Zanzibar. Lissu hataendelea na kampeni, atapangiwa majukumu mengine

Kuna harufu ya uwoga hapa.

Sasa mgombea ataanza saa ngapi kampeni za leo? Hapa tushapata majibu tayari. Kamati kuu imeufyata kwa tume.
Mkuu unafahamu nguvu ya Serikali popote ulimwenguni, tena Serikali hii ambayo inajitambua. Haina shida ya kupiga magoti kuomba pesa za kupigia kura etc. JPM ni moto wa kuotea mbali wacha wapinzani wajifariji walimwonea JK hapa wamegonga mwamba. Nasikia Pole pole alikuwa kwenye mkutano wao.

 
Kuna harufu ya uwoga hapa.

Sasa mgombea ataanza saa ngapi kampeni za leo? Hapa tushapata majibu tayari. Kamati kuu imeufyata kwa tume.

Mbowe ni kati ya watu ambao hua wanaleta busara sehemu zisizohitajika,kwa kifupi hua ni Muoga sana ndio maana hata Ole Sabaya hua anamfanyia ujinga ujinga sana.

Ujinga anaofanya Ole Sabaya angekua amemfanyia mtu kama Heche ungeona shughuli yake.

Na nakwambia kamati kuu ikiufyata then Uchaguzi tayari ni mwepesi sana kwa CCM, Maana kwny uchaguzi watachakachua kama kawa na wanajua Chadema watakuja na tamko la kulaani then imeisha hio,na ikiwa Chadema wamekubaliana na tume hio then Lissu asije jukwaani na story zake sijui akichakachuliwa ataamsha maana huo utakua ni uongo wa mchana,test nzuri ilikua ni sasa hivi kuwaonyesha ambavyo Chafrma wako serious na any injustice.
 
Tumchague magu akachome nyavu zetu tena?tena kwahili wavuvi tuwe makini sana yule Dada anaeonea watu sana anaitwa judisi alikuwa ameisha anzatena uonezi wakamwambia ccm itakosa kura akarudi nyuma mpitisheni magu muone kimbunga cha nyavu kuchomwa bila hata taratibu inachomwa leo unaikuta dukani inauzwa kama ile narisiti unapewa lengolao nikukusanya kodi na kutuacha masikini
Uongo na upotoshaji, hakuna nyavu yenye viwango inavyotakikana na ikachomwa moto nasema hakuna. Piga picha nyavu unayotumia tuione hapa kama ina viwango inavyotakikana kuwa navyo. Sheria ni msumeno.

Kila anayefuata sheria anaishi kwa amani na maisha yake yanaenda vizuri na kwa mapenzi makubwa kabisa ataichagua CCM, na atamchagua Magufuli.
 
Uongo na upotoshaji, hakuna nyavu yenye viwango inavyotakikana na ikachomwa moto nasema hakuna. Piga picha nyavu unayotumia tuione hapa kama ina viwango inavyotakikana kuwa navyo. Sheria ni msumeno.

Kila anayefuata sheria anaishi kwa amani na maisha yake yanaenda vizuri na kwa mapenzi makubwa kabisa ataichagua CCM, na atamchagua Magufuli.
Sio kwa uongozi huu dahkimu wa awamu ya tano. Hoji kuhusu matumizi ya uwanja wa chato uone. Kabla ya Lissu ukihema tu ndani
 
Amani kwako.

Ikumbukwe kuwa mfumo wa vyama vingi ulipoanzishwa na late Mwl. Nyerere ilikuwa na lengo la kukubali na kuonyesha dunia kuwa Tanzania ina demokrasia.

View attachment 1589660
Pichani: late Mwalimu Julias Kambarage Nyerere.

Siasa ina mchezo wa giza na nuru, vile vinavyofanywa gizani huwezi kuviona isipokuwa vya nuruni hapo ndipo mada imesimama.

Tukumbuke mwasisi wa uanzishwaji vyama vingi ni CCM, kupitia viongozi wake akiwepo fundi wa siasa late JKN, mzee baada ya kuambiwa na wahisani wape wananchi uhuru wa kuchagua, wakaona isiwe tabu, wakadesign na kuchambua matokeo yake ni vyama vingi ila vyama vyenyewe ni mali ya ccm.

Kuna late Kambona huyu jamaa angeweza kuwa mpinzani mahiri tatizo lake alikuwa na uroho wa madaraka mpaka alipotoka kwenye chama na kutaka kuingia msituni, tunajua kilichofuata baadaye.

View attachment 1589659
Pichani: late Oscah Kambona

CCM imekuwa ikiwekeza kimkakati kuonyesha wahisani kuna demokrasia ya ushindani na ndiyo maana kuna vyama vipo vipo tu havina hata mjumbe wa nyumba kumi na kila uchaguzi lazima waingize mtu kugombea urais wakijua hawapati kitu ila wanachukua fomu, mwenye uelewa unapata jibu hapo.

Wagombea urais wote waliopita dr. Wilbroud Slaa mpaka Lowassa walikuwa ni purely uccm na walikuwa kimaslahi, hivyo mfumo wa ccm uliweza kuwabeba, muite, mtulize mpe chake aondoke. Tundu Antipas Lissu siyo zao la ccm japo kakua akiongozwa na mfumo huo, ule mfumo wa muite, mtulize, mpe chake aondoke umeharibika baada ya kumchapa risasi na kushindwa kumuua, hapo ndipo shida kubwa imekuwa.


View attachment 1589661
Picha: Tundu Antipas Lissu.

Siasa ya vyama vingi hapa Tanzania haipo ila inakuja kuwa kweli kupitia watu kama Lissu mtu ambaye hawezi kununurika kupitia ile njia ya MMMa, sababu mojawapo inayogoma ni pale walipojaribu kumuua, upande wa wananchi wanafunguka na kufanya kweli, ila viongozi wa vyama hawana kauli thabiti pale kura zao zinapoibiwa au kubadilishwa.

Lissu ameamua kufanya mageuzi ya kweli katika mfumo usio sahihi na inaweza kuwa kweli mfumo huo ukambeba kupitia wananchi, kwa nini Mbowe as chairman nk wapo kimya au wanatoa maamuzi kimya kimya kwa mfumo wa ki_CIA hatujui!, ila jawabu mojawapo ni ile dhana ya MMMa, ambayo wapinzani wengi wamekuwa wanufaika na mpango huo wa mafao ya chukua kaa pembeni.

Njaa nayo mbaya, au ni ile dhana niliyoandika hapo juu ambayo muanzilishi wa vyama ccm anacheza unfair na tunaona wakongwe wengi wakishafanya yao, baadaye wanarejea nyumbani na kupewa kiinua mgongo kama nyadhifa kubwa kubwa wengine mabalozi, mawaziri nk, hapo ndipo unapata picha kuwa hii siasa ya vyma vingi hapa nchini ni changa la macho na Lissu anaweza kuwa asiwe yule wasiyemtegemea.


NB. Kumbukaa October ndiyo hii bado siku 24 ufanye mabadiliko na uingize historia nyingine.
Lissu mpaka anapigwa Risasi alikuwa kashashindikana kwa mfumo huo wa MMMa. That was a last resort. Na hawataweza Lissu ameshavuka mistari yote ya kunasa. So mwaka huu n mwaka na uchaguzi wa kipekee
 
Kamati kuu imekesha kwenye hiyo issue isingekesha Leo ungesikia robo tatu ya wajumbe wa kamati kuu ya Chadema wamejiuzulu
Kwahiyo kumbe taarifa za mkuu Bia yetu zilikuwa sahihi[emoji15]?, Kwamba kikao chao kuligubikwa na sintofahanu, huku wajumbe wakilalamika kuwa mwenendo wa mgombea wao Lissu,sio msimamo wa chama.
 
Mkuu unafahamu nguvu ya Serikali popote ulimwenguni, tena Serikali hii ambayo inajitambua. Haina shida ya kupiga magoti kuomba pesa za kupigia kura etc. JPM ni moto wa kuotea mbali wacha wapinzani wajifariji walimwonea JK hapa wamegonga mwamba. Nasikia Pole pole alikuwa kwenye mkutano wao.


Hichi nacho chama kweli???
 
Hapa hakuna la maana hata kama wamekesha. Mgombea alishasema anaendelea na kampeni, Sasa kamati kuu inakesha kwasabb gani? Mbowe mwoga Sana huyu
Kama huyo mgombea wenu ni mkubwa sana kuliko chama kiasi cha kupingana na viongozi wake,suluhishoni yeye kuanzisha chama chake,ili aachane na hawa waoga.
 
Sio kwa uongozi huu dahkimu wa awamu ya tano. Hoji kuhusu matumizi ya uwanja wa chato uone. Kabla ya Lissu ukihema tu ndani
Ngoja nikutoe tongotongo hapa kuhusu matumizi ya uwanja wa Chato. Chato airport its a strategic hydrome airport, yaani msaidizi wa kiwanja cha kimataifa cha ndege cha Mwanza, popote kunapokuwa na uwanja wa ndege wa kimataifa ni muhimu kuwe na kiwanja cha kimkakati pembezoni mwa kiwanja hicho, ili kusaidia majambo mbalimbali yahusuyo usafiri huo wa anga.

Lakini pia tunafahamu mwanzoni kulikuwa na pori kubwa ambalo watu wenye nia ovu walikuwa wanalitumia kujifichia huko kufanya uhalifu, lakini pori hilo sasa hivi ni hifadhi ya taifa ya wanyama pori. Hivyo uwanja wa ndege wa chato upo pale kwa ajili ya ku support environment ya kupokea watalii kwa maana watalii huwa hawasafiri na guta most of the time.

Chagua CCM, Chagua Magufuli
 
Lisu amemtega Mbowe. Ni ama aheshikike ama adhauraulike. Maamuzi ya mgombea tunayajua, maamuzi ya kamati yakiwa kinyume na yale ya mgombea Mbowe utapwaya sana
Aiseeh, kwenye huu uzi unejitahidi sana kucomment mkuu. Shida ni kwamba hicho ni chama cha Mbowe, hivyo ataamua anavyotaka, na ikiwa hivyo hamtakuwa na cha kufanya.
 
Chadema kuamua kutangaza kuunganisha nguvu na ACT waziwazi pasipo kujali Vitisho vya msajili kukifuta imenipa hamasa sana ya kupiga kura,najua hata hili katazo la Lissu hawatolitii;believe me
 
Uongo na upotoshaji, hakuna nyavu yenye viwango inavyotakikana na ikachomwa moto nasema hakuna. Piga picha nyavu unayotumia tuione hapa kama ina viwango inavyotakikana kuwa navyo. Sheria ni msumeno...
Kama hajakukuta mshukuru Mungu kwabahati mbaya nimeviacha vifaa mwambao waziwa tanganyika mm nipo kgm mjini kwasasa nikupe stori fupi walipo kuja haotokomeza uvuvi hrm walifika kwetu walituomba tuwaonyeshe nyavu iliwazipime kama zipo sahihi sisi tulitekeleza tukawaonyesha kilicho fata zipo sawa toeni hela kama hamna pesa tunazichoma kweli walizichoma nawakateka mashine zaboati tulizo kuwa tunatumia kama usafiri mpaka sasa wanazo wanatuambia tukazinunue kwao engeine zetu hatudanganyi huu niukweli mtupu wavuvi wangi tumejaa uwoga hatujui kesho yetu
 
Kwahiyo kumbe taarifa za mkuu Bia yetu zilikuwa sahihi[emoji15]?, Kwamba kikao chao kuligubikwa na sintofahanu, huku wajumbe wakilalamika kuwa mwenendo wa mgombea wao Lissu,sio msimamo wa chama.
Muda ndo huo unawadia wa kuskiliza IPP za mzee wa Faru John Na chama chake.
 
Kama hajakukuta mshukuru mungu kwabahati mbaya nimeviacha vifaa mwambao waziwa tanganyika mm nipo kgm mjini kwasasa nikupe stori fupi walipo kuja haotokomeza uvuvi hrm walifika kwetu walituomba tuwaonyeshe nyavu iliwazipime kama zipo sahihi sisi tulitekeleza tukawaonyesha kilicho fata zipo sawa toeni hela kama hamna pesa tunazichoma kweli walizichoma nawakateka mashine zaboati tulizo kuwa tunatumia kama usafiri mpaka sasa wanazo wanatuambia tukazinunue kwao engeine zetu hatudanganyi huu niukweli mtupu wavuvi wangi tumejaa uwoga hatujui kesho yetu
Aiseeeh propaganda mnazijua kwakweli [emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom