Ole
JF-Expert Member
- Dec 16, 2006
- 2,157
- 976
Mkuu unafahamu nguvu ya Serikali popote ulimwenguni, tena Serikali hii ambayo inajitambua. Haina shida ya kupiga magoti kuomba pesa za kupigia kura etc. JPM ni moto wa kuotea mbali wacha wapinzani wajifariji walimwonea JK hapa wamegonga mwamba. Nasikia Pole pole alikuwa kwenye mkutano wao.Kuna harufu ya uwoga hapa.
Sasa mgombea ataanza saa ngapi kampeni za leo? Hapa tushapata majibu tayari. Kamati kuu imeufyata kwa tume.